Uchaguzi wa CCM UDOM mchuano ni mkali


B

BAPUPEGHE

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Messages
220
Likes
0
Points
0
B

BAPUPEGHE

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2012
220 0 0
Ndg wana bodi kesho Chama cha Mapinduzi tawi la Ng'hona Education watafanya uchaguzi.

Uchaguzi huo umebeba hamasa kubwa kulingana na Wagombea wa nafasi ya Uwenyekiti.

Katibu wa CCM tawini hapo akizungumza na Mwangaza fm amesema uchaguzi ni mzito kwa kuwa wote waliogombea wana sura sawa kichama. Amesema kwake Mvutano unaoendelea ni inshara tosha kuwa vijana wamekoma na wanajitambua.

Hata hivyo amesema amepokea kadi za CDM nyingi kwa mda mfupi. Hii ni kwa kuwa eti CDM kugundulika kuwa ni chama cha Kihadaa.

Hata hivyo bwana Elius Ndabila amesema anaipongeza serikali kwa kukataza siasa vyuoni kwani wao wanaona fahali wanapofanyia nje ya chuo. Amesema tangu siasa ziende nje ya chuo kumekuwa na utulivu mkubwa vyuoni.
CHANZO: Mimi mwenyewe nipo nasikiliza radio.
 
Feedback

Feedback

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
7,997
Likes
475
Points
180
Feedback

Feedback

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
7,997 475 180
Hivi CCM hamuwezi kufanikisha uchaguzi wenu wa ndani bila kutaja Chadema?
 
K

Kizotaka

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
567
Likes
0
Points
0
K

Kizotaka

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
567 0 0
Hivi CCM hamuwezi kufanikisha uchaguzi wenu wa ndani bila kutaja Chadema?
Hivi DARUSO UDSM ipo? udom kweli ni chuo cha kata yani wanafunzi wa ccm chuoni wanadhani chuo cha baba yao. enzi zetu kampeni za kisiasa ni marufuku,ni makongamano tu. viongozi walikimbia makongamano UDSM,sku hizi mara wasira ahutubia sauti,samweli 6 ndani ya udom! bure kabisa,anahutubia chuo kikuu? kuna muda wa masali wanafunzi wanapewa?
 
K

kibaya-kenya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
649
Likes
7
Points
35
K

kibaya-kenya

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
649 7 35
makapi tu hao, yaani msomi na degree yako unashabikia ccm?
kweli hatuna wasomi wote ni vilaza nimekiri UDOM NI CHUO CHA KATA,
NAOMBA WASOMI ONDOKENI CCM MAANA HILI JANGA LA TAIFA,
NI AIBU KWA MSOMI KUISHABIKA CCM
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,069
Likes
17,552
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,069 17,552 280
Tumekataza siasa vyuoni....au hii kauli ni applicable kwa chadema Tu?
 
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Messages
2,524
Likes
6
Points
135
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2013
2,524 6 135
Tuondoke ccm tuje kwa wahuni. Jana nimempa Ndabila kikadi kile Cha wahuni, saa hizi nina kitu cha KIJANI babuu mpaka mwisho. Dah nilikuta kadi kibao zimerudishwa. UDOM sio chuo cha kata bi mdogo na unaonyesha ni jinsi una akili ndogo sana, ukienda vyuo vyote tz ccm utaikuta kama ilivyo cdm. Siasa ni kama madhehebu ruksa kwenda unakotaka. Usilazimishe watu kwenda cdm. Karibu na wewe babie. Ila cdm mnafulia huku Udom mnabembeleza watu kugombea, makamanda gani wanaogopa kugombea.
 

Forum statistics

Threads 1,273,323
Members 490,351
Posts 30,478,040