Ni zaidi ya waki nzima walimu katika baadhi ya halimashauri za wilaya hawajalipwa mishahara yao na hakuna chochote cha maana kilichoelezwa na wenye dhamana, licha ya kupewa ujira kiduchu na...
Maprofesa wetu wa vyuo vikuu fungukeni sasa kuhusu rasimu ya katiba mpya.kazi ndio inaanza.huwa mnakaa kimya sana kuhusu mambo muhimu yanayotokea nchini.ni woga au ni nini?mnajua kuwa...
seif kutua arusha muda si mrefu,kuja kuongeza nguvu ya cuf katika kuwania nafasi nne za udiwani. Taarifa hizi zimewashtua sana chadema na kuanza kuweweseka juu ya ujio wa huyu mwanasiasa mkongwe...
Ka kweli nimethibitisha usemi kuwa rais kikwete mchapa kazi wa kweli. Hivi sasa nchi yetu inaheshimika sana kwenye international community. Pia, washirika wengi wa maendeleo wanajitokeza...
Akichangia katika mjadala wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi, Mheshimiwa Mkosamali (Mbunge), amewalaumu viongozi mbalimbali wakiwemo wabunge wa CCM kuwa, baada ya kusomeshwa bure na serikali...
Inasikitisha kuona baadhi ya watanzania kwa maslahi yao binafsi hasa utashi wa vyama vya siasa wanajaribu kupotasha uma wa watanzania.Hoja yakudai kwamba Mh raisi ni mbinafsi eti kisa kujengwa...
86.-(1) Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atakuwa ndiye Msaidizi Mkuu wa Rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya Muungano kwa jumla
Hakuna haja ya kuwa na makamu wa rais ni kuongeza gharama tu na...
Kwa upande wangu nina wasiwasi mkubwa juu ya kuwepo uchaguzi mkuu 2015.kwa sababu zifuatazo:
1.mchakato wa katiba mpya bado na nchi haiwezi kuingia ktk uchaguzi bila katiba.
2.Kama tutafanikiwa...
Hivi kweli hii rasimu ya katiba mpya inaendana na thamani ya fedha (value for money ) iliyotumika na tume ya Warioba? Mliomsikiliza jana alisema ni kiasi gani tume imetumia hadi sasa? Je rasimu...
Ndugu wanajamvi moto umewaka sasa kutokana na Rasimu ya katiba. Nimesoma apendekezo ya Rasimu ya katiba ni nzuri ila kuna jambo oja naona hakija kaa vizuri nayo la majina ya nchi washirika...
Waziri Kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Bibi Suzan Lyimo(Mb)-CHADEMA amesema kuwa CCM inategemea ubovu wa elimu kwa wananchi wake na hivyo kuporomoshwa kwa kiwango cha elimu nchini Tanzania...
Katika kile kinachoonyesha uwezo mdogo katika ufanyaji wa kampeni na ukosefu wa utashi wa kisheria kwa baadhi ya watendaji wa serikali ya CCM, Mhe. Philip Mulugo, Naibu waziri wa elimu na Mafunzo...
Kwa upande wangu nina wasiwasi mkubwa juu ya kuwepo uchaguzi mkuu 2015. Kwa sababu zifuatazo:
1.Mchakato wa katiba mpya bado na nchi haiwezi kuingia katika uchaguzi bila katiba.
2.Kama...
Haya mambo mkanyago, kuna mambo nyerere aliyachanganya kila cha tanganyika kukifanya cha tanzania, sasa Tanganyika inarudi, itakuwaje mambo haya.
Wimbo wa taifa wa tanzania ndio wimbo wa taifa wa...
Chama cha ccm baada yakuona hali ni mbaya yakutoudhuriwa na watu wameona wasemekuwa wanaenda kwenye msiba naona wameona hali ni mbaya kwa upande wao nibora wamejua mapema arusha hawana lao chadema...
Kuna taarifa zinasambaa kuwa kuna mpango wa serikali kupeleka bungeni muswada wa mabadiliko ya uchaguzi mwaka 2015. Kama muswada huo kweli upo na kama ukipitishwa na Bunge kuwa sheria basi...
Mikoa mingine inakuwa ya hovyo kwa sababu serikali ya nchi hii inaendeshwa ka mtukio na habari za vijiweni.Sababu nyingine inayowanyima jitetea angalau kupunguza madhara ya udhaifu wa serikali ni...
Vijana kwa mapepe yao walikuwa na bashasha nyingi kuhusu kupunguzwa kwa umri wa kugombea urais lakini kwa rasimu hii ambayo ni dira ya katiba yetu, ni dhahiri kwamba ndoto zao za kuukwaa urais...
Habari zenu wana jamvi, kwa wakati mwingine ningependa nilete kwenu na suala hili. Katika jimbo la Tarime kuna shule moja ambayo ipo takriban kilometa nne kutoka mjini kati na ipo jirani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.