Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hali ya muendelezo wa madudu katika mahakama yetu ya Tanzania, mwezi June mahakama iliajiri Mahakimu wakazi wapya 300 wenye degree za sheria(LL.B) na kupitia lawschool ili wakafanye kazi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Written by Stonetown (Kiongozi) // 19/11/2012 // Kitaifa // 8 Comments Wazanzibari wanakaribia kutimiza nusu karne ifikapo January 12 tokea Mapinduzi ya nchi hiyo, kuna fikra tofauti ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni jambo la kushangaza kuwa kuna mmojawapo wa viongozi/wawakilishi wa CCM aitwaye Eliza Luhanga kutoka Marekani DMV karushwa toka maelfu ya kilomita kupiga kura pale Dodoma kwenye uchaguzi wa CCM...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
AUGUSTINO LYATONGA MREMA Sikuwa na njia ya kumpinga mgombea wa CCM aliyepitishwa na ngazi zote zinazotakiwa na chama, hata kama hafai. Ukimpinga watauliza; huyu Mrema vipi, labda zi mwenzetu. Mtu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
TANZANIA ina mikoa 30 lakini tangu mheshimiwa rais atinge ikulu kwa term ya pili 2010 kuna mikoa hajatembelea kabisa kujua maendeleo, lakiniArusha imekuwa kila mwezi kwa nini???
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Rais Jakaya Kikwete amewataka wajumbe wapya wa NEC wa CCM kutokulala bali kuzunguka kila kona ya nchi kufanya mikutano ya hadhara,kuingiza wanachama wapya na...
10 Reactions
172 Replies
11K Views
Je, umewahi kuiona PICHA ya Mwl. JULIUS. K. NYERERE akiwa ndani ya SARE ya CCM? Tafuta popote Duniani na ukiipata SARE hiyo ndani ya saa 48 zawadi nono itatolewa. Kama hakuna jiulize, kwanini haipo
1 Reactions
4 Replies
1K Views
SERIKALI imeshauriwa kushughulikia tatizo la utoroshwaji wa fedha na upotevu wa mapato ya kodi, kwa namna ya dharura na kuwachukulia hatua wahusika. Ushauri huo ulitolewa Dar es Salaam mwishoni...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
NEWS By ADAM IHUCHA, Special Correspondent Posted Saturday, November 17 2012 at 13:23 IN SUMMARY Analysts say the airport would also be a major boost to Tanzania's drive to increase the...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ushindi wa Obama dhidi ya Romney ni fundisho zuri kwa upinzani nchini kwetu kama wataamua kujifunza, mafunzo muhimu sana kwa washindani wa kisiasa ni pamoja na; 1. Kiwango cha utekelezaji wa...
21 Reactions
550 Replies
38K Views
Wajumbe wa baraza la wawakilishi wa CUF mshirika katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar leo (10.10.2012) walitoka nje ya kikao wakati wa kuapishwa mwakilishi mpya wa jimbo la Bububu...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Siku chache baada ya mkutano mkuu wa 8 wa CCM kumalizika Dodoma kimemo kinachomhusu kada machachari wa CCM aliyeongoza kura za maoni za kuwania kusimamishwa kugombea Ubunge wa jimbo la Nzega mwaka...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
• Kinana aahidi kuwashughulikia wanaopanga safu na Shehe Semtawa MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amewataka wanachama wenye nia ya kugombea urais...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sunday, November 18, 2012 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wafuasi na wapenzi wa chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika Wilayani Kasulu, Mkoa wa Kigoma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wachambuzi na wadadisi wa Mambo wanasema kwamba muda si Mrefu JK ataweza kuivunjilia Mbali Sekretariati Aliyoiunda Dodoma. Sababu ni kwamba Kabla Sekretariati haijaanza Kazi ya Kusafisha Chama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
hali ya kushangaza imetanda maeneo ya mbenzi jogoo kwa wananchi pale alipokuwa ameitisha mkutano wake kwa wananchi kumpa kero zao cha kushangaza akuwepo diwani wa ccm na mwenyekiti wa serikali za...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Written by Stonetown (Kiongozi) // 18/11/2012 // Habari // 15 Comments Dr. Ali Mohammed Shein, Rais wa Zanzibar Ofisi ya Rais P.O.Box 2422 Zanzibar – Tanzania. Mheshimiwa Rais Uko Wapi Utu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kweli siasa is always the game. Wameponda upinzani weeeee, halafu baadaye unakuja na busara zake chumbani! Hongera mzee wetu Kinana kwa jambo jema, maana watanzania wanahitaji maendeleo, na siyo...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu wa Fikra, heshima kwenu Nime inasa hii katika pitapita zangu.Chanzo ni ufa wa mahusiano kati ya wafanya biashara ndogo ndogo(wamachinga) ambao ndiyo wapiga kura wengi na uongozi wa jiji la...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Said Issa Mohamed, jana alilazimika kusitisha mkutano wake wa hadhara katika Kata ya Njinjo, Wilaya ya Kilwa baada ya ratiba ya...
3 Reactions
65 Replies
5K Views
Back
Top Bottom