Wabunge fanyeni utafiti kabla ya kutoa hoja zenu, acha kupotosha wasiojua kusoma na kuandika!


B

bishankara

Senior Member
Joined
Feb 21, 2012
Messages
140
Likes
0
Points
0
B

bishankara

Senior Member
Joined Feb 21, 2012
140 0 0
Gazeti la nipashe la tar 7 june, 2013 limemnukuu mbunge wa Mbozi magharibi bungeni, na haya ni maneno yake 'Zoezi la uandikishaji wa vitambulisho vya taifa limekuwa likiendelea lakini hadi sasa ni viongozi tu ndiyo ambao wameshakabidhiwa vitambulisho' Je, hapa kuna ukweli wowote? Mbona kuna baadhi ya taasisi washapewa vitambulisho? Au watumishi wote wa serikali ni viongozi?
 

Forum statistics

Threads 1,272,939
Members 490,212
Posts 30,465,192