Manispaa ya Moshi na hatima ya gereji bubu


M

Magesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Messages
2,588
Points
0
Age
35
M

Magesi

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2012
2,588 0
Hatima ya gereji bubu katika manispaa ya Moshi ni kitendawili baada ya Mkurugenzi wa Manispaa kuwapa siku thelathili kuanzia tarehe 15 mwezi huu wa kumi na moja wawe wamehama.Ilihali maeneo ambayo yalikua yametengwa kwa ajili ya Mafundi hao kuhamia wamepewa vigogo wa kisiasa wa mkoa huu kwa njia za kifisadi.Mwaka 2009 maeneo yaliyotengwa yalikuwa ni ENEO LA MACHINJIO YA MANISPAA NA MAENEO YA PASUA WAKATI HUO HALMASHAURI YA MANISPAA ILIKUA INAONGOZWA NA CCM.MKURUGENZ PAMOJA NA MADIWANI WALIJIGAWIA MAENEO WENYEWE NA KUJENGA NYUMBA ZA KUISHI WAO PAMOJA NA VIGOGO WA KISIASA NA KUWAUZI KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI ENEO AMBALO WAMEJENGEA KIWANDA AMBACHO BAADHI YA MAFUNDI WALIANZA KUJENGA VIBANDA WALIVUNJA NA MPAKA LEO HAMNA TAARIFA RASMI JUU YA HATIMA YA MAFUNDI HAO.JE ANATEGEMEA HAO MAFUNDI WATAENDA KUFANYIA SHUGHULI ZAO WAPI WAKATI MAENEO YOTE WAMEYAHODHI KAMA SIO KUHATARISHA AMANI NA USUMBUFU USIO NA MAANA?UFISAD NA ULAFI WA WANASIASA UTAHATARISHA AMANI YA MOSHI KAMA HAWATAKAA NA MAFUNDI NA KUWAPA MAENEO YA KWENDA .
 

Forum statistics

Threads 1,296,584
Members 498,672
Posts 31,253,077
Top