Chadema yadaiwa kuwa katika wakati mgumu uchaguzi wa madiwani arusha


UPIU

UPIU

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2012
Messages
602
Likes
17
Points
0
UPIU

UPIU

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2012
602 17 0
Katika hali ya kushangaza wale makamanda wetu maarufu kwa kuleta liveupdates za mikutano ya Chama kilichowahi kupendwa na wakazi wa Arusha, wameshindwa kutoa taarifa za kutia moyo juu ya mwenendo wa kampeni za udiwani katika jimbo hilo. Hata wakitoa taarifa wanatoa bila picha kuthibitisha maelezo yao. Jambo hili limekuwa tofauti sana na hapo awali walipokuwa wanatoa taarifa za uzinduzi wa kampeni au pale Lema aliposhinda kesi.

Makamanda wetu kama Crashwise na Mungi wamekuwa kimya juu ya hili hadi tunapata wasiwasi labda nao wanatumiwa na Chama tawala. Kila ukiwaulizia picha wanadai kuna tatizo la ku-uplode.

Makanda wetu tunaomba ufafanuzi wa hili, ni kweli mambo yanaenda ndivyo sivyo?
 
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Messages
2,524
Likes
6
Points
135
L

Lilambo

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2013
2,524 6 135
Picha picha makamanda. Kwa Mwigulu kila cku wanatupia nyi mnashindwa nin
 
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
8,181
Likes
119
Points
160
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
8,181 119 160
Kwa hiyo kutoripoti kwa Mungi na Crashwise ndiyo CDM maji ya shingo??
 
Last edited by a moderator:
Zekidon

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Messages
1,883
Likes
55
Points
145
Zekidon

Zekidon

JF-Expert Member
Joined May 29, 2013
1,883 55 145
ukweli ni kwamba, chadema ya JF , ni tofauti na chadema on the ground, kwenye battle wanahali mbaya sana, tukubali kua chadema walishinda kutokana na mgombea weak waliyemsimamisha CCM, ila kwa sasa kosa halitarudiwa tena, na kwa kuanzia hiyo jumapili, msishangae chadema kupoteza baadhi ya kata.
 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,994
Likes
496
Points
180
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,994 496 180
Last edited by a moderator:
bucho

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Messages
4,820
Likes
1,046
Points
280
bucho

bucho

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2010
4,820 1,046 280
Kiukweli mimi nipo arusha. Nawahakikishieni Chadema wanapoteza kata mbili .
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,229
Likes
4,619
Points
280
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,229 4,619 280
Inadaiwa sh ngapi? mbona hujataja?
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
38,364
Likes
50,967
Points
280
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
38,364 50,967 280
Jamani ccm!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Forum statistics

Threads 1,272,590
Members 490,036
Posts 30,454,479