Wabunge wetu katika bunge la Tanzania tujifunze kujieleza kwa kiingereza maana inatisha na kutia kinyaa. Leo kuna wabunge kadhaa pamoja na madam speaker wamekua wakijikoroga kujieleza kwa kimombo na hata pale speaker aliposema honorable mchu.. reverend.. Hii inaonyesha ni jinsigani wabunge wanapojichanganya hata kwenye mikataba aukuwasiliana na wageni. ipendekeze kuwe na debate za kimombo ili kuwawezesha wawe na flow nzuri ya lugha za kigeni kama kimombo.