CCM to provide rasimu direction


W

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
736
Likes
2
Points
0
W

Waambi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2012
736 2 0
Ni wakati wa CCM to provide leadership. Lazima mfumo wa sasa ubaki ili kuunusuru muungano. Mengine ni ukorofi tu! Dola inaweza kuwadhibiti wahuni wanaotaka kuvunja nchi. Ni kosa la uhaini kuhubiri sehemu ya kujitenga! Haikubaliki duniani kote. Washabiki wa CCM watulie mambo 'yatadhibitiwa'
 

Forum statistics

Threads 1,273,084
Members 490,268
Posts 30,470,767