CHADEMA kunyamazia Kimya Shutuma za Kumwagia Mussa Tindikali je ni sahihi?


S

sokoinei

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Messages
1,835
Likes
3
Points
0
S

sokoinei

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2012
1,835 3 0
Ni takriban miaka miwili sasa tangia Kumwagiwa Tindikali kijana Musa wakati wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga mwaka 2011. Tangia kutokea kwa tukio hilo la kusikitisha,Naibu katibu mkuu CCM na Mbunge wa Iramba MWIGULU MCHEMBA amekua akitangaza wazi kwamba wahusika wa tukio hilo ni viongozi wa CHADEMA!

Hadi sasa tumeendelea kushuhudia na kusikia Mwigulu na Muathirika wa tukio la kumwagiwa Tindikali wakiendelea kuwaaminisha Watanzania kwamba CHADEMA ndio waiomteka na kumwagia Tindikali.

Jijini Arusha katika kampeni za Udiwani tumeendelea kushuhudia tena VIOJA vya MWIGULU na Kijana Mussa ambae amekua kama "KATUNI" ya maonyesho chini ya MHESHIMIWA sana MWIGULU, kwa kuedeleza kumsimamisha Majukwaani kwa makusudi ili kupata Huruma za wapiga kura kwa Maneno yaleyale kwamba CHADEMA ndio waliomwagia Tindikali na kua hawafai kupewa uongozi!

Japokuwa watu wa Arusha hatufanani na wale wa IRAMBA, na kuwa Propaganda za Mwigulu hazina nafasi kwetu lakini UWONGO unapoachwa ukaendelea kusemwa kwa muda mrefu, basi ipo siku watu wataamini huo uwongo na kuona ni Kweli aliwahi kusema RAIS KIKWETE.!!

Ufike wakati sasa Chama Cha Demokrasia kuitisha Kikao na waandishi wa habari na kutoa tamko juu ya haya yanayosemwa na huyu CHIZI MWIGULU pamoja na TAAHIRA MUSA anaekubali kutumika kama Katuni kwa maslahi ya CCM.
Huu sio wakati wa kuendelea kumbeza mtu huyu ambae ni hatari kwa Ustawi wa Demokrasia. Na anaeendelea kukichafua Chama cha CHADEMA machoni pa watu kwa kukihusisha na Mauaji kila mara huku akidiriki kuaminisha watu kuwa CHADEMA ndio walimpiga Risasi Kijana kule Morogoro ktk maandamano yao.

Ni kweli pasipo shaka kwamba Polisi ndio wauaji wa Raia katika Mikutano na Maandamano ya CHADEMA, lakini CHADEMA ndio wanaolaumiwa kwa kuhusishwa na Mauaji ya Wanachama wake. Ifike basi sehemu tuseme sasa basi na tusiendelee kumpa Mpuuzi kama Mwigulu kuendelea kumtumia Kijana TAAHIRA MUSSA kuichafua CHADEMA kwa Siasa za Maji taka.

Ni Musa huyu huyu alitumika ktk mikutano ya kule Iramba ktk uchaguzi wa vitongoji na vijiji na matokeo yake tuliona kuwa watu wa kule walimuamini Mwigulu na Propaganda zake na mwisho wa siku CHADEMA kilishindwa vibaya ktk chaguzi hizo.

Kuendelea kumchekea Mwigulu ni sawa na kuendelea kumuachia Adui yako nafasi ya kukushambulia round za kwanza mfululizo huku ikiwa unajiamini kuwa bado kuna round za mbele na utajitetea, bila kujua kua unaweza kuangushwa Round hizo hizo za kwanza.

Viongozi wa CHADEMA tunawaomba sasa Muitolee kauli swala la Kijana Taahira MUSSA anaetumiwa na MWIGULU kama Katuni kuichafua CHADEMA kwa maslahi ya CCM huku kukiwa na tetesi kuwa uchaguzi mkuu 2015 MUSSA atazunguka nchi nzima na mgombea urais CCM kwa wakati huo kuwaonyesha watanzania kuwa CHADEMA ndio waliomfanyia unyama huo. Hii haikubaliki na tuipinge kwa nguvu zote!
 
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
12,498
Likes
2,644
Points
280
P

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
12,498 2,644 280
Kama CDM ndio walio mmwagia Tindikali ni nani amekamatwa kuhusiana na suala hilo? Ni Mwigulu mwenyewe alimmwagia ili apate mtu wa kutembea nae kwenye kampeni lakini hii single imeshaanza kuchuja
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Likes
6
Points
135
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 6 135
Mtu mpumbavu hutumia upumbavu wake kudanganya wapumbavu,na kama wewe ni mpumbavu kama mpumbavu anaekudanganya basi utaamini upumbavu wake! AMINI AMINI NAWAAMBIENI WANANCHI WA SIKU HIZI SIYO WAPUMBAVU KAMA HUYO MPUMBAVU ANAEENEZA UPUMBAVU..
Wa Tanzania na waarusha hawatamkubali mpumbavu kueneza upumbavu wake...
 
T

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
15,335
Likes
339
Points
180
Age
28
T

thatha

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
15,335 339 180
Mkuu siyo shutuma na suala la kweli au unataka kuwadanganya wenzako wajipeleke polisi na hatimaye mahakamani,kili kitu kiko wazi kuwa jamaa kawa maana ya chadema wanahusika.
 
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
13,355
Likes
720
Points
280
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
13,355 720 280
Mungu atampatiliza kwa kiwango hiki hiki kwa uongo anaousema kuhusu Chadema.Yeye ni nani hata amkufuru Mungu kwa viwango hivi?
 
