Rasimu ya katiba mpya imeambatanishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rasimu ya katiba mpya imeambatanishwa

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by mmteule, Jun 4, 2013.

 1. m

  mmteule JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2013
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 523
  Trophy Points: 180
  Watanzania tuisome rasimu hii ili tupate katiba safi itakayoleta mwanga mpya wa taifa letu.
  Wajumbe wa mabaraza ya katiba pia mtutendee haki.
  Wana jf kazi kwetu.​
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2013
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hii nayo kali kabisa! hii ni malalamiko kuhusu uhalali wa uchaguzi wa urais::
  (4) Kwa madhumuni ya Ibara ndogo ya (3), Mahakama ya Juuinaweza kutoa uamuzi bila kutoa sababu za uamuzi na sababu hizozikatolewa ndani ya kipindi kisichozidi siku thelathini tangu siku ya
  kutoa uamuzi.
   
 3. cabhatica

  cabhatica JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2013
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 1,074
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Pamoja mkuu! Ngoja niisome page by page phrase by phrase word by word. Kurasa 107 sio nyingi
   
Loading...