Kutokana na rasimu mpya ya katiba kuruhusu mgombea binafsi......natabiri kuwa miongoni mwa wanamakundi ndani ya chao tawala atagombea kama binafsi!!! Ni utabiri tu mipovu isikutoke....
UJUMBE wa hatari unaotumwa kupitia ujumbe mfupi wa simu ya mkononi (sms) umenaswa na Serikali.
Tayari baadhi ya Watanzania wametumiwa ujumbe huo ambao unaeleza namna ambayo umefika wakati wa...
Court document reveals scheme to send some of 60,000 illegal immigrants, mostly Eritrean or Sudanese, to a third country
Associated Press in Jerusalem
guardian.co.uk, Monday 3 June 2013 11.32...
Huyu mtu anayeitwa mathayo david ambaye ni mtoto wa waziri mkuu mstaafu David Cleopa Msuya anshutumiwa na uongozi wa chuo cha Ualimu Serowe TTC Botswana kwa kughushi vyeti vilivyomfanya apewe...
Mgombea udiwani wa kata ya kaloleni abas mkindi darwesh,kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea udiwani,habari zilizotufikia ktk chanzo chetu cha habari ndani ya cuf ni kwamba ameona kuwa...
Wale walioanza mbio za Urais wa awamu ijayo nadhani rasimu mmeiona au kuisikia. Sasa kila mmoja achague anataka Urais wa Tanzania Bara, Zanzibar au wa Jamhuri ya Muungano. CHADEMA kwa sababu...
Video captures Jasper, Texas, police officers beating woman
A southeast Texas town with a history of racial unrest on Monday fired two white police officers recently captured on video slamming a...
Katika kampeni za uchaguzi wa mdogo kata ya Iyela mbeya mjini mjumbe wa ccm Ndg Pesambili alikamatwa jana majira ya saa 3 asubuhi na makamanda wa chadema,alikuwa akinunua shahada kwa wananchi kwa...
Nimepata taarifa zilizonipa matumaini kuwa ukombozi wa nchi hii unakuja na utaanzia mikoa ya kusini.
Katika chaguzi ndogo za udiwani zinazoendelea nchini, kwa mara ya kwanza CCM imeshindwa...
Wakuu nimeona hii nikacheka sana, polisi wetu wataweza kufurahia Katiba mpya kwa staili hii iwapo watakumbuka vugucugu la mpito wa kisiasa na mwamko wa wananchi? Mimi ni M-CCM damu ingawa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DkAli Mohamed Shein,na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Meya wa Manispaa ya Mji wa Xiamen nchini china Liu Keqing, na viongozi...
Akijibu hotuba ya Upinzani ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bungeni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Januari Makamba amesema wao Serikali hawafanyi kazi kwa maoni ya upinzani,hila mipango ya...
Wadau aliye na softcopy ya rasimu ya katiba mpya hebu aitupie tuisome wote hapa. Nmefungua website ya tume mpaka sasa hawajaiweka sasa nashindwa kuelewa kwanini mpaka sasa bado hawajaiweka.
Lema:
Ndugu zangu watu wa kaloleni nawashukuruni sana kwa mahudhurio mazuri namna hii.
Na mtayakumbuka maneno yangu kuwa ccm hawapo tena Arusha.
Jana nilikuwa makuyuni, nilibahatika kukutana na...
Kinana amesema kuwa chama cha domocracia na maendelea (CHADEMA) kinaendelea kushika kasi ya kuporomoka na hatimaye kitasahaulika katika medani ya siasa za Tanzania baada ya wanasiasa wake, wabunge...
Hakuna kificho kwamba Samwel Sita hakuna kitu anachokiota zaid katika maisha yake kama urais wa nchi hii,yupo tayari kupaka matope, kugombanisha na kuchafuwa wengine kwa lengo la kuonekana yeye...
Waungwana nawasalimia kutoka mashamba ya chai, nipeni nafasi ya kunisikiliza; CHADEMA ni chama kinachonivutia kwa maneno mazuri ya Dr. Slaa na Mheshimiwa Mbowe; kinadharia wana kila sababu ya...
​Mwelekeo wa Taifa la Tanzania utaanza kujulikana leo mchana Tume ya Mabadiliko ya Katiba itakapozindua rasimu ya Katiba Mpya kwenye tukio la kihistoria litakalofanyika kwenye Viwanja vya...
Wana Jf "MWIBA HUTOKEA ULIPOINGILIA"
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kabisa kwa wanambozi,chama dume chama cha mapinduzi kwa mkutano mkubwa na wakihistoria nilioufanya jana nikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.