Pamoja na mapungufu yake mengi, katika hili heko mbunge lameck o. Airo


G

Galapagos

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2012
Messages
253
Likes
2
Points
35
G

Galapagos

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2012
253 2 35
Habari wana Jamvi, Mbunge wa jimbo la Rorya mh.Lameck Airo ni miongoni mwa wale waheshimiwa ambao ni nadra sana kusikia michango yao bungeni, haya ni mapungufu yake. Nimesikitika kusoma habari kuwa jirani yake mbunge wa Tarime mh.Nyambari Nyangwine ameshindwa hata kusaidia ktk ukarabati wa vyoo vya shule ya sekondari Nkende iliyo karibu na nyumbani kwake hadi kupelekea shule kufungwa, kisa na mkasa eti hakupata kura maeneo hayo, huyu ni tofauti na mh. Lameck ambaye husaidia bila kujali ili mradi tukio liko ndani ya jimbo lake, katika hili napenda kumpa heko mh. Lameck Airo
 
J

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Messages
930
Likes
3
Points
35
J

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2010
930 3 35
Airo ni sawa tu na kivuli ndani ya Rorya. Kujenga choo cha shule hata wewe unaweza. Aongee matatizo ya Rorya bungeni!
 
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
1,339
Likes
5
Points
0
C

Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
1,339 5 0
Tunamsubiri Nyangwine atuongoze na mapanga kwenda kweny mgodi ili waje kutujengea choo hapo Nkende. Kama hakupata kura maeneo hayo ndo alipize kisasi? Je hakusikia kwamba majimbo ya upinzani ndo barabara nzuri zinajengwa na kwa wana CCM pako hoi! Yeye asubirie 2015, anunue rim nyingi tu atunge vitabu kuelezea shule zisizo kuwa na vyoo akianza na ya Nkende,

Mura waitu fita ni fita mpa kiereweke, Mura kura nimekura pa kurara je.


 
ruhi

ruhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
1,638
Likes
1,144
Points
280
ruhi

ruhi

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
1,638 1,144 280
airo ni sawa tu na kivuli ndani ya rorya. Kujenga choo cha shule hata wewe unaweza. Aongee matatizo ya rorya bungeni!
Ataje vyoo alivyojenga na shule gani...sisi wanaRorya tunashida sana, boda ya Kirongwe hakijajengwa wakati wakenya walishajenga upande wao sisi bado wala airo hana habari ya kukumbushia serikali wala sijamsikia akiulizia sera ya serekali kuhusu kupandikiza samaki wapya kwenye ziwa victoria kwani sangara wamemaliza samaki wa aina nyingi sana.

Airo ajawatendea wana Rorya haki kabisa
 
N

Naghenjwa

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Messages
724
Likes
3
Points
0
N

Naghenjwa

JF-Expert Member
Joined May 10, 2013
724 3 0
Ataje vyoo alivyojenga na shule gani...sisi wanaRorya tunashida sana, boda ya Kirongwe hakijajengwa wakati wakenya walishajenga upande wao sisi bado wala airo hana habari ya kukumbushia serikali wala sijamsikia akiulizia sera ya serekali kuhusu kupandikiza samaki wapya kwenye ziwa victoria kwani sangara wamemaliza samaki wa aina nyingi sana. Airo ajawatendea wana Rorya haki kabisa
Mnamulaumu nani sasa? kwanini mlikubali kudanganywa na pilau? ndio laana ya mungu hiyo sasa, 2015 atakuja kivingine na mtampa tu.
 
I

ilboru1995

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Messages
2,330
Likes
22
Points
0
I

ilboru1995

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2007
2,330 22 0
Huu uzi nao unastahili kujadiliwa? Who is Lameck Airo anyway? Matatizo ya elimu yanaeleweka kuwa yalipandwa na CCM kisha yakamea, wakatilia mbolea, wakapitisha palizi na sasa wanavuna walichokipanda!!! Mfumo mzima wa Serikali ya CCM ndiyo chanzo cha Umasikini, Elimu Duni, Maradhi, Ujinga Mwingi, Umasikini na sasa UFISADI umetamaliki kiasi cha kuandika kwenye Rasimu ya Katiba eti Tunavutia uwekezaji kwenye Rasilimali zetu badala ya kutamka wazi wazi ni jinsi gani Rasilimali zetu zitawanufaisha watanzania kwanza na kwa kufuata taratibu zipi...CCM ni Janga kwa vizazi vya sasa na vijavyo...
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,854
Likes
3,641
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,854 3,641 280
Hahahah...kweli Watanzania sisi ni waduanzi, yaani kujenga vyoo hadi mbunge asaidie??...mnashindwa hata kufyatua matofali kwa kutumia udongo na baadaye kuyachoma matofali hayo?
 
kisugujira

kisugujira

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Messages
768
Likes
5
Points
35
kisugujira

kisugujira

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2012
768 5 35
Mnamulaumu nani sasa? kwanini mlikubali kudanganywa na pilau? ndio laana ya mungu hiyo sasa, 2015 atakuja kivingine na mtampa tu.
Walimchagua Baba Airo kwa sababu ako na pesa! Aliwapatia ugali wa udaga kwa Kamongo wakashiba na kushushia gongo, huku wakisema ero kamano Baba Airo. Tunachagua viongozi wasiyofaa baada ya kurubuniwa kwa vitu vya kijinga kabisa!
 
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Messages
14,428
Likes
1,739
Points
280
Nyakageni

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2011
14,428 1,739 280
Kazi ya ujenzi na maendeleo ni ya serikali. Mbunge ana kazi zake.
 

Forum statistics

Threads 1,274,697
Members 490,736
Posts 30,521,321