Suluhu ya Kadi yapatikana; M4C kuzichoma kadi zote za CCM kitaifa.

Aristides Pastory

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
348
60
Habari njema niliyopewa na ndugu wananchi wa jimbo la KIGAMBONI katika kukusanya maoni yao juu ya Vuguvugu la Mabadiliko (M4C) nimepokea maoni mazuri baadhi ya maoni hayo ni hili la KADI .

Ambayo wengi wamesema Ili kudhihirisha CCM hatuipendi ni lazima kadi zote zilizokusanywa na Wanamapambano zitafutiwe SIKU maalumu ya kitaifa ya KUZICHOMA moto kadi zote za CCM na Vyama Vingine na harakati hiyo iongozwe na DR.SLAA pamoja na KADI yake mbele ya UMMA wa Watanzania wote ili iwe Historia ya leo na Kizazi kijacho.
 
Naunga mkono hoja mia kwa mia....

Iitwe siku ya uchomaji kadi za CCM na ikiwezakana kuwe na kontena na mabango na countdown kuelekea hiyo siku. Kadi kitu gani bana mbona Kinana ana kadi ya CCM lakini anatuulia Tembo wetu
 
habari njema niliyopewa na ndugu wananchi wa jimbo la kigamboni katika kukusanya maoni yao juu ya vuguvugu la mabadiliko (m4c) nimepokea maoni mazuri baadhi ya maoni hayo ni hili la kadi .
Ambayo wengi wamesema ili kudhihirisha ccm hatuipendi ni lazima kadi zote zilizokusanywa na wanamapambano zitafutiwe siku maalumu ya kitaifa ya kuzichoma moto kadi zote za ccm na vyama vingine na harakati hiyo iongozwe na dr.slaa pamoja na kadi yake mbele ya umma wa watanzania wote ili iwe historia ya leo na kizazi kijacho.

ili iweje??faida yake nini??? ...kweli cdm wendawazi kweli ??? Hizo ndo sera mnazotuambia tuamini ili tuwape nchi ???
 
Habari njema niliyopewa na ndugu wananchi wa jimbo la KIGAMBONI katika kukusanya maoni yao juu ya Vuguvugu la Mabadiliko (M4C) nimepokea maoni mazuri baadhi ya maoni hayo ni hili la KADI .
Ambayo wengi wamesema Ili kudhihirisha CCM hatuipendi ni lazima kadi zote zilizokusanywa na Wanamapambano zitafutiwe SIKU maalumu ya kitaifa ya KUZICHOMA moto kadi zote za CCM na Vyama Vingine na harakati hiyo iongozwe na DR.SLAA pamoja na KADI yake mbele ya UMMA wa Watanzania wote ili iwe Historia ya leo na Kizazi kijacho.

Usitake kukwepesha hoja,swali ni kwa nini Slaa ana kadi hai ya CCM?anzia hapo usitu-divert.
 
Heri hiyo siku itumike kusafisha mji wa Dar kuliko kuchoma kadi.

Kwa nini isiwe siku ya kudai huduma bora kwenye mahospital yetu?

Kwa nini isiwe siku ya kupinga viongozi wa CCM kuwaburuza watendaji wa Serikali utafikiri wao ndiyo Mawaziri?

Kwa nini isiwe ni siku ya kupinga WATU KUTOA AMRI kwa Polisi kukamata watu ovyo bila ya kibali cha mahakama?
 
Hamna sababu ya kuchoma kadi na tena tafasiri yake itakuwa mbaya.

CHADEMA itumie busara ya namna ya kuziweka katika ARCHIVE yake na itavutwe siku maalumu akibidhiwe Nape au Kinana ili kuonesha utahimilivu na ustarabu katika ulingo wa siasa.

Unajua CCM hawana data kamili kuwa wanawachama wangapi kwa sasa, kadi hizo zikirudishwa zitawafanya wajitambue vizuri.
 
Usitake kukwepesha hoja,swali ni kwa nini slaa ana kadi hai ya ccm?anzia hapo usitu-divert.
Kuchoma kadi haisaidii kudhihirisha kuwa Dr Slaa na wenzake wenye kadi za ccm mioyoni mwao wanaichukia kwa dhati CCM. kadi ni karatasi gumu. Ni sawa na kumchania Mkeo hati "cheti" yenu ya ndoa wakati mnaendelea kuzaa watoto. huo n UTOTO NA MCHEZO WA KOMBOLELA. POUUU!!
 
Naunga mkono hoja mia kwa mia....

