Kikwete mtegoni tena
na Waandishi wetu-TANZANIA DAIMA
Maswawatishia kuandamana
Katika hatuanyingine, hatua ya Rais Kikwete kuunda mikoa mipya, imezua balaa baada ya mamiaya wananchi wa wilaya...
MAONI YA KATIBA MPYA
Kwavile serikali imetambua/inatambua kuwa suala la katiba ni jambo muhimu sana, pia kuwa katiba ina husu wananchi hivyo na wananchi kutoa maoni yao ya katiba wanayo itaka...
"Tanzania has (a) good land for agriculture, forest products, tourism and mining. But this 'good' land, which directly supports the livelihood of the majority of Tanzanians, can also be a curse...
Nauliza kutokana na nafasi yake kama rais na umuhimu wa suala lenyewe katika kuleta maisha bora kwa kila mtanzania ... Inafurahisha na kusikitisha kwa wakati mmoja. Inafurahisha kuona kuwa hata...
Na Ezekiel Kamwaga | Raia Mwema Toleo la 272 | 12 Dec 2012
NINAAMINI kwamba makala haya yataniletea upinzani mkubwa sana kwa baadhi ya watu ambao hawataki kusikia mtu akisema Mbunge wa Kigoma...
Hili wala sio la kutunga.
Matukio ya hivi karibuni kwa CCM kuangukia pua katika kesi kadha muhimu dhidi ya CHADEMA ni kielelezo tosha huyo mjamaa alivyoingia na gundu kubwa.
Hii ya leo ya...
Muda mwingi muna upoteza kwa kujenga hoja zisizo kuwa na maana mkidhani watanzania bado ni majuha kama mlivyo zoea. Hivi majuzi mmezua hoja ya umiliki wa kadi ya chama chenu dhidi ya Dr.Slaa...
Siasa katika Tanganyika imekuwa kama mtaji wa maisha mazuri kwa wanasiasa wengi.Kwa upeo wa kawaida tu, wengi wao baada ya kupewa kura na wananchi huhama katika makazi husika na kuwasahau kabisa...
Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilemela ndg Henry Matata bado anaendelea kukaklia kiti kama Meya wa manispaa ya Ilemela kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka ndani ya jiji la mwanza.
Taarifa...
Deusdedit JovinToleo la 272
12 Dec 2012
MAELEZO kutoka kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, kuhusu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa kuendelea kumiliki kadi ya CCM ni...
Baada ya Baraza la Vijana lililomaliza leo Mkoani Arusha Vijana waliungana pamoja kwenda Narok kwa ajili ya kushangilia na kufarahia maazimio yao.
Vijana hao wakiwa ndani ya Sare zao...
Kwanza,Mahakama ya Rufani imetupilia mbali rufani ya waliokuwa wakipinga ushindi wa Mbunge wa Ilemela,Highess Kiwia. Kesi ikatupwa na kuamriwa gharama zilipwe. Hiyo ni jana tu. Jana...
kwa kupitisha harambee leo kwaajili ya maendeleo ya wanatunduma na mbozi magharibi kwa ujumla, leo umeendesha harambee ukiwa peke yako na wanatunduma umepata pamoja na ahadi milioni 26 kwa ajili...
Inasikitisha Naibu waziri Nyalandu kupambana na taasisi iliyopo ndani ya wizara yake.Kuna kosa gani naibu waziri kuitetea kampuni ya wazawa iendelee na kazi ya kutembeza wageni mbugani then...
Kama CCM wanatumia nguvu nyingi kiasi hiki kumchafua DR, W.P.SLAA tena kwa propaganda ya kipuuzi kabisa, eti kuwa anakadi mbili basi ni wazi kuwa mzee huyu ni mwadilifu, mzalendo na mwenye uwezo...
Wadau wanaJF,
Wengi wetu tumehabarishwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari including jf kuhusu Katibu Mkuu wa CDM Dr. Slaa kuendelea kushikilia kadi ya ccm hadi sasa na kwamba amekuwa...
Wana JF!
Nimekuwa nikifuatilia mijadala inayoendelea kuhusu Katibu Mkuu wa CHADEMA kuwa na kadi ya CCM. Kwa mujibu wa katiba ya CCM, mwanachama atakoma uanachama wa CCM kama atajiunga na chama...
Hoja zisizo na mashiko kama za mtu wa aina ya Nape,Mwigulu na Lusinde haziwezi kunipotezea muda.Kwamba sasa wananchi ili tupate maendeleo tujadili kwanza DR wa ukweli SLAA ana kadi ya CCM.Nape...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.