Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TUME YA UTUMISHI WA UMMA. KIFUNGU NA 178 KIFUNGU KIDOGO NA (4) "Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma atateuliwa na Rais baada ya kuidhinishwa na Bunge kutoka miongoni mwa watumishi waandamizi wa...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Ni jioni hii wakati akichangia hotuba ya wizara ya elimu na mafunzo,mbunge wa Rombo, Joseph Selasini ameitaka serikali iziachie dini husika kushughulikia suala la kuratibu namna ya kuendesha elimu...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jijini Singapore leo wakati alipokutana na wafanyabaishara za ujenzi wa nchi hiyo mara tu baada ya kutua kutoka Japan alikokuweko kwa ziara ingine ya kikazi...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Rasimu ya Katiba mpya iliyozinduliwa juzi na Makamu wa Rais wa Tanzania,Dr.Mohamed Gharib Bilal imeyazungumzia mabilioni ya vigogo,hasa viongozi wa umma. Ibara ya15, Ibara ndogo ya 2 inakataza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeipitia rasimu ya katiba, haya maisha yalivyo magumu tukiongeza na rais wa tatu itakuaje, maana kuhudumia marais watatu wenye mawaziri kumi natano manaibu waziri 15 makatibu wakuu ,watu wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbunge mmoja akichangia bajeti ya wizara ya elimu ameonyesha kukerwa na tabia ya serikali kuonyesha upendeleo wa mikoa ya kaskazini.Mbunge huyo ametoa mifano mbali mbali kuelezea hali hiyo...
1 Reactions
50 Replies
6K Views
Waziri Hawa Ghasia katika mkutano wake na wenyeviti wa Halmashauri wakurugenzi na wahandisi kilichofanyika Morogoro tarehe 3/6/2013 katika Hoteli ya Edima aliwatangazia kuwa ni marufuku kutoa...
0 Reactions
87 Replies
7K Views
Amewaambia mawaziri,wabunge,viongozi wa siasa na wananchi hivi sasa wakati anaahirisha bunge kuwa "acheni siasa kwenye suala la Elimu" Akawaambia "talk on issues not people" Spika Makinda amesema...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika hatua nyingine ambayo ni ya kihistoria katika hatua za awali za upatikanaji wa katiba mpya.Tume ya Katiba imetoa rasimu yake,na imezungumzia mambo mengi yaliyojadiliwa na wananchi mojawapo...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Just thinking aloud,hivi Marehemu Mwalimu ange react vipi baada ya kusoma hii rasimu ya Katiba?
0 Reactions
6 Replies
995 Views
ibara inataka mwenyeki awe na sifa kama (1)awe raia - (2) awe na shahada ya chuo kikuu (3) awe na uzoefu katika utumish wa umma kipindi kisichopungua miaka kumi (4) na mtu mwenye heshima...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sote tunajua Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda alirudi jana akitokea Afrika Kusini alipokuwa akitibiwa. Lakini jambo la kushangaza kwa serikali yetu na hasa chama...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Nanukuu 'Mtumishi wa umma aliye katika ajira ya kudumu hataruhusiwa kuingia katika ajira nyingine ya malipo ya mshahara'. Ibara hii inaweza kuwa nzuri sana kwa kuwa itajenga mazingira ya watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
katika hii mika ya karibuni wezetu wa mrima wamebandikwa ukalululu wa makusudi wamini kuwepo kuna Tanzania Zanzibar lakini hakuna Tanzania Tanganyika ,Nchi mbili hizi kabla ya kuzaliwa Jamhuri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Licha ya kusifikia kama kisiwa cha amani na utulivu, Tanzania ni Taifa la Majanga ya Kila Aina. Kwa miaka zaidi ya hamsini sasa, bado tunapambana na maadui wale wale wa maendeleo – Umaskini...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nakumbuka siku za karibuni , CHADEMA walipotangaza kususia mchakato mzima wa uundwaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano, huku wakimtaka mwakilishi wao kwenye tume ya katiba, Prof. MWEISIGA...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni ukweli usiobishaniwa kuwa J.Kikwete ni baba wa katiba mpya hapa Tanzania. Kama kweli katiba mpya itapatikana. Kama kweli katiba mpya itapatikana kwa haki na amani. Kama kweli katiba mpya...
0 Reactions
73 Replies
5K Views
Watanzania na watanganyika wenzangu ni dhahiri suala la katiba mpya halikwepeki tena na kwa mjibu wa tume ya katiba 2014 tutakuwa na katiba mpya. Na lazima suala la serikali tatu litapita tu sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua kwani kwa muda mrefu nimesikia kuwa hawa jamaa wapo Arusha kwa ajili ya kuongeza nguvu ila sijapata kuona au kusikia mkutano wa chama cha mapinduzi ukifanyika si maanishi kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom