Mkama: The road towards the second indepence is not smooth...

Mkama: The road towards the second indepence is not smooth...

Liame

Senior Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
125
Reaction score
34
Wana Jamii....

Poleni kwa majukumu yenu ya ujenzi wa taifa hili na kujiongezea kipato katika familia zenu..nimelazimika kuandi mada hii yenye heading ya lugha ya kigeni kwani nimekosa neno stahiki la kuendana sambamba ya hilo hapo juu....ndugu zangu wapenda mabadiliko ni wakati wa kuungana na kua na dhamira thabiti ya ukombozi wa taifa hili,,,

CCM wameweza tumia udhaifu wetu wa umaskini kutuchanganya baada ya kutumia fedha za kifisadi kununua vijana kutaka vuruga CDM na moral ya mabadiliko iliyo kwenye peak nw......tukumbuke kidogo katika maandiko matakatifi yanayoonyesha ukombozi wa wana wa israel kutoka katika nchi ya utumwa misri...safari hile haikuwa raisi kwani palikuwa na vitisho,mateso na hali ya kukata tamahaa....wengi hawakuweza fika katika nchii lengwa(israel) lakini walijitoa kwa ajiri ya kizazi kilichofuata....

Niwaombe wapenda mabadiliko ya kweli tuwapuuze wanaotaka kutukatisha tamaa na kuturudisha nyuma katika ukombozi wa nchii hii ....niwaombe judgement yetu itawale katika kutafakari dhamira ya dhati katika chama....wamejitaidi kutafuta wapi Dr slaa anaweza kuwa shaken na chadema kwa ujumla ukianzia kwenye propaganda za udini,ukabila,ukanda na mengine mengi wameshindwa na sasa wamekuja na mashaiiri mapya ya kitoto zaidi yaliyotangulia....tupange mikakati ya kuwaondosha kabisa wapuuzi hawa ktk chama....tusiogope kubaki na wanacahama wachache wenye dhamira ya dhati kuliko kuwa na lundo la watu wasiyoitakia mema nchi hii.....katika hili ndo yule mpuuzi wasira alikuwa ametega akiamini ataweza kukisambaratisha CDM....

Mungu tupitishe katika passover hii...Hapana wakati umeshindwa vivyohivyo hapana siku umewaacha waja wako katika mateso....slaa ni tishio wa ccm na wanataka waweze kumoutsmart kwa kutumia wahuni wachaxhe ktka chama...say no
 
Hatuwezi sisi sio watz wa 48 sisi ni kizazi kingine kabisa tunataka mabadiliko tunahitaji kuwaondoa hawa magamba mkoloni mweusi
 
Bora hicho kichwa cha thread ungeandika Kiswahili tu.
 
..nimelazimika kuandi mada hii yenye heading ya lugha ya kigeni kwani nimekosa neno stahiki la kuendana sambamba ya hilo hapo juu....
Duhu, sasa Mkuu ndo unaandika "The load" badala ya "The road"?
 
Kwa kidhungu hicho kwa kweli kazi ipo! Na jamaa epi anajifagilia kwa kuandika heading kwa lugha ya kigeni, ooopus!! Kwa kifupi mkuu hiyo lugha huiwezi! Load.... Indepence
 
It's was just a grammar error there's no big deal stop criticize him
 
wana Jamii....poleni kwa majukumu yenu ya ujenzi wa taifa hili na kujiongezea kipato katika familia zenu..nimelazimika kuandi mada hii yenye heading ya lugha ya kigeni kwani nimekosa neno stahiki la kuendana sambamba ya hilo hapo juu....ndugu zangu wapenda mabadiliko ni wakati wa kuungana na kua na dhamira thabiti ya ukombozi wa taifa hili,,,ccm wameweza tumia udhaifu wetu wa umaskini kutuchanganya baada ya kutumia fedha za kifisadi kununua vijana kutaka vuruga CDM na moral ya mabadiliko iliyo kwenye peak nw......tukumbuke kidogo katika maandiko matakatifi yanayoonyesha ukombozi wa wana wa israel kutoka katika nchi ya utumwa misri...safari hile haikuwa raisi kwani palikuwa na vitisho,mateso na hali ya kukata tamahaa....wengi hawakuweza fika katika nchii lengwa(israel) lakini walijitoa kwa ajiri ya kizazi kilichofuata....niwaombe wapenda mabadiliko ya kweli tuwapuuze wanaotaka kutukatisha tamaa na kuturudisha nyuma katika ukombozi wa nchii hii ....niwaombe judgement yetu itawale katika kutafakari dhamira ya dhati katika chama....wamejitaidi kutafuta wapi Dr slaa anaweza kuwa shaken na chadema kwa ujumla ukianzia kwenye propaganda za udini,ukabila,ukanda na mengine mengi wameshindwa na sasa wamekuja na mashaiiri mapya ya kitoto zaidi yaliyotangulia....tupange mikakati ya kuwaondosha kabisa wapuuzi hawa ktk chama....tusiogope kubaki na wanacahama wachache wenye dhamira ya dhati kuliko kuwa na lundo la watu wasiyoitakia mema nchi hii.....katika hili ndo yule mpuuzi wasira alikuwa ametega akiamini ataweza kukisambaratisha CDM....Mungu tupitishe katika passover hii...Hapana wakati umeshindwa vivyohivyo hapana siku umewaacha waja wako katika mateso....slaa ni tishio wa ccm na wanataka waweze kumoutsmart kwa kutumia wahuni wachaxhe ktka chama...say no

The load??? Jamani haya NDIYO matokeo ya Shule ZA kata us St Kayumba?
 
Askari Kanzu na Bijou ukishamtandika mwenzio ngumi za usoni basi msogeze karibu na mlango wa Daktari kama hivi hapa chini.

Ni matumaini yangu kuwa sasa wengi tutakuelewe ulichokuwa una maanisha Liame

Wana Jamii....poleni kwa majukumu yenu ya ujenzi wa taifa hili na kujiongezea kipato katika familia zenu..

Nimelazimika kuandika mada hii yenye 'heading' ya lugha ya kigeni kwani nimekosa neno stahiki la kuendana sambamba na hilo hapo juu.....Ndugu zangu wapenda mabadiliko, ni wakati wa kuungana na kuwa na dhamira thabiti ya ukombozi wa taifa hili,,,.ccm wameweza tumia udhaifu wetu wa umaskini kutuchanganya baada ya kutumia fedha za kifisadi kununua vijana kutaka kuivuruga CDM na moral ya mabadiliko iliyo kwenye "peak nw".......

Tukumbuke kidogo katika maandiko matakatifu yanayoonyesha ukombozi wa wana wa Israel kutoka katika nchi ya utumwa Misri....Safari hile haikuwa rahisikwani palikuwa na vitisho,mateso na hali ya kukata tamahaa.....Wengi hawakuweza fika katika nchi_ lengwa-(Israel) lakini walijitoa kwa ajiri ya kizazi kilichofuata....Niwaombe wapenda mabadiliko ya kweli tuwapuuze wanaotaka kutukatisha tamaa na kuturudisha nyuma katika ukombozi wa nchi_ hii.

....niwaombe judgement yetu itawale katika kutafakari dhamira ya dhati katika chama....,_wamejitahidi kutafuta wapi Dr. Slaa anaweza kuwa 'shaken' na CHADEMA kwa ujumla ukianzia kwenye propaganda za udini,_ukabila,_ukanda na mengine mengi wameshindwa na sasa wamekuja na masha_iri mapya ya kitoto zaidi yaliyotangulia.....Tupange mikakati ya kuwaondosha kabisa wapuuzi hawa katika chama....;tusiogope kubaki na wanac_hama wachache wenye dhamira ya dhati kuliko kuwa na lundo la watu wasi_oitakia mema nchi hii......

K
atika hili ndyo yule mpuuzi 'wasira' alikuwa ametega akiamini ataweza ku_isambaratisha CDM.....Mungu tupitishe katika 'passover' hii...hapana wakati umeshindwa vivyohivyo hapana siku umewaacha waja wako katika mateso..... Dr. Slaa ni tishio kwa ccm na wanataka waweze kum'outsmart' kwa kutumia wahuni wachache katika chama..."say no"
 
Last edited by a moderator:
Schooling is a big issue.........!!!

--- Stages to go through----

1: Mbumbumbu..... null/ kindergarten
Aa, Ee, Ii, Oo, Uu ----- a, b, c, d---

2. Acquiring Knowledge....... baada ya kujua kusoma na
kuandika..... hapa ndio tatizo KUU....

In 2 stage is where u MUST have to UNDERSTAND THE
SUBJECT MATTER THARALLY ( THOROUGHLY) ---- OTHERWISE U WILL REMAIN IN CONFUSION-----

-- NULL..... CONFUSION.... EDUCATED.... in certain subject....

