Leo ilikua siku ya kuaga mwili wa askari wa usalama barabarani aliyepata ajali maeneo ya New Sokoine Road. Katika zoezi hili la kuaga mwili wa Marehemu Mbunge wa Arusha Mjini Mh.Godbless Lema...
Naibu katibu mkuu akiwasili kwenye viwanja vya kata ya Themi Jijini Arusha kwenye kampeni za Uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Themi.Huu ni mfululizo wa mikutano ya kampeni anayoifanya...
Nimeisoma Rasimu ya Katiba, nimepata simtofahamu juu ya hasa Rasimu hii ni ya nchi gani.
Nasema hivyo kwa kuwa, Rasimu inayaongeleea mambo ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku ikisema ya...
Wadau wa JF, Salam.
Mwenyekiti wa Bavicha Taifa Kamanda John Heche anaelekea Wilayani Serengeti kuongeza nguvu katika kampeni za uchaguzi mdogo wa kata ya Machira. Kwa taarifa za uhakika ni...
Wadau
Kuna huyu mtu anaitwa John Komba mbunge wa Mbinga magharibi (Nyasa) huyu mtu napata wasiwasi na kiwango cha uelewa wake hivi majuzi tumepata wilaya mpya kawahadaa wanyasa wenzangu kuwa ni...
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba, amesema chama hicho hakijatengwa na vijana wa elimu ya vyuo vikuu kama inavyosemwa na wapinzani. Makamba, ambaye...
Nimekuwa nikifuatilia Mikitano ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba . Huwa anaongozana na Kijana aliyemwagiwa Tindikali Igunga, kisha kupelekwa India na CCM (Ingawa naamini kwa fedha za...
Wanabodi wenzangu, nimefikiri sana kuhusu Tanzania bara kurudi katika Tanganyika kama jina sahihi lakini pia kuirudisha Tanganyika yetu iliyokuwa na Neema zake enzi zile na Uhuru iliyoupata 1961...
Jana
wameshangazwa na kauli walizo kutana nazo vijijini na mitaani, wanapesa nyingi lakini wananchi kauli mbiu yao ni, "WAO WANA PESA, SISI TUNA MUNGU" Uchaguzi huu mdogo wa udiwani umewekewa...
Sikubaliani na kasumba inayo zidi kupamba moto hapa Tanzania.Kugawa gawa mikoo na wilaya ni ukosefu wa fikra chanya.Maendeleo hayapatikani kwa udogo wa eneo husika bali ni kwa kufanya kazi kwa...
Despite my limited time, to keep the records clear and straight this can't pass uncommented.
Wahujumu wa zao la pamba ni wabunge na wanasiasa wenye maslahi kwenye zao hili. Wabunge hawa wanatoka...
Ndugu wana JF,kuna minong'ono miongoni mwa wana CCM Morogoro Mjini kuwa Ridhiwani Kikwete atawania ubunge katika jimbo hili kwa tiketi ya CCM.Ridhiwani anaungwa mkono na Meya wa Manispaa ya...
Ni dhahiri Tume ya mabadiliko ya katiba inayoongwa na Jaji Joseph S.Warioba imefanya kazi kubwa ya kukusanya,kuyachambua na kuyatoa maoni ya wananchi kupitia rasimu ya katiba mpya...
Hii hali ya wabunge wa CHADEMA kutumia muda wao mwingi kwenye majukwaa badala ya kuwawakilisha wananchi bungeni ina sikitisha mno.
Ifike wakati sasa wabunge wa CHADEMA wachague moja, kama ni...
Juliana Shonza
Chadema waanza kutapatapa Arusha baada ya mashambulizi ya ccm yaliyofanyika kona zote za kata za uchaguzi leo hii. Wamebaki kusema uwongo na propaganda mara tumezomewa,mara...
Wanabodi jana dr. KITILA aliitisha mdahalo wa changamoto ya Elimu na rasilimari za nchi.
Na matangazo yalitolewa wiki nzima ktk vyuo vikuu vyote Dodoma, lakn cha kushangaza kulikuwa na watu 46...
Kwahiyo elimu ni mafunzo yahusianayo na nguvu za kiakili, yaani kuendeleza akili na maadili, kwa kusoma na nidhamu, ili kumfanya binadamu kutenda katika usahihi. Elimu hii ni lazima iunganishwe na...
Wizi wa Kimafia Kampuni za Simu Tanzania Unadaiwa kuwapo mtandao mkubwa wa watu mkao makuu au katika matawi ya taasisi husika ambao hushiriki katika matukio ya wizi wa fedha za wateja...
Ndugu zangu,
Gazeti la Mwananchi leo Jumapili, mbali ya habari nyingine kemkem, libeba habari iliyonivutia kuisoma kwanza;" Dk Mahiga asema Katiba Mpya ni heshima"- ( Mwananchi, Jumapili, Juni 9...
Ingawa zilipigwa 'promosheni' za muda mrefu huko kata ya Iyela jijini Mbeya kuwa kutakuwa na mkutano wa kamanda wa anga, bwana Mbowe..!!
Lakini leo ilikuwa ni aibu kubwa kwa Mbowe kwani...