wasira anahutubia wakufunzi wa UDOM makada

wasira anahutubia wakufunzi wa UDOM makada

ndechilio shoo

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
997
Reaction score
366
Tupo african dream dodoma mh wasira akitoa otuba kwa wanafunzi wa udom akiambatana na nyambari,makamba,na nk
 
Hao vijana wangekuwa wasomi wa ukweli wangemuuliza Wassira kwa nini alikimbia CCM na kuhamia NCCR na kisha akarudi sasa akichakachuliwa CCM ataingia chama gani?

Mbona jimboni kwetu Bunda hawezi kusimama kutoa Hotuba kama hizo? "Charity begins at Home"
 
Hawana ujanja tena isipokuwa kuamishia siasa vyuoni. Bilashaka huko kuna critical thinkers wawaulize maswsli ya maana.
 
Hivi kijana na akili zako unakaa unamsikiliza mtu kama huyu atakuongezea nini maisha haya..?
 
madogo wa udom hamnazo....kweli wakata ni wakata...mlacha amewafanya wawe kama watoto wa secondary
 
Vijana wachukue busara kutoka kwa watu wenye busara.
 
hawana ujanja tena isipokuwa kuamishia siasa vyuoni. Bilashaka huko kuna critical thinkers wawaulize maswsli ya maana.

hakuna critical , critical ndani ya udom tumebaki chuo tunajiandaa na mitihani inayoanza tar. 17 june ,13 hao walioenda ni vijana waganga njaa na tunawafahamu , wamepita kwa kelele kwenye makorido yetu wanahamasishana kwa ushawishi kuwa kuna wali ,soda na pombe......ninakerwa sana na aina ya wasomi sisi wakitanzania, mambo yanaharibika badala ya sisi tukosoe na kushauri , siye twakimbilia wali ukumbini,......shame upon you all who have attended such a stupidy party (magambaz graduation)
 
hotuba imevamiwa hahahaha Wassira nae nae anaenda kuhutubia nini sasa zaidi ya kupotezea watu muda,hao walioenda nao hamnazo kabisa.
 
Bora umesema makada maana "Ukada ni Uzuzu".Ningeshangaa sana kama intellectuals wangekubali kuhutubiwa kihivyo
 
Hakuna mbunge jimbo la Bunda ila kuna LISANAMU LA MBUNGE.

Hao vijana wangekuwa wasomi wa ukweli wangemuuliza Wassira kwa nini alikimbia CCM na kuhamia NCCR na kisha akarudi sasa akichakachuliwa CCM ataingia chama gani?

Mbona jimboni kwetu Bunda hawezi kusimama kutoa Hotuba kama hizo? "Charity begins at Home"
 
kuna dogo hapa naye nizuzu(kada) nakaa nae rm1,kaja kasema oo!chuo cha ccm (wameambiwa),ndio maana wameruhusiwa kuvaa sare yao yakijani chuoni nakuja kuchukuliwa nabus lenye chata ya ccm!akasema wafanye vijana wachadema waone kama hawajatimuliwa!nika amin udom hakuna uhuru wakisiasa,nasiasa chuoni ipo naccm tu ndio wanaoruhusiwa!kamejisifu ooh tumepiga nyali,soda,nakumuona makamba,wasira ,nk...nimekasamehe bure coz kwanza nikafirst yr!lkn nimejifunza ccm wanateka watu kwa cheap matters,shame on them!
 
nyambari, wasira na makamba hii combination ni sawa na carol, torres na mwaikimba hao kufunga goli mpaka liwe na upana na urefu wa mita mia halafu kusiwe na kipa.
 
Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipoooooooooooooz ,,,,,,,,,samahan lakini
 
hotuba imevamiwa hahahaha Wassira nae nae anaenda kuhutubia nini sasa zaidi ya kupotezea watu muda,hao walioenda nao hamnazo kabisa.

Huyu bwana anaonekana kuaminiwa sana kwenye siasa za majukwaani lakini kila ninapomsikiliza sijaona anything special kwake zaidi ya kejeli na dharau. Kwanza kabisa siyo mjengaji hoja mzuri. Kwangu mimi hana tofauti na Nape. Naishia hapa kwani nikiendelea nitakula ban.
 
Back
Top Bottom