Ngugu wanajamvi,
poleni na kazi zenu za uchambuzi. Jana kama mlivyofahamishwa ni kwamba mbunge wa Mtwara Mjini ndugu mMurji kakamatwa kuhusiana na siasa za mtwara na mambo ya gesi. Sababu hasa ya kukamatwa ni maelezo ya ndugu Katani.
Katani na wafuasi wake wakilalamika kwamba polisi wanawabagua na kumpendelea magamba ambao ni kweka na Murji ambao kulingana na kauli zao ni wahusika wakuu kwani kweka ndiye aliyetoa gharama za kununua milipuko na ndiye ambaye aliwanunulia vijana bodaboda kipindi cha kutaka kuwa mjumbe wa NEC na baada ya hapo anawatumia vijana hao kama atakavyo.
Cha ajabu wamekacha kumtaja Membe ambaye kupitia msimamizi wa hotel zake Membe za "naf blue, na fan city na mpya iliyopo shangani" amewahakikishia wale wote ambao watakamatwa akishakuwa raisi 2015 atatumia mamlaka yake kuwatoa gerezani. Pia ndiye aliyewaambia vijana kwamba waendelee na machafuko kwani kama waziri wa mambo ya nje anahakika Marekani na Obama wako upande wao so waendelee.
Kinachoniuma ni kwanini CUF wamekuwa wasaliti kiasi hiki? Vipi Lipumba mbona naye kaongea mengi wao kwanini hawamtaji?
Mbona pia kijana ambaye anajinadi kuwa mbunge ajaye wa Mtwara mjini Mussa Chimae kasema mengi hawamtaji au kwakuwa kaolea kwao?
Yaniuma sana nawaona CUF wasaliti sana.
Tutafika tu.