Serikali ya CCM walipeni mishahara walimu

N

Nzagabulu

Member
Joined
Jan 3, 2013
Messages
59
Likes
0
Points
13
N

Nzagabulu

Member
Joined Jan 3, 2013
59 0 13
Ni zaidi ya waki nzima walimu katika baadhi ya halimashauri za wilaya hawajalipwa mishahara yao na hakuna chochote cha maana kilichoelezwa na wenye dhamana, licha ya kupewa ujira kiduchu na serikali lakini bado inawcheleweshea mishahara yao, baadhi ya wilaya zilizokumbwa na kadhia hiyo ni pamoja na Ilemela, Nyamagana, Ukelewe, Kigoma na nyingine kadhaa, Swali langu kwa hawa wakubwa, wanataka kusema hawalijui hilo? au kwa kuwa wao posho yao wanalipwa ndo hawawjali wengine.
 
N

Nzagabulu

Member
Joined
Jan 3, 2013
Messages
59
Likes
0
Points
13
N

Nzagabulu

Member
Joined Jan 3, 2013
59 0 13
Waalimu katika baadhi ya halimashauri za wilaya hapa nchini bado hawajalipwa mishahara ya mwezi mei, aidha hakuna sababu yoyote ya msingi iliyokwisha kutolewa na watawala juu ya kadhia hiyo,kukaa kimya kwa watawala kunaashiria hawahusiki na kadhia hii wanayoipata waalimu, niwaombe wahusika wasitafute mchawi pindi serikali yao inapozidi kuchukiwa na waalimu. Mifano ya halimashauri ambazo walimu wake hawajapata mishahara yao ni pamoja na Jiji la Mwanza, Wilaya ya Ukelewe,Kigoma mjini, Kigoma Vijijini, Kibondo na Nyingine nyingi.
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
15,407
Likes
6,419
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
15,407 6,419 280
Dawa ni kuitoa Ccm si ndiyo tatizo
kwa muda huu.
 
H

Haludzedzele

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Messages
1,071
Likes
155
Points
160
H

Haludzedzele

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2012
1,071 155 160
akili kumkichwa!
 
N

Naghenjwa

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Messages
724
Likes
3
Points
0
N

Naghenjwa

JF-Expert Member
Joined May 10, 2013
724 3 0
Mshahara wenyewe mdogo haufiki hata tar 15 still bado hamjapata? poleni.
 
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
3,396
Likes
19
Points
135
Makala Jr

Makala Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
3,396 19 135
Mbayuwayu: Akili za kuambiwa changanya na za kwako, hapo kama ulikatazwa kufuga japo kuku wa mayai basi itakuwa tabu zaidi
 
M

mapiki

Member
Joined
Jan 8, 2013
Messages
20
Likes
0
Points
3
M

mapiki

Member
Joined Jan 8, 2013
20 0 3
Ni zaidi ya waki nzima walimu katika baadhi ya halimashauri za wilaya hawajalipwa mishahara yao na hakuna chochote cha maana kilichoelezwa na wenye dhamana, licha ya kupewa ujira kiduchu na serikali lakini bado inawcheleweshea mishahara yao, baadhi ya wilaya zilizokumbwa na kadhia hiyo ni pamoja na Ilemela, Nyamagana, Ukelewe, Kigoma na nyingine kadhaa, Swali langu kwa hawa wakubwa, wanataka kusema hawalijui hilo? au kwa kuwa wao posho yao wanalipwa ndo hawawjali wengine.
Aise ni balaa, especially ya Halmashauri ya Rungwe, Mbeya inanuka kabisa. Serikali ilitangaza walimu wapya wataanza kulipwa mwezi huohuo walioripot lakin walimu wapya wameanza kulipwa mwezi wa tano na miezi mingne wameambiwa wadai. Na Rungwe ilivyo hiyo ndo wasahau. Nashangaa Halmashauri zingine wamepewa, Rungwe no why???? Serikali please icheki Rungwe vizuri mambo mengi hayaendi, management ni kama haipo kabisa.
 
KIJOME

KIJOME

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Messages
3,088
Likes
37
Points
145
Age
48
KIJOME

KIJOME

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2012
3,088 37 145
Katika jesshi kubwa la ukombozi na kuwaondoa masisiem ni waalimu,nashangaa sana kwa ukondoo wao na kucheka na majangili wakati wanalipwa mshahara wa hausigeli...
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
15,058
Likes
5,779
Points
280
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
15,058 5,779 280
tutawalipa uchaguzi ukikaribia!!
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
15,058
Likes
5,779
Points
280
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
15,058 5,779 280
Ni zaidi ya waki nzima walimu katika baadhi ya halimashauri za wilaya hawajalipwa mishahara yao na hakuna chochote cha maana kilichoelezwa na wenye dhamana, licha ya kupewa ujira kiduchu na serikali lakini bado inawcheleweshea mishahara yao, baadhi ya wilaya zilizokumbwa na kadhia hiyo ni pamoja na Ilemela, Nyamagana, Ukelewe, Kigoma na nyingine kadhaa, Swali langu kwa hawa wakubwa, wanataka kusema hawalijui hilo? au kwa kuwa wao posho yao wanalipwa ndo hawawjali wengine.
lazima tukwamishe wilaya zilizo na harufu ya upinzani.
 
mbaraka.m

mbaraka.m

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
210
Likes
2
Points
0
mbaraka.m

mbaraka.m

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
210 2 0
Tusubiri zero mpya %95!ila jamaa watastandardize hadi wafaulu!
 
Landala

Landala

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Messages
948
Likes
87
Points
45
Landala

Landala

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2010
948 87 45
poleni walimu kwenye halmashauri ambazo hamjapewa mishahara yenu cha muhimu kwenu ni kujihusisha pia na ujasiliamali kuliko kutegemea tu mshahara.
 
H

Haludzedzele

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Messages
1,071
Likes
155
Points
160
H

Haludzedzele

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2012
1,071 155 160
inakatisha tamaa sana kazi ifanywe malipo longo longo
 
usiniguse

usiniguse

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,483
Likes
539
Points
280
usiniguse

usiniguse

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,483 539 280
Fundishen kulingana na malipo
 
B

Bobuk

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
5,875
Likes
496
Points
180
B

Bobuk

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
5,875 496 180
Ni zaidi ya waki nzima walimu katika baadhi ya halimashauri za wilaya hawajalipwa mishahara yao na hakuna chochote cha maana kilichoelezwa na wenye dhamana, licha ya kupewa ujira kiduchu na serikali lakini bado inawcheleweshea mishahara yao, baadhi ya wilaya zilizokumbwa na kadhia hiyo ni pamoja na Ilemela, Nyamagana, Ukelewe, Kigoma na nyingine kadhaa, Swali langu kwa hawa wakubwa, wanataka kusema hawalijui hilo? au kwa kuwa wao posho yao wanalipwa ndo hawawjali wengine.
Mbona hiza wilaya zote ni zile amabazo zinaongozwa na Wapinzani?

Ilemela Highness Kiwia (CDM)
Nyamagana Hezekiel Wenje (CDM)
Ukerewe Salvatory Machemuli (CDM)
Kigoma Zitto Kabwe (CDM)

I smell rat! huu utakuwa mchezo mchafu unaofanywa na Serikali ya CCM. Wilaya nyingine zinazoongozwa na CCM tulipata tangia 28/05
 
MARUMARU

MARUMARU

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
250
Likes
11
Points
35
MARUMARU

MARUMARU

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
250 11 35
Waalimu wamezidi uoga na ujinga coz hata haki zao za msingi hawawezi kudai ! Ila tunashukuru mlitusaidia, endeleeni kuteseka hayo ndio maisha mliyoyachagua
 
E

emkey

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Messages
726
Likes
17
Points
35
E

emkey

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2011
726 17 35
umeshafurahi? unadiriki kufananisha mshahara wa mwl na mshahara wa house girl? siyo kosa lako... umesoka na mambumbumbu wenzako,... ova
 
Forum statistics

Threads 1,275,103
Members 490,908
Posts 30,532,754