1.Kila raia wa Tanzania ana haki ya kupata mkopo wa Elimu bila ubaguzi wala kugawa makundi ya aina yoyote,pasiwe na priority na non priority kwenye masomo na ugawaji wa mikopo,kama masomo fulani...
Kushoto Ikulu ya Dar es Salaam na kulia Ikulu ya Zanzibar
Kadiri ya rasimu ya Katiba mpya ikikubaliwa Tanzania tutakuwa na
Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania
Rais wa serikai ya Tanganyika...
Katika gazeti la the East Africa kuna habari tata kidogo kuhusu Jakaya Kikwete, report ina kichwa cha habari kisemacho THE GOOD, THE BAD AND THE UGLY, The African Leadership Index 2012. Wameweka...
mwaka 2010 CUF na N.C.C.R mageuzi ziliungana kutaka kuunda kambi ndogo ya upinzania. mpango huo ulishindwa. kwa sasa N.C.C.R wameionyesha kama wapinzani wengine.mkosamali na kafurila wanaisimamia...
Kwa wanaofuatilia maswala ya ardhi hasa kwa wilaya ya Kinondoni hususani eneo la Tegeta, watakumbuka Kanali Massawe (sasa mkuu wa mkoa wa Kagera) aliwahi kukimbizwa na wananchi alipotaka kuwahadaa...
MGOMBEA Udiwani Kata ya Erelai, Jimbo la Arusha kupitia CUF, John Bayo na Diwani wa Kata ya Daraja Mbili (CHADEMA), Prosper Msofe, wametunishiana misuli na kunusurika kuzichapa kavukavu mbele ya...
Wakuu kwanza niipongeze tume kwa kuja na hii rasimu maana tumepata pa kuanzia sasa. Wajumbe wa tume ni wanadamu kwa hiyo mapungufu yanaweza kuwepo japo naamini bado kuna nafasi za marekebisho...
kuna taarifa nimezipata kuwa kesho jumamosi tarehe 1 mwezi wa 6 2013 . Kunafanyika mkutano mkubwa sanaaa, utakao ongozwa na mzee nassoro moyo, maalim seif, rais mstafuu abeid amani karume, himid...
Membe aliwadhihaki wapiganaji wa Libya kuwa walichukua nchi kwa pick-up lakini 2015 atashangaa namna CHADEMA itakavyochukua nchi kwa boda boda (toyo). Nitatoa mfano wa kata moja huko Rombo ambayo...
UCHAMBUZI WANGU KUHUSU HOTUBA YA RASIMU YA KATIBA.
1.tanganyika sasa ipo ila hatima yake haipo
2.tume inaposema hili na lile si la muungano,KWANI ILITUMWA KWENDA KUTENGEZA KATIBA YA MUUNGANO NA...
Kitendo chenu cha kumshikilia na kumfungia dhamana Mwenyekiti wa Vijana CUF Taifa kwa kosa la uchochezi ni kinyume na utawala bora na utawala wa sheria na kimsingi mna undermine uhuru wa...
Wadau, wale tuliofuatilia vema Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba, ni wazi kwamba kwa mapendekezo ya rasimu, CCM inakufa. Kuruhusu wagombea binafsi kuanzia Kitongoji hadi...
1
UTANGULIZI
K
WA
KUWA
, Sisi,
Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua
rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayoheshimu na kuzingatia misingi ya
utu...
Wadau,
Nilikuwa katika usomaji wa rasimu iliyopendekezwa na tume na nimeona kama ibara hizi mbili zinapingana na pengine wataalamu wanisaidie tafadhali. Nanukuu kutoka katika Sura ya Tano...
alichokuwa anakisoma makamu wa raisi kiliandaliwa lini, mbona kama walijua kila kitu kilichokuwemo kwenye rasimu. nisaidieni jamani maana alisema anawakilisha aliyomwagiza rais.
Kuna bwana mmoja wa Cuf Znz nilikuwa nazungumza nae amenifungua akili. Nilimuuliza kwanini CUF kimetungusha hivyo na je CUF ni chama cha wazanzibari tu mbona wanasema maslahi ya Znz yamelindwa...
Kwanza ilianzaga neno "kuunda tume", wakagundua tumewastukia.
Wakaanzisha neno " kamati" nalo limeanza kuchuja.
Sasa wamekuja na msamiati wa " kikosi kazi", hii yote eti ni kutaka tutawaliwe...
Kati ya mambo mengi yaliyoelezwa ni pamoja na 1. IDADI YA MAWAZIRI WASIOZIDI 15. 2. TANZANIA BARA KUWA NAMAJIMBO YA UCHAGUZI 25 TU kila JIMBO WABUNGE (2)WAWLI. 3. BUNGE LA MUUNGANO LIWE NA WABUNGE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.