Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mtu yeyote mwenye busara huwa anatafakari kwa kina kabla ya kufanya maamuzi au kuana kutekeleza jambo lolote, Busara za mtu hazipimwi kwa utajiri wa mtu wala elimu ya mtu! Taifa letu linapita...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni karibu wiki sasa inaisha huyu Waziri alitoa Rushwa kata ya Mbalamaziwa mkoa wa Iringa , pasipo yeye kujua alirecodiwa na Mzalendo mmoja, CD tayari zimepelekwa kwa msimamizi wa uchaguzi na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
KWAMBA, Katiba ya Tanganyika itawezaje kutengenezwa ndani ya mwaka mmoja (1) mara baada ya Katiba ya Shirikisho itakayoainisha uwepo wa serikali tatu (3) kupitishwa 26 Aprili, 2014 halafu...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
jamani leo nilikuwa nachek updates za safari za rais wetu nikaona kuwa amefikisha safari 350 kiukweli huko ni kwenda tu, kwa hyo kwenda na kurudi ni safari 700 hizo ni siku 700 almost 2 years za...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Moja- Wabunge wanawake na wanaume jimbo moja halikubaliki ni gharama kubwa sana kwa walipa kodi Mbili- Serikali Tatu ni mzigo mkubwa kwa taifa masikini kama Tanzania Tatu- Muundo wa serikali ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau hadi leo tar.6 june watumishi wilaya ya magu,mwanza hatujadaka haki yetu ya mwezi baada ya kusota siku 30 za mwajiri.Kibaya zaidi hatujaelezwa tatizo ni nini.Kweli huu ni uungwana kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Posted in Tanzania 5 Jun 2013 African Union, Civic United Front (CUF), Ibrahim Lipumba, kikwete. MOSES MATTHEW Civic United Front (CUF) has strongly appealed for unity among Tanzanians...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Maalim seif sharif HAMAD AIBU TUPU KTK MKUTANO WA KAMPENI KATA YA ELERAI BAADA YA KUDANGANYWA NA JOHN BAYO MGOMBEA UDIWANI KUWA ANAKUBALIKA MATOKEO YAKE NI AIBU KWA MAKAMU WA RAIS NA MSAFARA WAKE...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
  • Closed
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Bw. Laurence Bay, Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore.
3 Reactions
64 Replies
8K Views
Kila Mtoto Ana Haki ya Kucheza
1 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Sitawaelewa TCU kwa kuruhusu Chuo Kikuu cha Kiislam pale Morogoro kudahili waislamu tu! Vyuo vikuu vyote vinaratibiwa na TCU, yaani kwa ubora wa waalimu, wanafunzi wanaodahiliwa, pamoja na ubora...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF sijaona faida ya huu muungano na hawa wanzazibar zaidi ya kutumia rasilimali zetu watanganyika kuendesha serikali ya zanzibar na Jamhuri ya Muungano.. na hii rasimu inazungumzia serikali...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kama Tume yako imeandaa Rasimu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wenye kujumuisha zilizokuwa nchi huru,tena Jamhuri, za Tanganyika na Zanzibar,iweje sisi tuitwe Tanzania Bara na wenzetu wabakie...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakati wenzetu wakenya wakianza kukabidhi laptop kwa wanzafunzi, Mbunge wa CCM, Eugine Mwaiposa anadai watoto wamefeli kwa sababu ya kutumia internet! Hivi, kule Ileje, Nkasi, Nanyumbu n.k kumejaa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Naibu Katibu Mkuu wa CUF Tanzania Bara, Julius Mtatiro ameonya harakati za vyama vya upinzani kuelekea uchaguzi ujao. Waraka wa Mtatiro ulionaswa na Habarimpya.com unalenga kuvionya vyama ya...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Wakazi wa kata ya stesheni wilayani nachingwea wametapa kuibwaga ccm kwenye uchaguzi utakao fanyika tarehe 16th june, 2013. Ccm inahaha kumnusuru mathias chikawe ambaye stesheni ni nyumbani...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Waziri mkuu aliejiuzulu,Edward Lowassa amesema si tajiri na wala hana fedha bali ana ushawishi mkubwa na wafuasi wengi wanaomuunga mkono katika shughuli za kimaendeleo ndizo zinazomng'arisha...
0 Reactions
1 Replies
967 Views
Najaribu fikiri ni vipi Katiba inaweza kuweka Mahakama ya kadhi bila ,kuicha ktk lawama ambazo serikali na Bakwata wanazipata Leo? Pamoja na ukweli kuwa hata wakristu nao wanaweza weka Amri 10...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Maana ya utawala bora, Ni usimamizi wa rasilimali za nchi kwa minajili ya kuwepo na uwazi,uwajibikaji,,usawa, nakujali mahitaji ya wananchi. Mwalimu Nyerere alisema bila ya utawala bora...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Nimetazama taarifa ya ITV nikakutana na watu wawili wa ajabu sana. Kuna kinana ambaye kapooza km ana ganzi,huku akitaka viitikio vya ndio hapana ktk majukwaa .Ingawa najua hiyo itamliza haraka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom