kuelekea 2015.


K

kunyala

Member
Joined
Apr 11, 2013
Messages
77
Points
0
K

kunyala

Member
Joined Apr 11, 2013
77 0
Kwa upande wangu nina wasiwasi mkubwa juu ya kuwepo uchaguzi mkuu 2015. Kwa sababu zifuatazo:
1.Mchakato wa katiba mpya bado na nchi haiwezi kuingia katika uchaguzi bila katiba.
2.Kama tutafanikiwa kupitisha hii rasimu kuwa katiba basi Zanzibar na Tanzania bara nazo zitahitaji katiba zao tofauti kila moja hivyo tunaitaji mda tena wa kwa katiba hizo mbili.

Kama nguvu kazi ya Taifa unalionaje hilo?
 

Forum statistics

Threads 1,285,845
Members 494,777
Posts 30,875,753
Top