Toa maoni kuhusu kilichoandikwa kwenye hii picha


palalisote

palalisote

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2010
Messages
8,346
Likes
60
Points
0
palalisote

palalisote

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2010
8,346 60 0


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DkAli Mohamed Shein,na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Meya wa Manispaa ya Mji wa Xiamen nchini china Liu Keqing, na viongozi wengine wa Mji huo,baada ya mazungumzo yao katika ukumbi wa Concert Hall,alipoandaliwa Chakula cha Jioni , akiwa katika ziara ya kiserikali kwa mualiko wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China


Source: wavuti.com - Blog
 
M

matubara

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Messages
226
Likes
17
Points
35
Age
38
M

matubara

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2012
226 17 35
Kwa heshima ya dr shein,rais wa zanzibar,jmt.
 
J

Jadi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Messages
1,491
Likes
563
Points
280
J

Jadi

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2011
1,491 563 280
Yaani kama angekuwa Kikwete, wangeandika president wa Bara, United Republic of Tanzania
 
U

Ukweli na Uwazi

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
122
Likes
0
Points
0
Age
65
U

Ukweli na Uwazi

Senior Member
Joined Apr 20, 2013
122 0 0
Yaani kama angekuwa Kikwete, wangeandika president wa Bara, United Republic of Tanzania
You made my evening. Thaxs
 
Dr. Ng'ida D. Mollel

Dr. Ng'ida D. Mollel

Senior Member
Joined
Feb 19, 2013
Messages
190
Likes
7
Points
35
Dr. Ng'ida D. Mollel

Dr. Ng'ida D. Mollel

Senior Member
Joined Feb 19, 2013
190 7 35
Tusijidanganye, Zanzibar ipo juu. Sasa jina la Tanganyika ni muhimu kuliko wakati mwingine wowote katika historia yetu.
 
contact

contact

Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
39
Likes
0
Points
13
Age
30
contact

contact

Member
Joined Jan 13, 2011
39 0 13
duuuuuuuuuuuuuuh huyu mkewe shein mfupiiiiiiiiiiiiiii hajagusa chini miguu imeninginia sorry nipo njee ya mada
 
Irhhey

Irhhey

Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
49
Likes
0
Points
13
Irhhey

Irhhey

Member
Joined Dec 21, 2012
49 0 13
Hamjamwona balozi wa Tanzania nchini China Philip Marmo naye amekula pozi?
 
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
17,780
Likes
2,030
Points
280
Age
36
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
17,780 2,030 280
duuuuuuuuuuuuuuh huyu mkewe shein mfupiiiiiiiiiiiiiii hajagusa chini miguu imeninginia sorry nipo njee ya mada
Kwi! kwi! kwi! kwi! kwi! kwi!
 
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
13,115
Likes
650
Points
280
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
13,115 650 280
Mpiga picha,ukipata nafasi nyingine ya kusogea karibu na huyo jamaa aliyekaa kushoto mwisho mkumbushe aje kulipa madeni yake aliyokopa 2010 chondechonde
 
mdeki

mdeki

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Messages
3,304
Likes
48
Points
145
mdeki

mdeki

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2011
3,304 48 145
Mpiga picha,ukipata nafasi nyingine ya kusogea karibu na huyo jamaa aliyekaa kushoto mwisho mkumbushe aje kulipa madeni yake aliyokopa 2010 chondechonde
Mkuu unamdai?


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
TECHMAN

TECHMAN

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
2,669
Likes
187
Points
160
TECHMAN

TECHMAN

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
2,669 187 160
kwa ufupi, nikuwa rahisi wa Zanzibar kwa hadhi yake amepokewa na meya wa mji. kiongozi wa nchi hawezi kupokewa na kuandaliwa dhifa ya hadhi ya mji. Rais wa Zanzibar = meya wa mji.

Samahani kama nimeenda nje ya mada.
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Naona utata wa jina ndiyo maana wanataka serikali yao. Wangetakiwa waandike Dr. Shein, president, URT, Zanzibar.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
M

malaka

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Messages
1,323
Likes
6
Points
135
M

malaka

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2012
1,323 6 135
Halafu mnasema Maalim analake jambo wakati wenyewe wanajua nini wanafanya. Mwisho wa siku hawa waZNZ wapewe tu mamlaka kamili yaishe.
 
E

emalau

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2009
Messages
2,243
Likes
1,765
Points
280
E

emalau

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2009
2,243 1,765 280
Hii haiondoi ukweli kwamba Zanzibar ni kamkoa ka bara kama ilivyo mafia na hatutakaachia, kama wanajidanganya wajaribu kujitenga waone. Kudhibitisha hilo amepokewa na meya wa mji. Kwa hiyo hata "nchi" yake ina hadhi ya mji!
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Hii haiondoi ukweli kwamba Zanzibar ni kamkoa ka bara kama ilivyo mafia na hatutakaachia, kama wanajidanganya wajaribu kujitenga waone. Kudhibitisha hilo amepokewa na meya wa mji. Kwa hiyo hata "nchi" yake ina hadhi ya mji!
You are off side. Hujajibu hoja y a mleta mada. Kujibu swali kabla ya kulielewa ndiko kunawafanya mfeli mtihani na hata baada ya kuchakachua marks watu kama nyie bado mmefeli. Soma hoja ya mleta mada acha kukurupuka.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Monyiaichi

Monyiaichi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Messages
1,826
Likes
113
Points
160
Age
62
Monyiaichi

Monyiaichi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2012
1,826 113 160
sorry natoka nje ya mada, hivi dr shain wana watoto? mbona sijawahi kuwasikia? hawanaga mishemishe wao au bado wadogo?
 
S

Shackshake

Senior Member
Joined
May 27, 2013
Messages
187
Likes
5
Points
0
Age
38
S

Shackshake

Senior Member
Joined May 27, 2013
187 5 0
Samahani nipo nje ya mada but ........,,..piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiippoooooooooooooooz
 
K

Kizotaka

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
567
Likes
0
Points
0
K

Kizotaka

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
567 0 0
Naona utata wa jina ndiyo maana wanataka serikali yao. Wangetakiwa waandike Dr. Shein, president, URT, Zanzibar.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
wachina wa watu wala ung'eng'e kwao sio ishu,kwanza hata wao wanashindwa kuelewa muungano wetu,nadhani utambulisho wao wameandika kwa lugha yao,sijui kwanini utambulisho wa shein haukuandikwa kiswahili? sasa na huyo meya sijui kampiga mzinga au kampelekea deal la uwekezaji?
 
Crucial Man

Crucial Man

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Messages
3,398
Likes
585
Points
280
Crucial Man

Crucial Man

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2011
3,398 585 280
duuuuuuuuuuuuuuh huyu mkewe shein mfupiiiiiiiiiiiiiii hajagusa chini miguu imeninginia sorry nipo njee ya mada
mkuu imebidi niipitie picha upya..nimechekaje mie,haujakosea hata kidogo.though uko nje ya mada.
 

Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,525,978