Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

kutokana na rais wa muungano kusimamia nchi mbili nazo nitanganyika na zanzibar.Je tutalazimika kuwa na ikulu mbili?maana nadhani kuwa na ikulu sehemu moja ya muungano sio haki. angalizo: sisi...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Akisoma maoni ya kambi rasimu ya upinzani bungeni muda huu,waziri kivuli wa fedha mh.David Silinde ameilaumu serikali kwa kumlipa mkuu wa majeshi mstaafu Generali Sarakikya pension ya sh 50,000...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Baada ya kupitia kwa muda mrefu rasimu hii , nimegundua kuwa: Rasimu ina makosa mengi sana ya kimpangilio kwa maana ya kuwa mambo mengi sana yamechanganywa changanywa katika sura tofauti tofauti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo katika gazeti la mwananchi front page namuona waziri sitta akihoja "Ni wapi duniani umewahi kuona nchi moja ina marais watatu?". Sasa hapo hapo nikapata swali mbona nchi moja ilipokuwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Makamu Wa kwanza Wa Rais visiwani Zanzibar, Seif Hamad jana ameshugulikiwa na mbunge Wa Arumeru Joshua Nassari (dogo janja) Arusha kwenye kampeni za uchaguzi kata ya Themi. Seif alifanya mkutano...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna vyama vingi wengine huvitambua kama vikundi kama POLISALIO, PKK e.t.c. Ambavyo chimbuko lake ni madai yao ya kuwa wamemezwa au wanaonewa au Wanatawaliwa kimabavu. Suala kama hili si mssamiati...
0 Reactions
3 Replies
891 Views
Spika Makinda ameamuru kutolewa nje kwa wabunge wawili kwa kuongea bungeni. Hata hivyo,TBC 1 hawakuonyesha wabunge husika walioagizwa kutoka nje.Sasa sijui kama kweli walitoka au laa...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Nimesikiliza bunge, na kwa aliyesikiliza pia atakua amesikia. Ni kwamba CHADEMA mbali na kuzuia wananchi kufanya shughuli za kimaendeleo katika majimbo wanayoyaongoza wao,kuna taarifa kwamba...
1 Reactions
232 Replies
16K Views
Naomba msaada kwenye RED hapo. Inamaanisha nini swala kuwa sheria na sio kwenye katiba. Najua hakuna stupid question. Na watu wenye uraia wa Tanzania wa kuzaliwa wakiwa na uraia wa nchi nyingine...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ulitoa siku 7 ukiwa meya wa manspaa ya llala lile jengo pacha na lililo poromoka liwe limevunjwa. Sasa Meya vp mbona utekelezaji hatuoni? Sie wapita njia tumechoka kupita kwa wasi wasi eneo...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari kwenu wanaJF. Rasimu hii ya katiba ambayo imewasilishwa na ndugu Warioba juzi Jumatatu, imeleta mwangaza mpya kwa watanzania wote wazanzibar na tanganyika. Ama kweli tume ya Warioba...
1 Reactions
3 Replies
938 Views
Kwanza, ikiwa umeisoma rasimu YOTE (na siyo sehemu, wala kurukaruka), naomba uanze kwa kusema (andika) NDIYO. Baada ya hapo jaribu kueleza unaionaje. Tatizo ni kwamba kuna uwezekano mkubwa kwamba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Timu yoyote ya mpira makini huweka washambulliaji makini na wenye uwezo ili kuilete ushindi. Hata timu za mpira wa miguu ulaya hutumia gharama kubwa kununua washambuliaji wakali na mkini ili...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
NCHI TATU TOFAUTI ZINAONGOZWA NA CHAMA KIMOJA CHA SIASA!...Hii inakaaje? Tanganyika (Tanzania Barani) Zanzibar (Tanzania Visiwani) Tanzania Jamhuri (Shirkisho).............kama atumdangi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika Rasimu ya Katiba iliyozinduliwa Juni 03, 2013 Karimjee, Ibara ya kwanza inautangaza Muungano wa Tanzania kuwa Shirikisho la nchi mbili zilizo na mamlaka zake; ambazo moja ina katiba yake na...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
SERIKALI imesema hakuna kipengele chochote katika Rasimu ya Katiba kitakachochelewesha ama kuzuia uchaguzi mkuu wa wabunge na rais mwaka 2015. Hayo yalibainishwa jana na Mwanasheria Mkuu wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Adai itachukua muda sana kupata sura ya kitaifa,aeleza njia za kunusuru nchi na tatizo la udini,asema ufisadi ni adui kuliko ujinga. "CUF si chama cha kitaifa hata kidogo,hiki ni chama chama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rasimu ya katiba inasema: Kuhusu Bunge kutakuwa na wabunge wa aina mbili. Kutakuwa na Wabunge wa kuchaguliwa na wabunge watano wa kuteuliwa na Rais kuwakilisha Watu wenye Ulemavu. Tume...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Mchakato wa kuandika Katiba Mpya umepamba moto, huku Tume ikielekea kwenye hatua ya Mabaraza ya Katiba, baadhi wadau wakidai mabaraza hayo yana kasoro, yamechaguliwa kiitikadi. Hivi karibuni...
0 Reactions
86 Replies
7K Views
Hii ni kwa mujibu wa Ibara ya 180 (4) ambayo inasema kwa sehemu kama ifuatavyo: "...kila mpiga kura ana haki ya kufungua shauri Mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi isipokuwa matokeo ya uchaguzi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom