Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

DARUSO NI CHAMA GANI? Mwaka 1966 unabaki kwenye kumbukumbu katika vitabu vyetu vya historia.Mapema mwaka 1966 wanafunzi wa UDSM walifanya mgomo mkubwa ambao ulitikisa Taifa.Mgomo huu unabaki...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
JULIUS MTATIRO NA CUF. Julius Mtatiro ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Tanzania Bara.Nilikutana na Julius Mtatiro mwaka 2006 nilipojiunga UDSM.Tukio la kwanza llilonifanya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wakuu, inarushwa hivi sasa kutoka viwanja vya karimjee jijini DSM, ni uzinduzi rasmi wa rasimu ya katiba mpya, mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete. KATIBA...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwalimu nyerere ni mmoja wa waasisi wa ccm.nimekuwa nikitafakari angefufuka leo angeingia chama gani cha siasa?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hiv karibuni kumekuwa na mtiririko wa hoja za wanasiasa kadhaa kutaka baadhi ya mitandao ya kijamii hasa jamiiForum.. ifungiwe kwa madai kwamba wanatukanwa sana, kudhalilishwa na mambo kama hayo...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Leo ni uzinduzi wa rasimu ya katiba mpya. Uzinduzi huo unafanyika viwanja vya karimjee. Kuna vituo ya tv kama itv na tbc vinaonyesha live. Mgeni rasmi ni makamu wa rais na makamu wa kwanza wa rais...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHESHIMIWA SUSAN JEROME LYIMO (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KATIKA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kuwakilisha ni mtazamo wangu tu kimaono,nimefikia hatua hiyo kutokana na harakati za wanzanzibar mbalimbali mara tu tangia huu muungànò mwaka 1964 kulalamika kuwa wanaonewa na kuanza kuunda...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Julius Mtatiro ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Tanzania Bara.Nilikutana na Julius Mtatiro mwaka 2006 nilipojiunga UDSM.Tukio la kwanza llilonifanya kumfahamu zaidi Julus Mtatiro...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
tarehe mosi juni,2013, dk slaa alihutubia umma mjini morogoro. Aliongea mengi sana ambapo alitumia ada ya kalamu yake kuungopea umma mjini hapo. Slaa alisikika akisema kuwa "siwezi kumzungumzia...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Leo kuna mkutano wa mbunge wa kigamboni na wana nchi wa kibada jamaa anazungumzia masuala mengi nilichojifunza. 1. Hakukuwa na nyimbo za komba na ccm hazikuwa zikipigwa tofauti na wabunge wengine...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Wananchi (JUVICUF), imetishia kuandamana nchi nzima ikiwa haki haitatendeka kwa mwenyekiti wao, Katani Ahmed Katani aliyekamatwa na na polisi kwa...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Nianze kwa kutambua umuhimu wa sisi wananchi kutambua na kutimiza wajibu wetu kwani ukweli ni kwamba ukiwa hutimizi wajibu wako unakosa sauti ya kudai haki yako. Hii ni kwa wakulima, wafanyakazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHESHIMIWA SUSAN JEROME LYIMO (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KATIKA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa maana jinsi hii Mungu aliipenda TANZANIA, hata akakitoa CHADEMA pekee, ili kila mtu akiaminiye asipotee, bali awe na mwelekeo mzuri. KUBALI, KATAA, CHADEMA NI CHAGUO LA MUNGU. Ewe unayejiita...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wabunge wanapotunza fedha wacheza utupu - 1 Katika ukumbi maarufu wa muziki au kwa jina jingine ‘club' (jina linahifadhiwa) uliopo mjini hapa mengi yanatokea. Watu wanaingia mmoja mmoja...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
NINA MASHAKA NA UPEO WA Dr SLAA,,!! Leo vyombo vya habari vimeripoti kuwa Dr Slaa anamlaumu Katibu Mkuu wa CCM kutaka kuhujumu mwenendo wa Kesi ya rufaa ya Tundu Lisu kwakuweka wanasheria...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Juzi Mbunge wa sengerema alikosa uvumilivu na kujikuta akiwatukana wakazi wa lbondo baada ya kuzomewa wakati akimunadi mgombea udiwani,aliwaambi lazima ccm ishinde hata kwa rirasi na kuwafanya...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Source: Standard Digital News - Kenya : Home, Breaking News, Business, Jobs, Football, Travel, Tourism, Elections, National, Kenya, Nairobi, County, East Africa, Kibaki, Raila, Elections 2013...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CHADEMA inazidi kuchanganyikiwa uwepo wa katibu mkuu wa CCM hii ni dhairi sasa wanataabika uwepo wake 1; hotuba tatu za cdm bungeni zimedhihirisha tosha kuwa wanamuogopa maana walishindwa kuongea...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom