Waziri Mulugo Anakabiliwa na Tuhuma Kutoa Rushwa Uchaguzi Udiwani

jnuswe

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,270
549
Ni karibu wiki sasa inaisha huyu Waziri alitoa Rushwa kata ya Mbalamaziwa mkoa wa Iringa , pasipo yeye kujua alirecodiwa na Mzalendo mmoja, CD tayari zimepelekwa kwa msimamizi wa uchaguzi na polisi, nasubiri kuona haki ikitendeka

Mbaya zaidi mgombea wa ccm naye anakesi ya kujibu miaka kadhaa iliyopita anatuhumiwa kwa kumpa mimba mtoto wa shule darasa la sita, na lingine linaloudhi zaidi mgombea huyo pia ni mganga wa jadi

Mh. Mulugo baada ya bajeti ya Wizara yako kupita, nenda sasa huko Iringa ukajibu tuhuma hiyo
 
Ni kweli sio lazima but kwa sababu wanapenda sana kuitwa waheshimiwa tunalazimika, ile wengi hawasitahili hata kuitwa waheshimiwa akiwemo Waziri Mlugo
 
Mambo ya video hayo!!wengine si waheshimiwa ni wadharaulika. Tuwaite Mdh. Kwa kifupi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
tuwekee hapa nasi tuione kama ni kweli. mia

Ni kweli na sina ubaya kiasi hicho kumsingizia Waziri Mulugo, nawafahamu ukiliweka swala linalofanyiwa kazi na polisi na tayari kesi imefunguliwa , kisheria hawachelewi kusema tayari ameshahukumiwa, mtafute mtu yoyote unayemfahamu Iringa , Kata ya Mbalamaziwa ipo Mufindi habari hii ipo wazi
 
Mbaya zaidi mgombea wa ccm naye anakesi ya kujibu miaka kadhaa iliyopita anatuhumiwa kwa kumpa mimba mtoto wa shule darasa la sita,

Ungekomaa na rushwa tu tungekuelewa, hii inayoongezwa hapa hata madai yako yanakosa maana inaonekana ni ile bidhaa maarufu kutoka kiwanda chenu.
 
lingine linaloudhi zaidi mgombea huyo pia ni mganga wa jadi

Ama kweli! Katika yote haya hili linaniacha hoi...wanazidi kuongeza watu hawa kwenye safu za wanasiasa wao? Hata hivyo kaka Jnuswe, huo uganga wa jadi sio sehemu ya utamaduni wetu? Ila ni wazi Mulugo akabiliane na shutuma zake!
 
Back
Top Bottom