ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,276
- 7,691
Wale walioanza mbio za Urais wa awamu ijayo nadhani rasimu mmeiona au kuisikia. Sasa kila mmoja achague anataka Urais wa Tanzania Bara, Zanzibar au wa Jamhuri ya Muungano. CHADEMA kwa sababu haikubaliki kabisa Zanzibar inabidi Urais wa Zanzibar isipoteze resources zake bure.
Vyama navyo visichelewe mno kurekebisha katiba zake. Anzeni kujipanga ki-rasimu rasimu kwa sababu final version haitakuwa tofauti sana na hii rasimu. Mpaka mwisho mnaweza kukuta mambo ya kambi yanakufa kwa sababu yule uliyekuwa unashindana naye kumbe anataka Urais wa Tanzania Bara tu au wa Zanzibar tu!