So wengi wanabakia ktk CONFUSION, failed to come out of CONFUSION, they are many..... na THEY END UP CONFUSING most things in their life & people surrounding them.....!!!
 
SUBJECT MATTER THARALLY, ---- OTHERWISE U WILL REMAIN IN CONFUSION-----

-- NULL..... CONFUSION.... EDUCATED.... in certain subject....

So wengi wanabakia ktk CONFUSION, failed to come out of CONFUSION, they are many..... na THEY END UP CONFUSING most things in their life & people surrounding them.....!!!

THARALLY???? Du, kipofu anamwonyesha kipofu mwenzake njia.
 
Thread moja alianzisha Mama wawili inahitajika sawasawa ili iendelee kusaidia kunyoosha kiingereza cha wengi wetu hapa!
 
Thread moja alianzisha Mama wawili inahitajika sawasawa ili iendelee kusaidia kunyoosha kiingereza cha wengi wetu hapa!.......

I beg to differ with you....!!!

Merry ~ Christmas & Happy New Year 2013...!!!
 
Schooling is a big issue.........!!!

--- Stages to go through----

1: Mbumbumbu..... null/ kindergarten
Aa, Ee, Ii, Oo, Uu ----- a, b, c, d---

2. Acquiring Knowledge....... baada ya kujua kusoma na
kuandika..... hapa ndio tatizo KUU....

In 2 stage is where u MUST have to UNDERSTAND THE
SUBJECT MATTER THARALLY ( THOROUGHLY) ---- OTHERWISE U WILL REMAIN IN CONFUSION-----

-- NULL..... CONFUSION.... EDUCATED.... in certain subject....

So wengi wanabakia ktk CONFUSION, failed to come out of CONFUSION, they are many..... na THEY END UP CONFUSING most things in their life & people surrounding them.....!!!
Duhu, kizungu kinazidi kuwa kigumu siku hizi. Lakini tutafika tu!
 
Wana Jamii....

Poleni kwa majukumu yenu ya ujenzi wa taifa hili na kujiongezea kipato katika familia zenu..nimelazimika kuandi mada hii yenye heading ya lugha ya kigeni kwani nimekosa neno stahiki la kuendana sambamba ya hilo hapo juu....ndugu zangu wapenda mabadiliko ni wakati wa kuungana na kua na dhamira thabiti ya ukombozi wa taifa hili,,,

CCM wameweza tumia udhaifu wetu wa umaskini kutuchanganya baada ya kutumia fedha za kifisadi kununua vijana kutaka vuruga CDM na moral ya mabadiliko iliyo kwenye peak nw......tukumbuke kidogo katika maandiko matakatifi yanayoonyesha ukombozi wa wana wa israel kutoka katika nchi ya utumwa misri...safari hile haikuwa raisi kwani palikuwa na vitisho,mateso na hali ya kukata tamahaa....wengi hawakuweza fika katika nchii lengwa(israel) lakini walijitoa kwa ajiri ya kizazi kilichofuata....

Niwaombe wapenda mabadiliko ya kweli tuwapuuze wanaotaka kutukatisha tamaa na kuturudisha nyuma katika ukombozi wa nchii hii ....niwaombe judgement yetu itawale katika kutafakari dhamira ya dhati katika chama....wamejitaidi kutafuta wapi Dr slaa anaweza kuwa shaken na chadema kwa ujumla ukianzia kwenye propaganda za udini,ukabila,ukanda na mengine mengi wameshindwa na sasa wamekuja na mashaiiri mapya ya kitoto zaidi yaliyotangulia....tupange mikakati ya kuwaondosha kabisa wapuuzi hawa ktk chama....tusiogope kubaki na wanacahama wachache wenye dhamira ya dhati kuliko kuwa na lundo la watu wasiyoitakia mema nchi hii.....katika hili ndo yule mpuuzi wasira alikuwa ametega akiamini ataweza kukisambaratisha CDM....

Mungu tupitishe katika passover hii...Hapana wakati umeshindwa vivyohivyo hapana siku umewaacha waja wako katika mateso....slaa ni tishio wa ccm na wanataka waweze kumoutsmart kwa kutumia wahuni wachaxhe ktka chama...say no

Kama alivyo kuwa seif sharif
🙂
 
Back
Top Bottom