Maalim Seif: CHADEMA waroho wa madaraka

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
5,536
1,195
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hammad amekirushia kombora Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa kile alichodai kinapoteza mwelekeo kutokana na fujo nyingi zinazotokea wakati wa vikao vya Bunge. Alisema fujo hizo, ni wazi zinaonekana kusababishwa na uroho wa madaraka.

Maalim Seif alitoa kauli hiyo juzi jijini hapa, wakati wa kampeni za kumnadi mgombea nafasi ya udiwani wa Kata ya Eralai, John Bayo.

Alisema wakati CUF, ilipofanikiwa kuongoza Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni chini ya uongozi wa Hammad Rashid Mohamed, kulikuwa na busara za hali ya juu katika uendeshaji wa vikao vyao.

Alisema kutokana na umoja na uaminifu ambao CUF ilikuwa nao, ndiyo ilimteua Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilbroad Slaa kuwa Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni.

“Wakati CUF inaongoza Kambi ya Upinzani Bungeni, tulikuwa na umoja mno, tulishirikiana na vyama vyote vya upinzani na naibu wetu, alikuwa Dk. Slaa.

“Ila wao Chadema, walipopata wakaanza kusema wao ni wao, ndugu zangu ndio maana leo hii mnaona Bunge limekuwa la fujo utadhani soko, watu wanamwaga matusi kama cherehani, maadili ya Bunge yameachwa,” alisema Hammad.

Alisema CUF ni chama chenye dira na kinachoona mbali, kwa sababu kimeundwa kwa lengo la kutetea maslahi ya wananchi wote na dira yao.

Kwa upande wake, Bayo akiomba kura alijikuta akiangua kilio mbele ya wananchi waliokuwa wakimsikiliza.

Bayo, ni moja ya madiwani waliotimuliwa CHADEMA kwa madai ya kupokea rushwa na kukisaliti chama hicho.

“Sijagusa hata senti kwa ajili ya kuwasaliti watu wangu, najua kitendo hicho kinakiuka maadili na kuwasaliti nyinyi mlionichagua.

Kwa hisani ya Mtanzania.
 
MwanaDiwani

JF-Expert Member
Mar 22, 2013
5,536
1,195
Waacheni waendelee na longo longo zao huku wakiparuana. Vyura hawawezi kumzuia tembo kunywa maji.

Wao wamebakiwa na cheap politics zinazokolezwa na spinning na siasa zilizopitwa na wakati za kutaka kujua ni nani msagaji au siyo msagaji.

CCM tumedhubutu, tumeweza na sasa tunatenda.

Makada tuko mikoani tunafanya kazi tuliyotumwa na wananchi kupitia kwenye sanduku la kura 2010.

Kwa urafi wa kutaka madaraka, wameshindwa hata kuwa kitu kimoja kwa manufaa ya wananchi.

Wapinzani hawako kwa ajiri ya kuwatumikia wananchi, wako kwa ajiri ya kujinufaisha wao na watu waliokaribu yao.

Hata wabunge wa viti maalum katika vyama vyao wamepatikana kutoka mifukoni mwa viongozi wao.
 
Kagalala

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
2,381
1,250
Kweli Nyani haioni ....le. Maalim Saif anaweza kumsema mtu au chama chochote kuwa kina uroho wa madaraka! Yeye tangu mfumo wa Vyama vingi ndo anagombea Urais wa Zanzibar na anashindwa lakini hawezi kumwachia mtu mwingine. Tangu CUF imeanzishwa yeye ni Katibu Mkuu mpaka leo. Amefunga ndoa na CCM na kuua chama kisa ni kupenda madaraka. Leo hii anasema CHADEMA ni waroho wa madaraka? Anahitaji maombi aweze kujitambua.
 
Mwanaukweli

JF-Expert Member
May 18, 2007
4,649
2,000
Waroho wa madaraka walimpiga shoka mtu anayetofautiana nao kiitikadi. Na wanajisifia kwa hili.

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,515
2,000
Waacheni waendelee na longo longo zao huku wakiparuana. Vyura hawawezi kumzuia tembo kunywa maji.

Wao wamebakiwa na cheap politics zinazokolezwa na spinning na siasa zilizopitwa na wakati za kutaka kujua ni nani msagaji au siyo msagaji.

CCM tumedhubutu, tumeweza na sasa tunatenda.

Makada tuko mikoani tunafanya kazi tuliyotumwa na wananchi kupitia kwenye sanduku la kura 2010.

Kwa urafi wa kutaka madaraka, wameshindwa hata kuwa kitu kimoja kwa manufaa ya wananchi.

Wapinzani hawako kwa ajiri ya kuwatumikia wananchi, wako kwa ajiri ya kujinufaisha wao na watu waliokaribu yao.

