Kinana asema CHADEMA kuendelea kushika kasi...

Kinana asema CHADEMA kuendelea kushika kasi...

Mr Emmy

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,219
Reaction score
550
Kinana amesema kuwa chama cha domocracia na maendelea (CHADEMA) kinaendelea kushika kasi ya kuporomoka na hatimaye kitasahaulika katika medani ya siasa za Tanzania baada ya wanasiasa wake, wabunge na wakereketwa kuendeleza siasa za maji taka ikwemo uzushi na uongo. Ameseama anasikitishwa na kasi ya chama hicho kuzidi kuporomoka kwa kasi ya ajabu hali ambayo itaipa CCM ushindi wa 99% katika uchaguzi wa 2015 na kukosa upinzani kabisa wa kuongoza dola.

Amewataka CHADEMA wajirekebishe ili waendelee kuwa wapinzani kwani bado CCM inahitaji changamoto zao katika kuendelea kuitawala Tanzania; Hawa chadema wanabaya mengi sana ila wanamazuri kiasi hatutaki wapotee kabisa wanatakiwa kuwepo kiana kutupa changamoto lakini kwa jinsi wanavyoenenda sasa watatumbukia katika shimo ambalo hawataweza kutoka tena wajirekebishe kabisa nchi itakasa wapinzani kabisa na kuwa nchi ya chama kimoja hali ikiendelea kuwa hivi.

Kuhusu vyama vingine vya upinzani Kinana alisema vyama hivyo vimeshapotea kabisa katika ramani ya Tanzania na inawezekana baada ya uchaguzi wa 2015 vyama vyote vya upinzani vitasambaratika kabisa hakuna kitu huko tulikuwa na hofu na haya majamaa ya CHADEMA lakini sasa inasikitisha na yenyewe yanakoelekea siko kuzuri.

maneno hayo amenaswa akiyazungumza katika hoteli aliyokuwa amejipumzisha huko mkoani njombe akiendelea na shughuli za kuimarisha chama na kuomba ridhaa nyingine ya akuiongoza Tanzania kwa 50 mingine.

Source: wafatiliaji wa siasa Njombe.
 
Hao waliomnasa anasema maneno hayo kama ni watu wake wa karibu wanaweza kutuelezea japo kwa uchache alisema nini alipokuwa kwenye ceo round table recently,in the absense of media audience? Huyu anaiweka CCM matatani zaidi.ngoja twende mbele kidogo.
 
Kama anouhakika huo zira zake mikoani ni za kutafuta nini? au anatafuta tembo wetu aendelee na uporaji wa raslimali zetu za asili.

Anazunguka mikoani kutafuta nini? Kauli zake zinaonyesha hofu aliyo nayo, hata Idd Amin DADA alikuwa na OB VAN akiendelea kutangaza kuwa bado ni rais halali wa Uganda hata baada ya Majeshi yetu JWTZ kuwa ndani ya Kampala hadi Arua bado Mwangwi wa Amin uliendelea kusema kuwa bado ni Rais halali wa Uganda. Yeye asubirie muziki wake uko studio atasikia single ya kwanza uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 na hizi za udiwani ndo atapata picha ya kwanza.

KINANA.... Tembo Specialist. Holder wa Bachelor of Poarching in Elephant Utilization, majoring in tuskers and skins..
 
Kinana amesema kuwa chama cha domocracia na maendelea ( chadema) kinaendelea kushika kasi ya kuporomoka na hatimaye kitasahaulika katika medani ya siasa za Tanzania baada ya wanasiasa wake, wabunge na wakereketwa kuendeleza siasa za maji taka ikwemo uzushi na uongo. Ameseama anasikitishwa na kasi ya chama hicho kuzidi kuporomoka kwa kasi ya ajabu hali ambayo itaipa ccm ushindi wa 99% katika uchaguzi wa 2015 na kukosa upinzani kabisa wa kuongoza dola.

Amewataka chadema wajirekebishe ili waendelee kuwa wapinzani kwani bado CCM inahitaji changamoto zao katika kuendelea kuitawala Tanzania; Hawa chadema wanabaya mengi sana ila wanamazuri kiasi hatutaki wapotee kabisa wanatakiwa kuwepo kiana kutupa changamoto lakini kwa jinsi wanavyoenenda sasa watatumbukia katika shimo ambalo hawataweza kutoka tena wajirekebishe kabisa nchi itakasa wapinzani kabisa na kuwa nchi ya chama kimoja hali ikiendelea kuwa hivi.

Kuhusu vyama vingine vya upinzani Kinana alisema vyama hivyo vimeshapotea kabisa katika ramani ya Tanzania na inawezekana baada ya uchaguzi wa 2015 vyama vyote vya upinzani vitasambaratika kabisa hakuna kitu huko tulikuwa na hofu na haya majamaa ya chadema lakini sasa inasikitisha na yenyewe yanakoelekea siko kuzuri.

maneno hayo amenaswa akiyazungumza katika hoteli aliyokuwa amejipumzisha huko mkoani njombe akiendelea na shughuli za kuimarisha chama na kuomba ridhaa nyingine ya akuiongoza Tanzania kwa 50 mingine.

