Nini kazi za wenyeviti wa mitaa na afisa watendaji?


S

Solarpanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2012
Messages
236
Likes
1
Points
35
S

Solarpanel

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2012
236 1 35
Kama kuverify makazi ya raia wao mpk wapewe hela kidogo ndio wagonge muhuri barua za raia,au hati za mauziano ya viwanja?shame on tanzania,viongozi tunaowachagua na wanaoteuliwa wote wala rushwa
 

Forum statistics

Threads 1,273,319
Members 490,351
Posts 30,477,938