Nimewajibu CHADEMA mkutano wa Mbozi, tutaimaliza CHADEMA kwa mikono yetu

Status
Not open for further replies.

Mtela Mwampamba

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
537
347
Wana Jf "MWIBA HUTOKEA ULIPOINGILIA"
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kabisa kwa wanambozi,chama dume chama cha mapinduzi kwa mkutano mkubwa na wakihistoria nilioufanya jana nikiwa nimeongozana na Jemedali wa kisiasa comrade Mwigulu Nchemba,Juliana Shonza na viongozi wengine.

Wanambozi mmewajibu vijana wa CHADEMA na viongozi wao kuwa Mbozi ni ardhi ya watu waelewa na sio kitoweo cha wajinga.

Nimefanya mkutano kuwajibu wale wote wanaokesha mitandanoni kujifurahisha eti Mbozi hakuna CCM,eti Mbozi kuna CHADEMA. Mimi ndio nimeipeleka CHADEMA Mbozi,na kwa mikono yangu naiua CHADEMA Mbozi

"If u can just Join the game and feel the taste of Mwampamba"

Tumeshawaonesha CHADEMA kwamba CCM ni zaidi yao,hatuwezi kupambana na sisimizi kwenye uga wa siasa.

Juliana Shonza na mimi tutaitumikia CCM kwa nguvu zetu zote na kwaakili yetu yote tena kwa kujitolea.

Kilichonishangaza ni kuona sioni hata kija wa CHADEMA aliyesogelea,Niliishia kubebwa na kupandishwa jukwaani.siasa hatufanyi mitandaoni vijana wa chadema,Kukesha kwenye keyboard sio Field.
ID YA MPEPO(IMEVUMISHA UONGO WA WAZI KABISA KWAMBA MTELA MWAMPAMBA NIMESHUSHWA JUKWAANI.NK)
H
I
I ID siku zote imekuwa ikitumika kuchafua jina langu,na mhusika wake namjua na ndiye aliyezunguka mikoani nilipokuwa chadema kwenda kunichafua,na alifika mbozi kutengeneza mazingira ya kuandaa vijana walete vurugu lakini wanambozi si kitoweo cha wajinga wamemtosa na nidhani yeye ndiye aliletewa vurugu.
Imemuuma sana kuona umati ule,Namna mkutano ulivyokuwa mkubwa.Pole sana Mpepo,mwambie dr.slaa mimi naitwa Mtela allam mwampamba jiwe walilowakataa waashi sasa jiwe kuu la PEMBENI.
Nakanusha kabisa kabisa hakuna vurugu wala dalili yoyote ile ya uwepo wa hizo vurugu walizozizoea chadema.mkutano ulimalizika kwa amani kabisa,sasa nipo Mkoa wa pwani tayari kwa kazi ya kichama.
CHINI
Baba mzazi mzee Mwampamba akirudisha takataka za chadema mbele ya Jemedari Mwigulu Nchemba nyumbani mlowo.

Mzee Allam Mwampamba akiwa ndiye muasisi wa vyama vingi wilayani mbozi ameamua kauchana na siasa za majungu,kinafiki za chadema na kujiunga na CCM.Amesema ni bora viya ya kupambana na mafisadi kuliko vita ya ukabila,umwagaji damu na ukdanda ndani ya hivi vyama vya upinzani(CDM0

Usaliti unakutesa sana, vipi, ulienda kumsalimu mama yako mzazi, ambaye ni diwani wa CHADEMA viti maaluma? Mshua nae vipi bado analilia uanachama wa CHADEMA? ni kwanini usimshawishi ahamie CCM kuliko kuing`ang`ania CHADEMA?
 
Nimeamini siasa unayofanya hakuna atakaye kuamini kwa staili yako hii. Hukuipeleka CHADEMA mbozi ila watu walipenda sera na sio wewe. Vijana mnajirahisha sana kwa kuchumia tumbo.
 
Hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa.
CCM safiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

Mkuu Mtela Mwampamba kuna story zipo humu ndani na nnatumai umeziona eti umepigwa mawe mbozi,Ebu tuthitishie hi mkuu.