Source: wafatiliaji wa siasa njombe.

Kama kina kufa kwa kasi ya kutisha, ni vipi wamekuwa mabingwa wa kubambikia kesi viongozi wa CHADEMA? Yeye aseme kwamba wanalazimika kuiua CHADEMA ili iwe salama yao. Vinginevyo anajua nini kitakacho fuata pindi CHADEMA ikitwaa madaraka ya kuongoza Tanganyika.

Itabidi ajisalimishe HARGEISA!!!!
 
Napata shaka kuhusu ukweli wa habari hii kama ni kweli maneno hayo yamesemwa na Kinana huenda alikuwa ameshiba sana au hata viroba kumchanganya kama anatumia.Upepo kuelekea 2015 hauko upande wa chama tawala.
 
ha ha ha kayaongelea hotel? Siyyo kwenye mkutano nje
 
Kinana amesema kuwa chama cha domocracia na maendelea ( chadema) kinaendelea kushika kasi ya kuporomoka na hatimaye kitasahaulika katika medani ya siasa za Tanzania baada ya wanasiasa wake, wabunge na wakereketwa kuendeleza siasa za maji taka ikwemo uzushi na uongo. Ameseama anasikitishwa na kasi ya chama hicho kuzidi kuporomoka kwa kasi ya ajabu hali ambayo itaipa ccm ushindi wa 99% katika uchaguzi wa 2015 na kukosa upinzani kabisa wa kuongoza dola.

Amewataka chadema wajirekebishe ili waendelee kuwa wapinzani kwani bado CCM inahitaji changamoto zao katika kuendelea kuitawala Tanzania; Hawa chadema wanabaya mengi sana ila wanamazuri kiasi hatutaki wapotee kabisa wanatakiwa kuwepo kiana kutupa changamoto lakini kwa jinsi wanavyoenenda sasa watatumbukia katika shimo ambalo hawataweza kutoka tena wajirekebishe kabisa nchi itakasa wapinzani kabisa na kuwa nchi ya chama kimoja hali ikiendelea kuwa hivi.

Kuhusu vyama vingine vya upinzani Kinana alisema vyama hivyo vimeshapotea kabisa katika ramani ya Tanzania na inawezekana baada ya uchaguzi wa 2015 vyama vyote vya upinzani vitasambaratika kabisa hakuna kitu huko tulikuwa na hofu na haya majamaa ya chadema lakini sasa inasikitisha na yenyewe yanakoelekea siko kuzuri.

maneno hayo amenaswa akiyazungumza katika hoteli aliyokuwa amejipumzisha huko mkoani njombe akiendelea na shughuli za kuimarisha chama na kuomba ridhaa nyingine ya akuiongoza Tanzania kwa 50 mingine.

Source: wafatiliaji wa siasa njombe.

Huo utafiti kaufanya lini na kwa hadidu za rejea zipi!? Hana lolote huyo jangili wa kisomali,
 
Kinana anapita kujiosha kwa watanzania baada ya CHADEMA chini ya Kamanda Msigwa kuweka wazi ujangili wake kwenye tembo wetu. Kinana si msafi kabisa, hufai hata kusimama jukwaani kuongea hayo juu ya CHADEMA, hizo ni ndoto tu unazojaribu kuwashirikisha watanzania. Pole utegemee nguvu ya ajabu toka CHADEMA.
 
Swali la msingi tembo wetu huko wamepona?
Maana huyu jamaaa ni hatari kupindukia
 
KINANA.... Tembo Specialist. Holder wa Bachelor of Poarching in Elephant Utilization, majoring in tuskers and skins..
Hii nimeipanda. Umesomea wapi ubunifu wewe? This has to be an employment requirement in the field of wildlife poarching.
 
Kinana, Nape na wengineo ndani ya CCM hawana tofauti na vibaraka wengine wa watawala mfano Ali Hassan al-Majid (Chemical Ali) ambaye hata baada ya utawala wa Sadam Hussein kuondolewa madarakani yeye alibaki kupiga kelele na kuihadaa dunia kwamba jeshi lao bado lina nguvu na kuwa bado wanaendesha mapambano.

