Wabunge wa CCM wanapotosha taifa kuhusu ukarabati wa shule...takwimu

  • Thread starter Mpaka Kieleweke
  • Start date

Mpaka Kieleweke

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2007
Messages
4,134
Likes
80
Points
145
Mpaka Kieleweke

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2007
4,134 80 145
Tangu jana wabunge wa CCM kwa makusudi kabisa wameamua kulipotosha taifa na kuligawa makusudi na kuchochea chuki baina ya watanzania kwa mrengo wa ukabila kwa kusema kuwa Mkoa wa Kilimanjaro umependelewa katika idadi ya shule ambazo zitakarabatiwa , nimepitia kitabu husika na haya ndio majibu .

mkoa wa Mwanza zinakarabatiwa shule 98
mkoa wa mbeya 74
mkoa wa mara 71
manyara 66
tanga78
kilimanjaro100
shinyanga 77
kagera 75

hapo sijalinganisha uwiano wa shule kwenye mikoa husika kwani hizo takwimu hazipo naendelea kuzitafuta ili niweke na tuweze kufanya tathimini ya uhalisia .

Jumla ya shule za serikali ni 1200 kwa nchi nzima ,
 
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
7,684
Likes
850
Points
280
Age
68
K

kinauche

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
7,684 850 280
Tangu jana wabunge wa CCM kwa makusudi kabisa wameamua kulipotosha taifa na kuligawa makusudi na kuchochea chuki baina ya watanzania kwa mrengo wa ukabila kwa kusema kuwa Mkoa wa Kilimanjaro umependelewa katika idadi ya shule ambazo zitakarabatiwa , nimepitia kitabu husika na haya ndio majibu .

mkoa wa Mwanza zinakarabatiwa shule 98
mkoa wa mbeya 74
mkoa wa mara 71
manyara 66
tanga78
kilimanjaro100
shinyanga 77
kagera 75

hapo sijalinganisha uwiano wa shule kwenye mikoa husika kwani hizo takwimu hazipo naendelea kuzitafuta ili niweke na tuweze kufanya tathimini ya uhalisia .

Jumla ya shule za serikali ni 1200 kwa nchi nzima ,
Nilikuwa ninatafuta hiki kitu. Asante sana kwa kukiweka wazi. Hawa wabunge wana-rattle tu pasipo kujenga hoja. Sasa mtu ana shule 10 anataka zote zikarabatiwe halafu mwenye mwenye shule zaidi ya 80 zikarabatiwe 10 vilevile. This is being myopic. Ni lazima pawepo na uwiano unaokubalika. Hivi hawa wabunge huwa kweli wanasoma vitabu vyote vya hotuba pamoja vile ambavyo ni attendant? Kama hawafanyi hivyo wanapata wapi ujasiri wa kuchangia hoja? Mimi nasema wanakwenda tu kuuza sura bungeni. Ndiyo hao waandishi mbalimbali wa magazeti wanalalamika kuwa baadhi ya wabunge siyo tu hawasomi documents mbalimbali bali hata bungeni hawakai ila wanangoja kwenda kusema 'Ndiyooo! Hii ni aibu. Lakini mwisho wa siku wanatoka na 150,000. Hii haikubaliki.

Hao wabunge wanaopiga kelele watuletee idadi ya shule kwenye kila mkoa na kisha watupe idadi ya shule zinazokarabatiwa. Let us all aim at doing justice to this country.
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,618
Likes
6,134
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,618 6,134 280
weka takwimu pia za mikoa ya kusini mkuu lindi,mtwara,ruvuma,rukwa,kigoma,tabora!!!CCM ni chama cha zamani,ina mambo yao ya kizamani,mipango yake ya maendeleo ni ya kizamani
 
kanga

kanga

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
1,022
Likes
88
Points
145
kanga

kanga

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
1,022 88 145

Kama yule mbunge Said Mtanda anatoka povu tu bila sababu za maana na statisitics.Kwa mfano shule Kongwe Lindi ambayo inaweza kuhitaji ukarabati mkubwa ni shule moja tu ya Lindi Sekondari, zingine zote ni mpya na zimejengwa wakti wa sera ya Shule za Kati miaka ya 2000 .Sasa shule jana tu inaweza kulinganisha na shule kongwe kama Ndanda, Weruweru,Ashira, Kibosho, Moshi, Umbwe au Moshi Tech.Non sense kuwa na wabunge takataka wanaowaza kwa kutumia takataka kichwani.
 
Mpaka Kieleweke

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2007
Messages
4,134
Likes
80
Points
145
Mpaka Kieleweke

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2007
4,134 80 145
weka takwimu pia za mikoa ya kusini mkuu lindi,mtwara,ruvuma,rukwa,kigoma,tabora!!!CCM ni chama cha zamani,ina mambo yao ya kizamani,mipango yake ya maendeleo ni ya kizamani
Tabora shule 51
kigoma shule 38
Mtwara shule 36
lindi shule 30
ruvuma shule 44
 
Mpaka Kieleweke

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2007
Messages
4,134
Likes
80
Points
145
Mpaka Kieleweke

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2007
4,134 80 145
Tatizo sina idadi kamili kwa kila mkoa una shule ngapi , naendelea kutafuta idadi nikiipata nitaweka hapa kwa ajili ya mjadala
 
bullet

bullet

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
1,004
Likes
129
Points
160
bullet

bullet

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
1,004 129 160
Kama yule mbunge Said Mtanda anatoka povu tu bila sababu za maana na statisitics.Kwa mfano shule Kongwe Lindi ambayo inaweza kuhitaji ukarabati mkubwa ni shule moja tu ya Lindi Sekondari, zingine zote ni mpya na zimejengwa wakti wa sera ya Shule za Kati miaka ya 2000 .Sasa shule jana tu inaweza kulinganisha na shule kongwe kama Ndanda, Weruweru,Ashira, Kibosho, Moshi, Umbwe au Moshi Tech.Non sense kuwa na wabunge takataka wanaowaza kwa kutumia takataka kichwani.
Nilimuona kweli huyo Mbunge Mtanda ila sikujua alikuwa anaongea juu ya nini. Ingebidi apitie statistics na kujua ni shule ngapu zina hitaji ukarabati na kuliko ku generalize maana si shule zote zinakarabatiwa maana zipo nyingine ni mpya. Ila kuna shule kongwe zinahitaji ukarabato wa haraka, mfano si tumeona wanafunzi wa Mzumbe wakiandamana kuhusu miundombinu mibovu? Hao ndio wa kupewa priority regardless ni mkoa gani!
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,618
Likes
6,134
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,618 6,134 280
Tabora shule 51
kigoma shule 38
Mtwara shule 36
lindi shule 30
ruvuma shule 44
halafu wabunge wanaotoka maeneo haya ndiyo wanaongoza kwa kusema naiafiki HOJA na NDIYOO!!!
 
Mpaka Kieleweke

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2007
Messages
4,134
Likes
80
Points
145
Mpaka Kieleweke

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2007
4,134 80 145
halafu wabunge wanaotoka maeneo haya ndiyo wanaongoza kwa kusema naiafiki HOJA na NDIYOO!!!
Huwa spika anawauliza Wanafiki waseme ndiyoo.....wanafiki si lazima waseme?au ulitaka wasiseme wakati ni wanafiki ...........
 
Forum statistics

Threads 1,275,227
Members 490,947
Posts 30,536,187