Mwigulu Nchemba atema cheche Arusha, asisitiza CCM kuibuka washindi

 • Thread starter Mtela Mwampamba
 • Start date

M

Mtela Mwampamba

Verified Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
537
Likes
11
Points
35
Age
36
M

Mtela Mwampamba

Verified Member
Joined Dec 19, 2012
537 11 35
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh.Mwigulu Nchemba akipokewa na wanachama wa CCM waliojitokeza viwanja vya Shule ya Msingi Erelai kata ya Erelai mkoani Arushahii leo wakati wa kampeni za kumnadi Mgombea Udiwi kwa tiketiYA CCM Mwalim Emanuel Laizer[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Meya (kushoto)wa wilaya akiwa na Mwenyekiti wa CCM wilaya wakati wa mkutanohuo viwanja vya shule ya msingi Erelai ARUSHA.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mamia ya wananchi wakisikiliza sera za Mgombea wao pamja na hotuba ya Mh.mwigulu Nchemba.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Naibu katibu mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba akiomuonesha moja ya vijana waliojeruhiwa kutokana na siasa chafu za vyama vya upinzani.hapa Mwigulu anasisitiza siasa zio vita.Siasa ni amani na utulivu wapuziwe wote wanaohamasisha vurugu hapa nchini[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Makada wa CCM Juliana shonza na Mtela mwampamba wakifuatilia mkutano huo kwa karibu.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Huyu ndiye mgombea wa Udiwani kata ya erelai Arusha mjini.Ndugu Mwalimu emmanuel Laizer.Mgombea huyu kwa tioketi ya CCM ameomba apewe kura za kutosha iliawaletee maendeleo wanakata ya Erelai.Amesisitiza ameshaanza kufuatilia miradi ya madarasa 4 ya shule ya sekondari elerai pia mradi wa maji upo unaelekea kumalizika.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mamia ya watu hasa wanachama wa CCM walijitokeza kwenye mkutano huuo kusikiliza sera za chama chao.Katika moja ya mambo ambayo Mh.Mwigulu chemba amewaomba wananchi hawa ni kutovipa nafasi vyama vinavyoshabikia uvunjifu wa amani..[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Naibu katibu mkuu wa CCM mh.mwigulu Nchemba akimnadi mgombea udiwani wakati wa mkutano huo hii leo.Anasisitiza wananchi wamchague Emmanuel Laizer wa CCM kwasababu ndiye anayeweza kuwaletea maendeleo nasio maandamanio ya kuvuruga amani ya nchi.Mh.Mwigulu nchemba amesisitiza wanaarusha kutorudia makosa ya kuchagua chama chama cha upinzani kinachohubiri vita na umwagaji damu kupitia maendeleo.Amewaomba wanachama wa CCM kata ya Erelai kujitokeza kupiga kura kwa wingi,Kupiga kura ndio kiboko ya hawa wanaovuruga nchi.Pia ameenda mbali kwa kusema ccm ipo madarakani na ina sera zilizowazi ambazo zinatekelezwa na serikali ya CCM.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
only83

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
5,342
Likes
531
Points
280
only83

only83

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
5,342 531 280
Yani hao wananchi wa kuhesabu ndio unasema mamia...sio makumi hao? Halafu huyo mgombea wenu anaonyesha kachoka, naona kashika vikaratasi utadhani anachangia kikao cha kutoa posa. Pumbavu zenu!! Mwambie huyo Mwigulu akanyoe na hayo madevu, anaonekana kama babu wa miaka mia. Na nyie waliberali yaani wewe na Mtela na Shonza mtaendelea kufuata sera za uliberali mpaka lini? Na ndio maana wewe Mtela kazi yako ni kucheka cheka tu...Kazi ya Mliberali mwenzio Mwigulu Chemba.
 
Prince Tumbo

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
911
Likes
13
Points
0
Prince Tumbo

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
911 13 0
Hapo hakuna kampeni, ni mipango ya hujuma na ujambazi...you just wait and see terrible events...
 
M

mob

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2009
Messages
2,223
Likes
770
Points
280
M

mob

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2009
2,223 770 280
Nani aliyesema ni upinzani walimwagia tindikali. Usihukumu na wewe isije ukahukumiwa. Hizi ndo
siasa za chuki zinapandikizwa kwa wanajamii
 
MwanaDiwani

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2013
Messages
5,536
Likes
22
Points
135
MwanaDiwani

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2013
5,536 22 135
Kelele za chekechea wa kisiasa hazimzuii mtu mzima kuendelea na shughuli zake.

Wao wamebakiwa na cheap politics zinazokolezwa na spinning za kijinga na siasa zilizopitwa na wakati za kueneza sera zao za kutaka kufahamu nani ni msagaji na nani siyo msagaji.

waacheni waendelee na siasa zao za kilaghai, maji taka na kumwagia watu wasio na hatia tindikali.

CCM tumedhubutu, tumeweza na sasa tunatenda.

Makada tuko mikoani tunafanya kazi tuliyotumwa na wananchi kupitia kwenye sanduku la kura 2010.
 
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
25,894
Likes
25,871
Points
280
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
25,894 25,871 280
Tutafutie majibu ya hii kitu
Wakuu haya ndio majibu ya muheshimiwa wetu pale vijana wanapotilia mashaka uheshimiwa wake. Nimeleta baadhi tu majibizano toka fb


 • Edna Kitiri Mwigulu, mkeo anajua lugha yako au wanaojua lugha yako ni hawara zako? au tuwataje hadharani? Huna lugha nzuri kabisa km mbunge
  2 hours ago via mobile · Like

 • Mwigulu Nchemba Edna anza jitaje wewe kwanza maana usianzie mbali? Hukufurahia ile lugha? Mwigulu Nchemba Nani amtongoze edna leo kazi ilishaisha tangu yuko ndala teachers college. Yeye anajua

  about an hour ago via mobile · Like
  • Mwigulu Nchemba Edna unataka kukana? Mbona una kovu kwenye paja lako la kulia. Unaona raha kutaja wa mbali? EDNA KILA SIKU UNASUMBUA

  • Mwigulu Nchemba Audrey mwache aweke list moja ni yeye wa tangu chuo cha ndala
   about an hour ago via mobile · Like

  • Mwigulu Nchemba Matiku samahani nashangaa alishaolewa bado anaona wivu kuwa mwigulu ana mahawara.

   Mwigulu Nchemba Matiku kwa amepata kovu baada ya wewe kumuoa? Alikuwa nalo tangu moshi na chuoni? Kwani wakati unamwoa alikwambia ni bikira?
   • about an hour ago via mobile · Like

   • Mwigulu Nchemba Edna Taja tu sio ajabu anza na wewe. Mimi si ndio nilikutajia wewe. Kwani umejuaje. Samahan nimetaja habari ya kovu nilidhani unabisha

    Mwigulu Nchemba Edna mbona siku ile ulisema kovu hilo ulikuwa unaweka mti wa ku support mgomba ulielemewa mkungu wa ndizi

Updates

Mwigulu Nchemba
Angela unaongelea damu zipi maana wewe umezoea kuziona kila mwezi.
 
F

Farudume

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Messages
3,916
Likes
2,947
Points
280
Age
32
F

Farudume

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2013
3,916 2,947 280
CCM kweli wa Maajabu.si wanasema CHADEMA ndio chama cha Kaskazini na Wachaga?Sasa wanaenda kutafuta nini tena kama sio Uchokozi?Au wana Ajenda ya Siri?Au Arusha sio Kaskazini?.Wananchi wanapaswa kuwa Macho na hawa Watu.
 
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Messages
10,569
Likes
119
Points
160
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2008
10,569 119 160
Arusha ccm mtaishia kuona vumbi tu...
 
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
8,614
Likes
409
Points
180
Age
37
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2012
8,614 409 180
Mwigulu hana moral Authority kuwaambia watu wa arusha kuwa wafanye siasa zisizomwaga damu.vp siasa zake za uchochezi wa kijamii na kikabila huku akiwa na Skandal la kupanga vurugu..Mwampamba vp wewe naskia umetambulishwa ktk shule ya kata Duka Bovu Monduli Ufundishe Sayansikimu.Njaa mbaya
 
MwanaDiwani

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2013
Messages
5,536
Likes
22
Points
135
MwanaDiwani

MwanaDiwani

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2013
5,536 22 135
CCM kweli wa Maajabu.si wanasema CHADEMA ndio chama cha Kaskazini na Wachaga?Sasa wanaenda kutafuta nini tena kama sio Uchokozi?Au wana Ajenda ya Siri?Au Arusha sio Kaskazini?.Wananchi wanapaswa kuwa Macho na hawa Watu
Haya ni mawazo ya kibavicha bavicha.

