Baada ya kutoa hotuba nzito na zenye kugusa matatizo ya wananchi, wananchi hao walirudisha kadi zao na kwa kuwa kadi hizo lissu hakuja nazo akazichoma moto
Kuzichoma kadi kwa moto haitoshi, ikiwa mioyoni mwao hawajazichoma.
Kangha, kofia, skafu, elfu mbili mbili za ccm wazipokee zikija, lakini wabakize moyo wao Chadema. Hiyo ndo kuchoma kadi za ccm kiukweli, vinginevyo ni maigizo tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.