KYAMTUNDU

KYAMTUNDU

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Messages
1,821
Likes
9
Points
135
KYAMTUNDU

KYAMTUNDU

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2013
1,821 9 135
Ingalikuwa CHADEMA wangalisha mkamata yeyote hata kwa kubambikiza kesi!
CHADEMA hawana haja ya kujibu hasa hasa Bwana Mussa anapokubali kutumika kama Trela kwenye mikutano ya hadhara!Nina uhakika yule bwana ANALIPWA na CCM la sivyo pamoja na kulaani waliomfanyia hiana,bado hazimtoshi!
 
T

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
15,335
Likes
339
Points
180
Age
28
T

thatha

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
15,335 339 180
Kama CDM ndio walio mmwagia Tindikali ni nani amekamatwa kuhusiana na suala hilo? Ni Mwigulu mwenyewe alimmwagia ili apate mtu wa kutembea nae kwenye kampeni lakini hii single imeshaanza kuchuja
Kama wamesingiziwa mbona hawajaenda kushitaki.
 
habariyamujini

habariyamujini

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
3,095
Likes
44
Points
145
Age
39
habariyamujini

habariyamujini

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
3,095 44 145
Kuna jambo wamekubali hao? Tumeshuhudia video wakipanga kulisha watu sumu wamepinga kuwa sio wao,sembuse tindikali ambayo walimmwagia usiku
 
habariyamujini

habariyamujini

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
3,095
Likes
44
Points
145
Age
39
habariyamujini

habariyamujini

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
3,095 44 145
Yale ni magaidi sugu, roho zao zimekomaa kwa mauaji
 
MNAMBOWA

MNAMBOWA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Messages
2,013
Likes
80
Points
145
MNAMBOWA

MNAMBOWA

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2011
2,013 80 145
Cdm mkiacha tabia ya kukataa mlichokifanya nadhani mtakuwa mmeongeza wigo wa democrasia na uwajibikaji, tatizo huwa hamkubali na kuwallazimisha wengine wakubali.
 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,994
Likes
496
Points
180
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,994 496 180
Mungu atampatiliza kwa kiwango hiki hiki kwa uongo anaousema kuhusu Chadema.Yeye ni nani hata amkufuru Mungu kwa viwango hivi?
Mkuu ishu ni kwamba kama Mwigulu Nchemba anavyodai kuwa chadema wanahusika, na ukizingatia ccm ndiyo wenye dola, ni nani kiongozi au mfuasi wa chadema aliyekamatwa kuhusu tindikali? Mwigulu Nchemba amekosa sera ndiyo maana anatembea na kilema kwa kuwahadaa watu waliokwisha mstukia
 
Last edited by a moderator:
N

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
4,748
Likes
78
Points
145
Age
39
N

ndomyana

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
4,748 78 145
Mwigulu anataka kuifanya chadema chama cha mahakamani
 
habariyamujini

habariyamujini

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
3,095
Likes
44
Points
145
Age
39
habariyamujini

habariyamujini

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
3,095 44 145
Ingalikuwa CHADEMA wangalisha mkamata yeyote hata kwa kubambikiza kesi!
CHADEMA hawana haja ya kujibu hasa hasa Bwana Mussa anapokubali kutumika kama Trela kwenye mikutano ya hadhara!Nina uhakika yule bwana ANALIPWA na CCM la sivyo pamoja na kulaani waliomfanyia hiana,bado hazimtoshi!
ona unavyojidhalilisha,uwe na aibu.tena ww ambaye ndugu yako aliuawa na akina kitila kule ndago
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Likes
6
Points
135
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 6 135
Amini amini nawaambieni...

Huyu MWIGULU anafanya DHAMBI mbaya sana na DHAMBI hii ya kumtumia huyo kijana huku wakijua kabisa WAO CCM ndiyo waliomwagia tindikali..
Huyo MWIGULU NI ZAIDI YA S h eT AN...
 
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
8,614
Likes
409
Points
180
Age
37
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2012
8,614 409 180
Tenga na poulsen watakuwa wamewauzia moroco hiyo mechi.time wil tel
 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,994
Likes
496
Points
180
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,994 496 180
Haya ndiyo majibu ya chadema kuhusu tindikali.
 
Last edited by a moderator:
KIJOME

KIJOME

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Messages
3,088
Likes
37
Points
145
Age
48
KIJOME

KIJOME

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2012
3,088 37 145
Kama wamesingiziwa mbona hawajaenda kushitaki.
Acha ungese we masaburi,kama chadema wanahusika si waende mahakamani na wakamatwe?
Haya bhana lumumba project na buku saba zenu zinazowadhalilisha...
 
habariyamujini

habariyamujini

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Messages
3,095
Likes
44
Points
145
Age
39
habariyamujini

habariyamujini

JF-Expert Member
Joined May 16, 2013
3,095 44 145
Mkuu ishu ni kwamba kama Mwigulu Nchemba anavyodai kuwa chadema wanahusika, na ukizingatia ccm ndiyo wenye dola, ni nani kiongozi au mfuasi wa chadema aliyekamatwa kuhusu tindikali? Mwigulu Nchemba amekosa sera ndiyo maana anatembea na kilema kwa kuwahadaa watu waliokwisha mstukia
kada wa chadema na mwenyekiti wa bavicha wilaya ya bukoba ndio aliyekamatwa na kesi inaendelea mahakama ya wilaya tabora
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,272,939
Members 490,212
Posts 30,465,192