Rais wa miaka mingapi?


kuku87

kuku87

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
1,221
Likes
12
Points
135
kuku87

kuku87

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
1,221 12 135
jamani leo nilikuwa nachek updates za safari za rais wetu nikaona kuwa amefikisha safari 350 kiukweli huko ni kwenda tu, kwa hyo kwenda na kurudi ni safari 700 hizo ni siku 700 almost 2 years za kukaa angani tu bado siku anazokaa huko, nje lets take siku 2 kwa kila safari hizo ni siku 700 nyingine hivi mmeshawahi kujiuliza mheshimiwa ametuongoza akiwa nchini kwa siku ngapi? nionavyo yuko na miaka minne ya nchi toka yuko magogoni
 

Forum statistics

Threads 1,275,066
Members 490,894
Posts 30,531,990