Kaskazini ya wapi?. Kama wangesema kaskazini ya Tanzania ungekuwa na hoja. Kikubwa zaidi, nani alisema kama CHADEMA ni chama cha Kaskazini.

Usilishe watu maneno.

Kweli bavicha ni janga la Taifa.
 
mtz one

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
3,894
Likes
410
Points
180
mtz one

mtz one

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
3,894 410 180
hv huoni aibu kumnadi mwanaume mwenzio namna hyo??? fanya kazi kijana usiudhalilishe utu wako
 
kmbwembwe

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Messages
6,737
Likes
1,598
Points
280
kmbwembwe

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2012
6,737 1,598 280
Kwa kifupi ngwigulu nchemba anawaambia wananchi wasivipe kura vyama vyenye 'moyo' bali wakipe kura chama chenye 'meno'
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,105
Likes
17,611
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,105 17,611 280
Mbona kafuga mavu...... Mashavuni??????
 
O

olevaroya

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Messages
1,224
Likes
250
Points
180
Age
41
O

olevaroya

JF-Expert Member
Joined May 6, 2012
1,224 250 180
Ktk kura elifu 10 zitakazopigwa akipata kura elifu moja mgombea wa ccm hatatueleza kazipata wapi wana arusha
 
F

Froida

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
8,463
Likes
1,781
Points
280
F

Froida

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
8,463 1,781 280
Watu 62 nadhani ameipata kwamba Arusha sio iramba kwa wahongwa chumvi
 
K

kurya

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Messages
510
Likes
1
Points
0
Age
44
K

kurya

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2011
510 1 0
Kelele za chekechea wa kisiasa hazimzuii mtu mzima kuendelea na shughuli zake.

Wao wamebakiwa na cheap politics zinazokolezwa na spinning za kijinga na siasa zilizopitwa na wakati za kueneza sera zao za kutaka kufahamu nani ni msagaji na nani siyo msagaji.

waacheni waendelee na siasa zao za kilaghai, maji taka na kumwagia watu wasio na hatia tindikali.

CCM tumedhubutu, tumeweza na sasa tunatenda.

Makada tuko mikoani tunafanya kazi tuliyotumwa na wananchi kupitia kwenye sanduku la kura 2010.
Ama kweli ni bora ya nguo zichanike kuliko akili,unaposema mmeweza na mnasonga mbere ni kwa lipi?ccm mmeweza kuua uchumi wa tanzania,mmeweza kuua elimu ya tanzania,mmeweza kuiba madini na wanyama pori na sasa mnazidi kusonga mbere ovyo sana sjui kwanini hamjitambui.
 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,994
Likes
496
Points
180
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,994 496 180
Hahaaaaaa!
Sasa mkutano umehudhuriwa na makada wageni hakuna hata wenyeji lol!
Kweli ccm imakufa Arusha! Ujio mkubwa watu 30

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
F

Farudume

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Messages
3,916
Likes
2,947
Points
280
Age
32
F

Farudume

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2013
3,916 2,947 280
Haya ni mawazo ya kibavicha bavicha.

Kaskazini ya wapi?. Kama wangesema kaskazini ya Tanzania ungekuwa na hoja. Kikubwa zaidi, nani alisema kama CHADEMA ni chama cha Kaskazini.

Usilishe watu maneno.

Kweli bavicha ni janga la Taifa.
Nashukuru mmeanza kujikana.Elimisha na wenzako kwamba CHADEMA sio chama cha Kaskazini bali ni cha Kitaifa.
 
F

Froida

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
8,463
Likes
1,781
Points
280
F

Froida

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
8,463 1,781 280


Mtela ana nawiliJuliana mzigo mzito anabonyea mashavu pole dada huyu mwigulu ni trekta
 

Forum statistics

Threads 1,273,872
Members 490,535
Posts 30,494,155