Hata wabunge wa viti maalum katika vyama vyao wamepatikana kutoka mifukoni mwa viongozi wao.
Mkuu hii ya leo kali yani thread umeanzisha wewe pia ukaona haitoshi utoe na comment yako kabisa ili uwe umeibikiri mwenyewe..
 
Mwanaukweli

JF-Expert Member
May 18, 2007
4,649
2,000
Waroho wa madaraka walimpiga shoka mtu anayetofautiana nao kiitikadi. Na wanajisifia kwa hili.

Nashangaa na mimi kuwa Seif halioni hilo.

Dkt. Ulimboka alifanywa nini? Serikali imeshachukua hatua gani? Kisa madaraka....

Mwangosi alifanywa nini? Na bado Kamhanda kapandishwa cheo! Madaraka hayo....

Kibanda sasa miezi mitatu hakuna hata fununu ya uchunguzi! Kisa madaraka......

Propaganda za kitoto mara ugaidi, mara personal attacks kisa madaraka....
 
mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
3,857
2,000
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hammad amekirushia kombora Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa kile alichodai kinapoteza mwelekeo kutokana na fujo nyingi zinazotokea wakati wa vikao vya Bunge. Alisema fujo hizo, ni wazi zinaonekana kusababishwa na uroho wa madaraka.

Maalim Seif alitoa kauli hiyo juzi jijini hapa, wakati wa kampeni za kumnadi mgombea nafasi ya udiwani wa Kata ya Eralai, John Bayo.

Alisema wakati CUF, ilipofanikiwa kuongoza Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni chini ya uongozi wa Hammad Rashid Mohamed, kulikuwa na busara za hali ya juu katika uendeshaji wa vikao vyao.

Alisema kutokana na umoja na uaminifu ambao CUF ilikuwa nao, ndiyo ilimteua Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilbroad Slaa kuwa Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni.

"Wakati CUF inaongoza Kambi ya Upinzani Bungeni, tulikuwa na umoja mno, tulishirikiana na vyama vyote vya upinzani na naibu wetu, alikuwa Dk. Slaa.

"Ila wao Chadema, walipopata wakaanza kusema wao ni wao, ndugu zangu ndio maana leo hii mnaona Bunge limekuwa la fujo utadhani soko, watu wanamwaga matusi kama cherehani, maadili ya Bunge yameachwa," alisema Hammad.

Alisema CUF ni chama chenye dira na kinachoona mbali, kwa sababu kimeundwa kwa lengo la kutetea maslahi ya wananchi wote na dira yao.

Kwa upande wake, Bayo akiomba kura alijikuta akiangua kilio mbele ya wananchi waliokuwa wakimsikiliza.

Bayo, ni moja ya madiwani waliotimuliwa CHADEMA kwa madai ya kupokea rushwa na kukisaliti chama hicho.

"Sijagusa hata senti kwa ajili ya kuwasaliti watu wangu, najua kitendo hicho kinakiuka maadili na kuwasaliti nyinyi mlionichagua.

Kwa hisani ya Mtanzania.
ULIBERALI aka UKAMERON ni dira ya CUF!! Maalimu Seif hivi wazanzibar wanajua ulivyomsaliti Aboud Jumbe wakati akidai serikali tatu? Hivi siyo weye uliiba ile Rasimu mezani na kumpelekea Nyerere?! na hadi leo Jumbe amepoteza popularity anachekelea sasa unavyodai madaraka/mamlaka kamili hadi ukaanzisha uasi zenj! unaoongoza hadi leo kwa jina la UAMSHO!! Wewe Maalim huna lolote zaidi ya UROHO hebu elezea baada ya kuingizwa "sebuleni"/"Barazani" mwa dola la majizi na kujishindia makombo ya majizi sasa umeufyata!! USHANFAHAMUEH!
 
Kapwani

JF-Expert Member
Nov 17, 2009
668
195
Seif huna sifa ya kumnyoshea kidole mtu katika suala la kupenda madaraka. Wewe ni kati ya wapenda madaraka wakubwa nchi ya Tanzania haijawahi kutokea....Huna sifa wala mikono iliyotakata katika hili!

mix with yours
 
Mzee Wa Sumu

JF-Expert Member
Apr 17, 2013
643
0
Wewe usipotoshe umma sisi tunafuatilia siasa za Tanzania wakati cuf inaamzishwa katibu Mkuu alikuwa shaaban mloo Kisha akaja maalim seif mkutano Mkuu Ndio uliompitisha kwa kura tukijaaliwa kwenu chadema wakati Zito Kabwe anataka uenyekiti walitoka kina mtei moshi kumtaka atoe jina lake harafunajiita chama cha democrasia cuf huziiwi na wazee jaza fomu wanachama Ndio wanaoamua nani mkweli ktk wagombea Kama unatumika hupewi kile ni chama cha ukombozi huwezi kupewa Mtu magumash utuulie Zito alivyotaka aongoze kambi ya upinzani bungeni mboe amekataa hata hilo hamulisemi kwa vile bepari mwenzenu
 
Pachama

Senior Member
May 24, 2013
149
170
Hivi kuna uroho wa madaraka katika vya siasa zaidi ya cuf ?? Kule zanzibar muungano huku bara nako wanataka muungano ?
 
nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,869
1,225

ALHAMISI, JUNI 06, 2013 05:54 NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hammad amekirushia kombora Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa kile alichodai kinapoteza mwelekeo kutokana na fujo nyingi zinazotokea wakati wa vikao vya Bunge. Alisema fujo hizo, ni wazi zinaonekana kusababishwa na uroho wa madaraka.

