Hivi mishahara magu,mwanza hadi lini,kulikoni?


Daudjuma

Daudjuma

Member
Joined
May 31, 2011
Messages
86
Points
95
Age
46
Daudjuma

Daudjuma

Member
Joined May 31, 2011
86 95
Wadau hadi leo tar.6 june watumishi wilaya ya magu,mwanza hatujadaka haki yetu ya mwezi baada ya kusota siku 30 za mwajiri.Kibaya zaidi hatujaelezwa tatizo ni nini.Kweli huu ni uungwana kwa mtumishi kula kavu kiasi hiki hadi tarehe hizi?Anayefahamu sababu ya ucheleweshaji huu atudadavulie tujue kinachoendelea serikalini tafadhali...
 
NSWECKY

NSWECKY

Senior Member
Joined
Feb 22, 2013
Messages
141
Points
0
Age
35
NSWECKY

NSWECKY

Senior Member
Joined Feb 22, 2013
141 0
Kwa mujibu wa taarifa toka CWT,wawakilishi wa walimu ktk ngazi za juu,serikali haikuwa na pesa na halmashauri ya jiji imetoa taarifa kuwa pesa zitatolewa kuanzia Leo.
 

Forum statistics

Threads 1,284,716
Members 494,236
Posts 30,837,409
Top