Zanzibar tugawane nusu kwa nusu kila kitu

Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
May 23, 2010
1,471
722
Mjadala wa katiba mpya una mambo mengi yenye kufikirisha.
Muundo wa serikali tatu nao uangaliwe vizuri isije siku moja watu wakajuta!
Zanzibar wanapodai uwiano wa 50/50 kwenye madaraka na vyeo, kwanini hawadai 50/50
kuchangia kwenye majukumu na gharama?
Leo wanadai kuwa Mkuu wa majeshi atoke pia Zanzibar?!
 
Viongozi wetu wanatupeleka kubaya ni bora tukauvunja tu huu Muungano
 
Back
Top Bottom