Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Napinga vikali kipengele kinachosema kama rais akitoka upande fulani wa muungano makamo wake atoke upande mwingine wa muungano HUU NI UNYONYAJI.kwanza kabisa rais na makamo wachaguliwe kwa vigezo...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Nimekuta hili tangazo kwenye mtandao lakini kila nikipiga simu haipatikani, nitapata wapi katiba ya Tanganyika ya 1961. KATIBA YA TANGANYIKA YA MWAKA 1961 *Ninauza nakala halisi ya Katiba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Maneno hayo yalisemwa jana na Kamanda Mawazo wakati wa kuwaaga waandamanaji waliotembea kilomita sita kumsindikiza mgombea .Aliwaambia hata mamilioni ya Ngeleja hayawezi tena kuwashinda...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Suala la Matokeo ya Kidato cha nne 2012 kufutwa na kupangwa upya linahitaji maelezo ya kina kwa sababu zifuatazo: 1. Taarifa ya Tume ya Pinda bado haijawekwa hadharani ili umma ujue hasa nini...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani tuangalie huu muungano tulionao na znz na kuelekea kuwa waubia wa 50% katika serikali, inafaidisha zaidi znz kutokana na jografia za znz na tanganyika. Tatizo la wadau wengi tuaiangalia...
0 Reactions
0 Replies
878 Views
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishuka kutoka kwenye kivuko cha MV Sengerema tayari kufungua kampeni za udiwani kata ya Nyampulukano. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akisalimiana...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kazi kubwa ya mbunge ni kuwaakilisha wananchi wake katika Bunge la jamuhuri ya muungano, mhimili mkuu wa demokrasia nchini ambalo kazi yake kuu ni kutunga sheria, kuisimamia serikali ikiwa ni...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Imekuwa ni kawaida kwa viongozi wa ccm kuwa na kauli mbiu"NI UPEPO TU UTAPITA" Kila kitu ni upepo tu utapita,hata jambo linalohatarisha amani ya nchi ni upepo,kila kitu ni upepo! Hawa watu vp?
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Mbatia leo alipokuwa akichangia bungeni wakati wa kujadili bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kasema vitabu vinavyotungwa kwa ajili ya watoto wetu vinadanganya kwahiyo ukichanganya na...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
NIMEPATA kuandika huko nyuma kuwa watawala wengi ndani ya CCM na Serikali yake wana hofu kubwa kwamba kiwango cha ufisadi wao kitaanikwa hadharani, na hata kushitakiwa mahakamani endapo CHADEMA...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
  • Closed
Kwanini wabunge wa CHADEMA hawahoji matumizi na jinsi gani fedha za MOU zinavyotumika katika sekta ya elimu? Ukimya huu bungeni unasababishwa na nini hasa ukizingatia 2015 tunapanga kuwapa nchi...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam, imezima jaribio la wizi wa shaba yenye thamani ya shilingi milioni 300, iliyokuwa ikisafirishwa kutoka Zambia, katika tukio hilo wakati Polisi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
132. Mtu atastahili kuchaguliwa kuwa Spika au Naibu Spika endapo atakuwa na sifa zifuatazo- (a) angalau awe na elimu ya Chuo Kikuu kinachotambulika kwa mujibu wa sheria za nchi;
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Katika kupitia kwa undani na kwa urefu nimebaini kuwa Rasimu ya Katiba haijatoa mwelekeo wowote katika mustakabali wa Serikali za Mitaa na uwakilishi wa watu na hakuna serikali yoyote duniani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kuna Raisi ambaye anafanana na Mlm Nyerere aliyewahi kutokea Tanzania basi ni Bw.Kikwete, ukifwatilia mambo ya Raisi Kikwete utaona ulinganifu mkubwa sana na Mlm Nyerere, hasa ktk mambo ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
MFANO MADARAKA YA UTEUZI BILA KUSHIRIKISHA BUNGE """""""""MADARAKA YA RAIS Ndugu Wananchi, Tume inapendekeza kwamba, Rais abaki na madaraka ya uteuzi wa viongozi wa ngazi za juu. Hata...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ikiwa ni siku moja baada ya rasimu ya katiba mpya kutolewa rasmi, ambayo inaonesha kazi ya usajili wa vyama vya siasa kufanywa na tume huru ya uchaguzi.. Mh. JOHN TENDWA anaeshikilia nafas hiyo...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Nchi ya Malawi imepinga na kulalamika kuhusiana na kusudio la Tanzania kupeleka meli mbili za abiria katika ziwa Nyasa na kudai, kitendo cha kufanya hivyo kitaadhiri na kutishia mazungumuzo...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Ibara ya 39 Ibara ndogo ya 3 (3) Raia wa Jamhuri ya Muungano hatapelekwa katika nchi ya nje yoyote kujibu mashtaka au kufanyiwa mahojiano ya aina yoyote kinyume cha ridhaa yake. Hii ina mana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Najua Viongozi wetu wanapenda huu muundo kwa sababu ya Madaraka. Lakini kwa mwananchi wa Kawaida wa Zanzibar huu muundo hauna tija kwetu. Tusubiri tuone. Kasheshe @ Bububu,
3 Reactions
140 Replies
10K Views
Back
Top Bottom