VIVA CCM,VIVA MA COMRADE WETU!
 
Last edited by a moderator:
tanzania kazi ipo, kama kunawatu bado wanashabikia CCM. na mbaya zaidi unakuta watu wana hongwa kwa vitu vya kipuuzi kabisa.Naililia nchi yangu Tanzania, lini tutatoka katika ujinga wa mawazo?
 
Mkuu, mlitumia sh ngapi kuwasomba watu kuwaleta kwenye mkutano kisha kuwarudisha makwao?
 
Mmmh!! Kwa kutumika huku lazima c****m ipasuke!! Vijana jitambueni hii ni aibu!!!!
 
mumejitahidi mkuu ila musiishie kuotukana CDM na kujivunia kubebwa,timizeni ahadi za chama chenu maisha yetu ni magumu sana huku uraiani na ninaamini CDM sio wanaosababisha bali ni usimamiaji mbovu wa rasilimali zetu chini ya chama chako ni mchango wangu kwenu mkuu,nasema hivi maana mke wa rafiki yangu amefariki kwa matatizo ya kujifungua na kila nikiangalia hali ya hoapital zetu kwa upande wa wamama wajawazito hali zao si nzuri so,nikiwaona munadili sana na CDM badala ya sisi wananchi roho inaniuma.....ni hayo tu.
 
Jipimeni muone mmepanda ama mmeshuka kwa Nyomi hii na ile ya kubeba watu?

images
 
Hii nchi watu wapo kicomedy comedy tu, things arent taken seriously.
SASA hivyo si vitupu.
 
Believe nothing you hear from politician,
Believe half of what you see politician does.
 
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kabisa kwa wanambozi,chama dume chama cha mapinduzi kwa mkutano mkubwa na wakihistoria nilioufanya jana nikiwa nimeongozana na Jemedali wa kisiasa comrade Mwigulu Nchemba,Juliana Shonza na viongozi wengine.

Wanambozi mmewajibu vijana wa CHADEMA na viongozi wao kuwa Mbozi ni ardhi ya watu waelewa na sio kitoweo cha wajinga.

Nimefanya mkutano kuwajibu wale wote wanaokesha mitandanoni kujifurahisha eti Mbozi hakuna CCM,eti Mbozi kuna CHADEMA. Mimi ndio nimeipeleka CHADEMA Mbozi,na kwa mikono yangu naiua CHADEMA Mbozi

"If u can just Join the game and feel the taste of Mwampamba"

Tumeshawaonesha CHADEMA kwamba CCM ni zaidi yao,hatuwezi kupambana na sisimizi kwenye uga wa siasa.

Juliana Shonza na mimi tutaitumikia CCM kwa nguvu zetu zote na kwaakili yetu yote tena kwa kujitolea.

Kilichonishangaza ni kuona sioni hata kija wa CHADEMA aliyesogelea,Niliishia kubebwa na kupandishwa jukwaani.siasa hatufanyi mitandaoni vijana wa chadema,Kukesha kwenye keyboard sio Field.
CHINI
Baba mzazi mzee Mwampamba akirudisha takataka za chadema mbele ya Jemedari Mwigulu Nchemba nyumbani mlowo.

Mzee Allam Mwampamba akiwa ndiye muasisi wa vyama vingi wilayani mbozi ameamua kauchana na siasa za majungu,kinafiki za chadema na kujiunga na CCM.Amesema ni bora viya ya kupambana na mafisadi kuliko vita ya ukabila,umwagaji damu na ukdanda ndani ya hivi vyama vya upinzani(CDM0

"If u can just Join the game and feel the taste of Mwampamba"

And you taste good too....lol
 
Ulivyoshushwa Jukwaani kama mwizi kule Mbulu mbona hukuleta JF.

Ndio mkutano pekee waliobahatisha kuwa na wasikilizaji wengi.
Siku 5 matangazo, Wanambeya wakataka wakasikilize kilichotangazwa siku zote hizo.
 
Status
Not open for further replies.
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom