VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Baada ya jana kutamka kuwa anatoa miezi sita kwa waliogawa rushwa kupata uongozi CCM kujisalimisha,Makamu wa Mwenyekiti wa CCM-Bara,Phillip Mangula amesema kuwa hana uhakika kama ataweza kufanikisha alichosema. Mangula aliyasema hayo 'off record' nilipokuwa nikizungumza naye kuhusu uwezekano wa kufanikisha alichokisema Mkutanoni jana.
' Wenzangu walitoa miezi mitatu ya kuvua gamba wakashindwa.Sijui kama mimi nitaweza Mzee Tupatupa.Sijui...lakini nitajitahidi kusimamia nilichokisema. Nina 'support' ya Mwenyekiti na Katibu Mkuu.Nawaamini sana' alisema Mangula akionesha sura ya wasiwasi.
More to come!