Maalim Seif alitoa kauli hiyo juzi jijini hapa, wakati wa kampeni za kumnadi mgombea nafasi ya udiwani wa Kata ya Eralai, John Bayo.

Alisema wakati CUF, ilipofanikiwa kuongoza Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni chini ya uongozi wa Hammad Rashid Mohamed, kulikuwa na busara za hali ya juu katika uendeshaji wa vikao vyao.

Alisema kutokana na umoja na uaminifu ambao CUF ilikuwa nao, ndiyo ilimteua Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilbroad Slaa kuwa Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni.

“Wakati CUF inaongoza Kambi ya Upinzani Bungeni, tulikuwa na umoja mno, tulishirikiana na vyama vyote vya upinzani na naibu wetu, alikuwa Dk. Slaa.

“Ila wao Chadema, walipopata wakaanza kusema wao ni wao, ndugu zangu ndio maana leo hii mnaona Bunge limekuwa la fujo utadhani soko, watu wanamwaga matusi kama cherehani, maadili ya Bunge yameachwa,” alisema Hammad.

Alisema CUF ni chama chenye dira na kinachoona mbali, kwa sababu kimeundwa kwa lengo la kutetea maslahi ya wananchi wote na dira yao.

Kwa upande wake, Bayo akiomba kura alijikuta akiangua kilio mbele ya wananchi waliokuwa wakimsikiliza.

Bayo, ni moja ya madiwani waliotimuliwa CHADEMA kwa madai ya kupokea rushwa na kukisaliti chama hicho.

“Sijagusa hata senti kwa ajili ya kuwasaliti watu wangu, najua kitendo hicho kinakiuka maadili na kuwasaliti nyinyi mlionichagua.

kinauche

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
7,685
2,000
Aache kwanza kugombea urais ndiyo aseme. Vinginevyo akome, akome, akome x mia.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Noel france

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
798
250
kweli ndoa tamu,yanayo fanywa na mabwana zao ccm awayaoni!wamepiga mtu shoka ili mradi waendele kutawala.kwann wao na ccm wanaisakama chadema
 
Arnoldinho

Senior Member
Jan 14, 2013
119
0
Kweli Nyani haioni ....le. Maalim Saif anaweza kumsema mtu au chama chochote kuwa kina uroho wa madaraka! Yeye tangu mfumo wa Vyama vingi ndo anagombea Urais wa Zanzibar na anashindwa lakini hawezi kumwachia mtu mwingine. Tangu CUF imeanzishwa yeye ni Katibu Mkuu mpaka leo. Amefunga ndoa na CCM na kuua chama kisa ni kupenda madaraka. Leo hii anasema CHADEMA ni waroho wa madaraka? Anahitaji maombi aweze
kujitambua.
Walishasema CUF (ngoja nitype kwa herufi ndogo nisiwavimbishe vichwa hiki chama cha kijinga) cuf ni maalim sefu na maalim sefu ni cuf..cuf ni kampuni ya maalim sefu yaani ni mwenyekiti mtendaji pale kama r.mengi na ipp
 
Mzee Wa Sumu

JF-Expert Member
Apr 17, 2013
643
0
Kibaraka ni Mbowe aliekulia ikulu wakati wa Nyerere seif kafukuzwa na mwalim atokee kiongozi jasiri wa chadema atamke hadharani maovu ya mwalim Kama opeshen vijiji watu waliliwa na simba kupora majumba ya watu unga wa yanga tulikula ambacho ni chakula cha farasi marekani Lipumba na seif wanamkosoa mwalim slaa na Mbowe hathubutu kisema nani Kibaraka hapo huu si wakati wa propaganda chama chaukombozi huwahakibadili ovyo viongozi hadi nchi ikikombolewa Kama mandera mnataka. Wakae viongozi si waadirifu muje muwanunue kirahisi cuf hakai Mtu wa kutumika pale mbona hamumsakami mtikila toka dp ianzishwe m.kiti ni yeye na mzirai hamsemi nyie mnaifuata cuf mnaagenda gani mnaacha kuishutumu ccm iliyowatawala zaidi ya miaka 50 kila kukicha cuf vile mala vile mabepari wakubwa
 
Top Bottom