Kuelekea miaka 51 ya Uhuru Tanzania: Utasherehekea vipi?

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,024
2,000
Ifikapo tarehe 9 mwezi huu tunasherehekea miaka 51 ya Tanzania kupata uhuru wake kutoka kwa wakoloni. Katika kusherehekea huku si katika kufurahia tu na kuangalia gwaride na baadae kujirusha, bali jambo muhimu la kufanya ni kutathmini ni kipi tumekifanya na wapi tunaelekea na tutaelekea huko kwa njia zipi. Tathmini hiyo ndiyo itamfanya kila mmoja wetu kuchukua maamuzi juu ya mustakbali wa taifa letu.
 

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,863
2,000
Nadhani wetu si uhuru ni udhuru. Uhuru gani tunazidi kuwa ombaomba huku watawala wetu walevi na wezi wakigawa raslimali zetu bila kuwa na uhuru wa kuwazuia?
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,747
2,000
1961 hakukua na Nchi ilikuwa inatawaliwa Ikiitwa Tanzania. Kama unamaanisha Tanganyika Well

Vyovyote iwavyo but bora wale jamaa wasingeondoka tu wakaendelea kubaki.
Mi naiita miaka 51 ya Uhuni!!
 

Pancras Suday

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
7,862
2,000
Sikuwahi kushuhudia uhuru wa Tanganyika na wala sijishughulishi nao, nipo kuhangaikia uhuru wa Tanzania ufike nami nianze kusherehekea
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom