VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Waziri Kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Bibi Suzan Lyimo(Mb)-CHADEMA amesema kuwa CCM inategemea ubovu wa elimu kwa wananchi wake na hivyo kuporomoshwa kwa kiwango cha elimu nchini Tanzania kunafanywa makusudi na CCM ili chama hicho kibaki madarakani. Anayasema hayo sasahivi Bungeni katika Kuwasilisha Bajeti Mbadala wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Bungeni Dodoma. Anasema kweli? Anaendelea kumwaga cheche muda huu Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam