Mathayo David Msuya mwizi wa vyeti

Mathayo David Msuya mwizi wa vyeti

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,446
Huyu mtu anayeitwa mathayo david ambaye ni mtoto wa waziri mkuu mstaafu David Cleopa Msuya anshutumiwa na uongozi wa chuo cha Ualimu Serowe TTC Botswana kwa kughushi vyeti vilivyomfanya apewe ajira chuoni hapo miaka ya nyuma kabla hajapewa Uwaziri kwa mgongo wa baba yake
tunaomba aje ajibu shutuma hizi kama hatajitokeza tutaamini hata kazi anayofanya kupitia mgomgo wa baba yake alighushi vyeti vyake
 
Kama usivyopenda mtu mwingine kufuatilia maisha yako n.k vivyohivo usifuatilie maisha ya watu wengine,kwani anakunyima kupata riziki yako ya kila siku?fanya mambo yako ili kujenga familia yako acha kufuatilia maisha ya watu Madam
 
Hata kama mtu anavunja sheria? Nadhani ungemwambia mtoa hoja alete ushahidi ingekuwa busara
 
Kama usivyopenda mtu mwingine kufuatilia maisha yako n.k vivyohivo usifuatilie maisha ya watu wengine,kwani anakunyima kupata riziki yako ya kila siku?fanya mambo yako ili kujenga familia yako acha kufuatilia maisha ya watu Madam
Hapana! ukifanya ujinga lazima tukufate, kama ulichukua nafasi ya watu kwenye nafasi ya wengine kwa wizi wa vyeti hivyo ni ishu nzuri tu ya kukufikisha mahakamani, sema uzuri wa nchi hii kuna watu wako juu ya sheria
 
Aliwaingiza pia Vijana wengi SUA chocho kwa kukusanya pesa na kuwaahidi kwamba atawatafutia Scholarship Botswana, mpaka leo ni WANTED SUA!
 
Huyu mtu anayeitwa mathayo david ambaye ni mtoto wa waziri mkuu mstaafu David Cleopa Msuya anshutumiwa na uongozi wa chuo cha Ualimu Serowe TTC Botswana kwa kughushi vyeti vilivyomfanya apewe ajira chuoni hapo miaka ya nyuma kabla hajapewa Uwaziri kwa mgongo wa baba yaketunaomba aje ajibu shutuma hizi kama hatajitokeza tutaamini hata kazi anayofanya kupitia mgomgo wa baba yake alighushi vyeti vyake
ndio maana nchi hii kuja kupiga hatua ni ndoto, maana niwengi walioshika dhamana yakuiongoza vyeti vyao vinatiliwa mashaka kazi kweli kweli hebu aje ajibu hapa tujue ukweli uko wapi.
 
Ni lazima tuukemee uovu hapa pale tunapokuwa hatuhusik kwa namna moja ama nyingine, hiyo ndiyo aina nzuri ya taifa. Yaani watu kufata sheria bila shuruti
 
Kama usivyopenda mtu mwingine kufuatilia maisha yako n.k vivyohivo usifuatilie maisha ya watu wengine,kwani anakunyima kupata riziki yako ya kila siku?fanya mambo yako ili kujenga familia yako acha kufuatilia maisha ya watu Madam

U mmoja wa Genge la Mafisadi, hata ujangili wa tembo si problem kwako kwa vile haukunyimi riziki, eti?
 
Sasa kila mtu kaiba vyeti!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nakubaliana na yote, ila kuwa david matayo ni mtoto wa cleopa msuya, hilo nina wasiwasi nalo, navyo jua mimi ni kuwa wote ni wapare. Labda kama ni ni mtoto wa nje.
 
U mmoja wa Genge la Mafisadi, hata ujangili wa tembo si problem kwako kwa vile haukunyimi riziki, eti?

Sipo kwenye genge lolote kati ya hayo uliotaja hapo juu mkuu,kumpa ushauri mleta mada ni kosa?
 
Kama usivyopenda mtu mwingine kufuatilia maisha yako n.k vivyohivo usifuatilie maisha ya watu wengine,kwani anakunyima kupata riziki yako ya kila siku?fanya mambo yako ili kujenga familia yako acha kufuatilia maisha ya watu Madam

You know the words BUT you miss their meaning!! pole
 
Hapana! ukifanya ujinga lazima tukufate, kama ulichukua nafasi ya watu kwenye nafasi ya wengine kwa wizi wa vyeti hivyo ni ishu nzuri tu ya kukufikisha mahakamani, sema uzuri wa nchi hii kuna watu wako juu ya sheria

kumbe unatambua hivyo!tutafanikiwa tu pale watu watakapowajibika kupitia katiba na kufuata sheria mkuu.
 
Ni ushauri tu Mkuu,naomba anayetajwa na mleta mada ajitokeze kujisafisha la kuonyesha vyeti na elimu yake.

Vizuri kwa kujibu kiungwana ila hawa jamaa sometime wanakera angalau basi hata kama wanachakachua vyeti basi wapige kazi za kueleweka pia wawe wakombozi wa wengi lakini wao wanachakachua na bado issue ndogondogo ambazo wananchi wangefanya kujiingizia kipato nazo wanazitolea macho
 
Ni kweli mkuu.
 
Back
Top Bottom