Viongozi wakuu CHADEMA jihadharini na.....

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,451
Jihadharini na kujibu hoja nyepesi na zisizo na msingi kwa jamii kwani zinawapotezea hadhi yenu.kazi hiyo mtuachie sisi wanachama au muikabidhi kwa BAWACHA na BAVICHA.

hatutegemei viongozi kama Mbowe,Dr. Slaa, Zitto Kabwe, Tundu Lissu na mbunge yeyote kujibu propaganda zisizo na maana kwa jamii.

UKIMYA NI JIBU.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

2 Reactions
Reply
Top Bottom