Ndugu zangu watanzania napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wamiliki wa "Jamii Forums" kwa jinsi walivyoona fursa ya kutuletea mtandao ambao tunautumia kuwasiliana, kubadilishana mawazo na...
Mwenyektii wa jukwaa la wahariri Absalom Kibanda amerejea nchini baada ya matibabu ya muda mrefu nchini Afrikakusini huku akiomba polisi kueleza ukweli wa yaliyotokea na kuchukua hatua kwa yeyote...
Ni jedwali lenye idadi ya shule kwa kila mkoa na pesa iliyotengwa kukarabati shule za Serikali,
Wabunge wengi wameikataa huku wengi wakishangaa mkoa Kilimanjaro kupewa mgao wa shule zaidi ya 120...
mbunge mmja wakati anachangia wizara ya elimu amemuuliza waziri kuhusu kamati ya kutunuku ambayo iliwanyima vijana wa kiislamu kwa kuwapa lower grade lakini wale bible knowledge wakipewa higher...
Katiba Tanzania Bara yanukia
Dar es Salaam. Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chakawe amesema upo uwezekazo wa Katiba Mpya ya Tanzania Bara ikapatikana kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2015...
SURA YA NNE
HAKI ZA BINADAMU, WAJIBU WA RAIA NA MAMLAKA ZA NCHI SEHEMU YA KWANZA
HAKI ZA BINADAMU
....
"(5) Ni marufuku kwa mtu, kikundi au taasisi ya dini kutumia uhuru
wa kutangaza dini kwa...
Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa amesema hatimaye amefanikiwa kukamilisha sheria itakayoshikisha adabu wanasiasa.
Tendwa amesema sheria hiyo inasema mwanasiasa yeyote atakayekamatwa...
UHASAMA wa kisiasa kati ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto, Sophia Simba na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango, umevuka mipaka na sasa ni uadui wa wazi wazi. Hali hiyo...
Kampeni za udiwani wa kata ya Mianzini, Mbagala wilayani Temeke zimeingia katika hatua nzuri huku vyama viwili vikionekana kupambana kikamilifu HATAHIVYO dalili zinaonyesha mgombea wa CCM mmiliki...
Tangu jana wabunge wa CCM kwa makusudi kabisa wameamua kulipotosha taifa na kuligawa makusudi na kuchochea chuki baina ya watanzania kwa mrengo wa ukabila kwa kusema kuwa Mkoa wa Kilimanjaro...
Ukisoma hii article 151 (1) "Jaji Mkuu atateuliwa na Rais kutoka miongoni mwamajina ya watu watatu yaliyopendekezwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama na kabla ya kuapishwa jina lake litawasilishwa...
Watanzania tuisome rasimu hii ili tupate katiba safi itakayoleta mwanga mpya wa taifa letu.
Wajumbe wa mabaraza ya katiba pia mtutendee haki.
Wana jf kazi kwetu.​
Kama kuverify makazi ya raia wao mpk wapewe hela kidogo ndio wagonge muhuri barua za raia,au hati za mauziano ya viwanja?shame on tanzania,viongozi tunaowachagua na wanaoteuliwa wote wala rushwa
Nimeshangaa sana jinsi Maraisi wa Africa wamekuwa wanaalamika juu ya suala la Kenyatta wa Kenya na suala la kushitakiwa Mahakama ya Kimataifa (ICC). Wanadai yafuatayo;
"There shouldn't be a court...
Taifa linaingia katika kipindi kigumu cha uchumi wetu kuwa tegemezi,tumeona deni la Taifa linaongezeka siku hadi siku toka tilioni 6 mwaka 2005 hadi kufikia tilioni 23 mwaka 2013.Matumizi yasiyo...
Baada ya kuona kombati alizoanza kutumia Mbowe CHADEMA na kisha kukubalika kwa watu wengi nchini, hasa vijana, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Kaka Mwigulu Nchemba naye ameamua kuwa muasisi wa...
Mijadala ya makadirio ya bajeti ya wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi inaendelea kwa siku ya pili hii leo.
Wabunge wengi waliopata nafasi ya kuchangia kwenye bajeti hii wameona kuna haja ya...
Waziri wa Elimu Dkt Shukuru Kawambwa amesema serikali isilaumiwe kutokana na matokeo mabaya ya Kidato cha Nne mwaka 2012. Dkt Kawambwa pia amesema madai ya kumtaka ajiuzulu ni kelele za kupuuzwa...
Nimepitia rasimu ya katiba ibara ya 30 ibara ndogo ya nne naona kama inatoa mwanya kwa kuingiza sheria kandamizi dhidi ya habari kama zinavyolalamikiwa sasa. Wajuzi wa sheria naomba mnipe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.