Ni vigumu sana kwa mtu yeyote anayeishi kwa hila na uovu kuamini ama kukubali kuwa kuna mtu ama kundi la watu linaweza kuhitimisha uovu wake iwe kwa njia ya amani ama nguvu na kwao watatumia kila hila kuhakikisha hilo halifanyiki na kwa wengine hufikia hatua ya kuamua kutamatisha uhai wao mapema kabla aibu haijawafika.
 
huyu jamaa yupo huko njombe sio ki ccm. Yupo huko ki biashara zaidi.Kuna tembo kibao mitaa ya makambako
 
Kinana amesema kuwa chama cha domocracia na maendelea ( chadema) kinaendelea kushika kasi ya kuporomoka na hatimaye kitasahaulika katika medani ya siasa za Tanzania baada ya wanasiasa wake, wabunge na wakereketwa kuendeleza siasa za maji taka ikwemo uzushi na uongo. Ameseama anasikitishwa na kasi ya chama hicho kuzidi kuporomoka kwa kasi ya ajabu hali ambayo itaipa ccm ushindi wa 99% katika uchaguzi wa 2015 na kukosa upinzani kabisa wa kuongoza dola.

Amewataka chadema wajirekebishe ili waendelee kuwa wapinzani kwani bado CCM inahitaji changamoto zao katika kuendelea kuitawala Tanzania; Hawa chadema wanabaya mengi sana ila wanamazuri kiasi hatutaki wapotee kabisa wanatakiwa kuwepo kiana kutupa changamoto lakini kwa jinsi wanavyoenenda sasa watatumbukia katika shimo ambalo hawataweza kutoka tena wajirekebishe kabisa nchi itakasa wapinzani kabisa na kuwa nchi ya chama kimoja hali ikiendelea kuwa hivi.

Kuhusu vyama vingine vya upinzani Kinana alisema vyama hivyo vimeshapotea kabisa katika ramani ya Tanzania na inawezekana baada ya uchaguzi wa 2015 vyama vyote vya upinzani vitasambaratika kabisa hakuna kitu huko tulikuwa na hofu na haya majamaa ya chadema lakini sasa inasikitisha na yenyewe yanakoelekea siko kuzuri.

maneno hayo amenaswa akiyazungumza katika hoteli aliyokuwa amejipumzisha huko mkoani njombe akiendelea na shughuli za kuimarisha chama na kuomba ridhaa nyingine ya akuiongoza Tanzania kwa 50 mingine.

Source: wafatiliaji wa siasa njombe.

hahahahaha naomba kunukuuu '''maneno hayo amenaswa akiyazungumza katika hoteli aliyokuwa amejipumzisha huko mkoani njombe akiendelea na shughuli za kuimarisha chama na kuomba ridhaa nyingine ya akuiongoza Tanzania kwa 50 mingine.'' mnatufurahisha sanaaaa. wakati jamaa akiwa kajipumzisha kitandani, chooni akikata gogo, sebuleni au kwenye makochi ya hoteli??!!
Hotuba nyingi za viongozi ambao walikuwa ni madikteta zilitolewa mda wa mchana baada ya watu kukaa mda mrefu wakisubiri au baada ya watu kula. kipindi hiki damu nyingi husukumwa kwenda tumboni kusaidia uyeyushaji wa chakula. So huu si wakati mzuri sana kwa mtu makini kuongea na vingi atakavyoongea viitakuwa ni utumbo maana akili huwa kwa kipindi hicho imeelekea zaidi maeneo hayo ya mwili. This is a scientific fact.
Turudi kwa Kinana na wanaCCM kwa ujumla

Mnaimba wimbo wa chadema mara nyingi kuliko wa CCM, na sasa nimedhibitisha hata viongozi wenu wakuu ni waumini wakuu wa CHADEMA.. UTAKATAA UTASEMA MBONA WANAICHUKIA...!!?? YOUR WRONG?!! HUWEZI UKAMCHUKIA MTU USIYEMPENDA.. UKIMUONA MWANAUME ANONGEA MANENO YA KUMKASHIFU MWANAMKE ALIYEACHANA NAE ELEWA BADO ANAMPENDA.

USHAURI KWA KINANA; JENGENI CCM NA MTUAMBIE NINI MNAFANYA MNATUTOA VIPI KWENYE UMASKINI, MNAPAMBANA VIPI NA RUSHWA NA UMASKINI, HUDUMA ZA JAMII MNAZIBORESHAJE.. HIYO NDIO CONTRACT TULIYOWEKEANA KATI YETU WANANCHI NA NYIE CHAMA TAWALA NA INAISHIA 2015.
NAJUA MNATAKA KURENEW CONTRACT. SASA KUWENI MAKINI NA KAULI ZENU. CHADEMA WANACONTRACT NYINGINE AMBAYO NI KUWAKOSOA NA KUWAPA MAWAZO MBADALA. NA WENYEWE TUTAWAPIMA MUDA UKIFIKA. HIZI JANJA JANJA ZA KUFIKIRI KUWA MTAKUWA CHAMA CHA KUTAWALA TANZANIA MILELE ZINA MWISHO
 
Nimeshuhudia kwenye headlines za habari za ITV jana kuhusu mkutano wao ule wa Makete wa CCM haukuwa na watu na ule wa Chadema ukatiwa kapuni na kutoonyeshwa!! waliogopa aibu!
 
Hivi ni kwa nini hawa viongozi wa CCM huwa wanaongea kinyume....??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom