Uzalendo wawashinda madiwani CHADEMA Arusha,sasa wajipenyeza kwa meya


A

Arusha Leo

Senior Member
Joined
Mar 12, 2012
Messages
122
Points
0
Age
39
A

Arusha Leo

Senior Member
Joined Mar 12, 2012
122 0
MADIWANI wa Chama cha Demokrasia na maendeleo(Chadema) wilayani Arusha waliogoma kumtambua Meya wa Jiji hilo, Gaudence Lyimo sasa wanadaiwa kuanza kumtambua kwa kupitia ‘mlango wa nyuma’.

Tangu ufanyike uchaguzi wa meya wa Jiji la Arusha, kumeibuka mvutano wa kisiasa uliosababisha Chadema wawatangazie wananchi kutomtambua Meya huyo.Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Omari Mkombole akizungumzia matumizi ya fedha zilizotumika katika uzinduzi wa Jiji hilo hivi karibuni alisema kwamba

madiwani wa vyama vyote walishiriki vikao muhimu vya kufanikisha sherehe hizo.

chanzo,Mwananchi
 
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Messages
10,569
Points
1,250
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2008
10,569 1,250
Ndio mnavyojidanganya eenh? mtangoja sana hadi 2015 mtakapotupiliwa mbali moja kwa moja toka ofisi za halmashauri ya jiji la Arusha.
 
A

Arusha Leo

Senior Member
Joined
Mar 12, 2012
Messages
122
Points
0
Age
39
A

Arusha Leo

Senior Member
Joined Mar 12, 2012
122 0
MADIWANI wa Chama cha Demokrasia na maendeleo(Chadema) wilayani Arusha waliogoma kumtambua Meya wa Jiji hilo, Gaudence Lyimo sasa wanadaiwa kuanza kumtambua kwa kupitia ‘mlango wa nyuma’.

Tangu ufanyike uchaguzi wa meya wa Jiji la Arusha, kumeibuka mvutano wa kisiasa uliosababisha Chadema wawatangazie wananchi kutomtambua Meya huyo.Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Omari Mkombole akizungumzia matumizi ya fedha zilizotumika katika uzinduzi wa Jiji hilo hivi karibuni alisema kwamba

madiwani wa vyama vyote walishiriki vikao muhimu vya kufanikisha sherehe hizo.

Source Gazeti Mwananchi.
 
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
8,612
Points
1,500
Age
37
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2012
8,612 1,500
Wewe ni mchimvi..una lengo la kuleta embarasment ila cdm 2mekomaa
 
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
8,612
Points
1,500
Age
37
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2012
8,612 1,500
Mleta mada ni zandiki..magamba endeleeni kujifariji.
 
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
8,182
Points
1,250
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
8,182 1,250
Nanyaro Ephata njoo uthibitishe tuhuma hizi.
 
Last edited by a moderator:
M

marikiti

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Messages
2,735
Points
1,500
M

marikiti

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2012
2,735 1,500
Mimi nilijua hao jamaa kwenye pesa uzalendo utawashinda pesa mbele siasa baaadae peoples poa
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,175
Points
2,000
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,175 2,000
Madiwani wa chadema wamekuwa wakihudhulia vikao mbalimbali hasa vile vya mhimu kama vya budget, Nijuavyo mimi kwani hata kisheria wasipo hudhulia kwa kipindi furani automatically watakuwa wamejivua udiwani..
 
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,175
Points
2,000
Crashwise

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,175 2,000
Mimi nilijua hao jamaa kwenye pesa uzalendo utawashinda pesa mbele siasa baaadae peoples poa
Kama ni pesa huwa wanalipwa na makao makuu lakini haiimanishi kwamba hawafanyi kazi walio tumwa na wananchi...huwa hawaingii kwenye vikao vya kunywa chai...
 
C

Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2007
Messages
2,733
Points
0
C

Curriculum Specialist

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2007
2,733 0
Ndio walishiriki vikao na waliikataa hiyo budget ya kifisadi ya kuzindua jiji Arusha Leo sasa huko ndo uzalendo kuwashinda aliyekuambia huwa hawashiriki vikao ni nani? Ucha ushambenga!
 
Last edited by a moderator:
M

marikiti

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Messages
2,735
Points
1,500
M

marikiti

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2012
2,735 1,500
onyesheni msimamo sio mkiona posho mnaachia hii sasa ndio nini
 
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
7,933
Points
1,500
Age
86
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
7,933 1,500
Chadema imewayumbisha sana wale madiwani wa arusha,yaani maamuzi yanatoka kinondoni yanatekelezwa arusha.mbaya sana hiyo
 
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
7,933
Points
1,500
Age
86
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
7,933 1,500
Wale waliotimuliwa wakakta rufaa wameishia wapi?mbona hatusikii uchaguzi mdogo?
 
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Messages
7,933
Points
1,500
Age
86
T2015CCM

T2015CCM

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2012
7,933 1,500
Arusha ilikuwa geneva of afrika lakini sifa hiyo imepotea
 
K

kit

Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
53
Points
70
Age
35
K

kit

Member
Joined Oct 13, 2012
53 70
Cdm wababaishaji njaa inawauma ndio maana wana uchu wa madaraka!
 

Forum statistics

Threads 1,296,572
Members 498,672
Posts 31,252,612
Top