Iitwe siku ya uchomaji kadi za CCM na ikiwezakana kuwe na kontena na mabango na countdown kuelekea hiyo siku. Kadi kitu gani bana mbona Kinana ana kadi ya CCM lakini anatuulia Tembo wetu
Mkuu pamoja sana. Si unaona CCM tayari wameanza kupagawa, wanajua maelfu kwa maelfu ya wanachama wao wapo tayari kujitokeza hiyo siku ya siku na hii itakuwa na athari kubwa sana ya kisaikolojia kwao. Utasikia wanaanza visingizio mara oho intelijensi mara oho chomoa nipumue, kwani wanajua hasira za Watanzania kwa CCM. Linaweza kuonekana ni jambo lisilo na maana lakini lina athari kubwa sana kwa magamba. Naunga mkono hoja!
 
Mnamshinikiza dr ameshatoa msimamo kuwa anaipenda na ataitunza kama kumhukumbu kwa wajukuu zake muacheni Dr slaa bado anamahaba na ccm
 
sidhani kama kuna hoja ya msingi lakini kama wengi wameamua basi TUYACHOME, mi nilalo la UVT (kipingi kile wanaita Umoja wa Vijana Tanzania) nitakuja nalo pia tulichome. :becky: Nape na 6 pia wawepo tuzichome zile za CCJ.

Ushauri tu: Tutakuwa tunagomba kila siku tukiendekeza haya makadi...kadi wakuu.
 
hamna sababu ya kuchoma kadi na tena tafasiri yake itakuwa mbaya. Cdm itumie busara ya namna ya kuziweka katika archive yake na itavutwe siku maalumu akibidhiwe nape au kinana ili kuonesha utahimilivu na ustarabu katika ulingo wa siasa. Unajua ccm hawana data kamili kuwa wanawachama wangapi kwa sasa, kadi hizo zikirudishwa zitawafanya wajitambue vizuri.
unavaa pete ya ndoa unakwenda guest house na kimada au buzi halafu unaivua pete na kuitia mfukoni kisha unakula uroda!!! Acheni utoto jamani mnawa" bore" wenye akili.unakaa baa na chupa ya soda juu ya meza na chupa ya konyagi unaificha chini ya mvungu wa meza. Unamdanganya nanii"!!!
 
sidhani kama kuna hoja ya msingi lakini kama wengi wameamua basi TUYACHOME, mi nilalo la UVT (kipingi kile wanaita Umoja wa Vijana Tanzania) nitakuja nalo pia tulichome. :becky: Nape na 6 pia wawepo tuzichome zile za CCJ.

Ushauri tu: Tutakuwa tunagomba kila siku tukiendekeza haya makadi...kadi wakuu.
UNAKAA NA KADI YA uvT YA NN WAKATI UMRI WAKO USHAVUKA? GREAT THINKERS!! YOU GUYS WHAT ARE YOU DISCUSSING HERE? LEAVE THEM ALONE PROPAGATE POSITIVE ISSUES.
 
Heri hiyo siku itumike kusafisha mji wa Dar kuliko kuchoma kadi.

Kwa nini isiwe siku ya kudai huduma bora kwenye mahospital yetu?

Kwa nini isiwe siku ya kupinga viongozi wa CCM kuwaburuza watendaji wa Serikali utafikiri wao ndiyo Mawaziri?

Kwa nini isiwe ni siku ya kupinga WATU KUTOA AMRI kwa Polisi kukamata watu ovyo bila ya kibali cha mahakama?
mkuu, kuna mtu alituambia sisi wa tz ni wavivu wa kufikiri - tukan'gaka vibaya sana; lakini ukweli ndiyo huo; mtu anatunga hoja isyo na miguu wala kichwa lakini cha ajabu inaliteka taifa wiki nzima -- we're very far Tanzanian's hatufiki popote kwa mwendo huu.

Tunapenda sana hoja za kipuuzi puuzi- we andika tu Watu wagandana wakilana uroda uone mitandao yote ya kijamii inajuwa na jam :becky:

Siasa za kupakana matope watanzania hatufiki popote, ndiyo maana RA kashasepa katuachia majungu yetu kila kukicha. matatizo mengi changamoto nyingi sana ila wiki nzima tunajadili kadi moja ya DR.Slaa aliyonunua kwa pesa yake mwenyewe duh!! aibu kwa kweli.
 
UNAKAA NA KADI YA uvT YA NN WAKATI UMRI WAKO USHAVUKA? GREAT THINKERS!! YOU GUYS WHAT ARE YOU DISCUSSING HERE? LEAVE THEM ALONE PROPAGATE POSITIVE ISSUES.
Sababu halina maana yoyote kwangu ndiyo maana liko kwenye Recycle bin ila kwa sababu mmesema mnahitaji makadi yenu basi tutawaletea myatunze.
 
ili iweje??faida yake nini??? ...kweli cdm wendawazi kweli ??? Hizo ndo sera mnazotuambia tuamini ili tuwape nchi ???

weweee unatakaa naniiiiii? angalia unatumiwa vibayaaa usijeeee....................................
 
Back
Top Bottom