MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,009
- 2,173
Sitawaelewa TCU kwa kuruhusu Chuo Kikuu cha Kiislam pale Morogoro kudahili waislamu tu! Vyuo vikuu vyote vinaratibiwa na TCU, yaani kwa ubora wa waalimu, wanafunzi wanaodahiliwa, pamoja na ubora wa mahitaji ya kufundishia. Kinachonishangaza ni kwa jinsi gani chuo kikuu hiki kina wanafunzi wa dini moja tu!
Watu hawa yaonekana wanachagua wanafunzi wao wenyewe bila kupitia TCU, halafu serikali inawalipia tofauti na vyuo vingine. Huu si ndiyo udini unaozungumzwa nchini sasa hivi?
Watu hawa yaonekana wanachagua wanafunzi wao wenyewe bila kupitia TCU, halafu serikali inawalipia tofauti na vyuo vingine. Huu si ndiyo udini unaozungumzwa nchini sasa hivi?