mikataba yote mipya na yazamani ipitiwe upya na Bunge.

kitero

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
563
0
mikataba mipya na haswa ya madini,mafuta na geasi iridhiwe na Bunge na sii baraza la mawaziri.Pamoja na mikataba yote mibovu ipelekwe bungeni na kujadiliwa upya na kuwawajibisha wale wote wanaoliingizia Taifa hasara.
Bunge kama bunge lipewe uhuru na hadhi yake.
 
Top Bottom