Serikali ya magamba chukueni hii

Serikali ya magamba chukueni hii

papaa-H

Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
74
Reaction score
11
Wadau katika pitapita yangu kwenye mitandao nimekutana nasocial network ya kibongo jamaa wame-design platform ya kuchati, kushare photo,job search nk. Kitu kama G+ hivi au facebook. Iko hapa www.mambopoint.com,
My take,
serikali ya magamba inapaswa kusuport creation kama hizobadala ya kung’ang’ania vita na JF yetu hasa ukizingatia dunia sasa hivi inajengwa na Technolojiaya mawasiliano.
 
nimewiona mkuu. magamba hawawezi wataweka nini ilihali wamejaa ufisadi kibao
 
Back
Top Bottom