Kabla ya kuandika katiba ya Jamhuri ya watu wa Tanganyika (People's Republic of Tanganyika), tusubiri kwanza mabadiliko (fine-tuning) ya rasimu na refferrendum.TUME ILIYOUNDWA HAIKUWA WA UFAHAMU WA KUTOSHA. SUALA LINGEKUWA KWAMBA KAMA TUMEKUBALIANA KUWA NA SERIKALI TATU, KURA ZA MAONI ZINGEPIGWA, KAMA IKIKUBALIKA, IUNDWE TUME YA KUSHUHULIKIA KATIBA YA TANGANYIKA KWA KUTUMIA HADIRU ZA REJEA ZILEZILE, WATANGANYIKA NDIO WAAMUE kama tunataka wbunge wanamna gani, Wakuu wa mikoa wawepo au wasiwepo, n.k. ZANZIBAR TAYARI WALISHAANDIKA KATIBA YAO. hatuwezi kuwa na bunge lenye wanzibar wakati wao kuna mambo hawatatakiwa kuyajadili mfano madini, maji, elimu, afya n.k.
Kabla ya kuandika katiba ya Jamhuri ya watu wa Tanganyika (People's Republic of Tanganyika), tusubiri kwanza mabadiliko (fine-tuning) ya rasimu na refferrendum.
Hatuwezi kuandika katiba mbili kwa mpigo, ilhali bado Tanganyika haijapewa uhuru wake wa kikatiba. Tatizo, hawa wajumbe wa mabaraza .... dah, wengine nawajua ni watu wa kijiweni tu, ila ni watanzania na wana haki hiyo.
I hope vyama vya siasa (esp. CCM) havitawapangia nini cha kusema.